King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Nilikwambia amehonga huyo na sasa wamemgeuka haamini macho yake.Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na kubandika zuio hili , ambapo baadhi ya waumini wa kanisa hilo walikuwepo . Baada ya maofisa wa serikali kuondoka mchungaji aseme hawambabaishi , akabandua zuia hilo na kusema hawawezi kumfanya kitu na jumapili ataendelea na ibada kama kawaida hawawezi kumfanya kitu chochote yeye ni mwamba serikali haimuwezi kwa lolote .View attachment 1713187View attachment 1713188
Cha kushangaza eti anatunishiana msuli na serikali ? Kweli?Nilikwambia amehonga huyo na sasa wamemgeuka haamini macho yake.
Mungu ana utaratibu. Mungu hafanyagi mambo yake kimkiki mkiki
Anajidai yeye mwamba hafuati sheria ni kukurupuka tu kuanzisha anachoita kanisa , mahali popote bila hata kibali wala kufuata utaratibu .hao walokole wanajitoaga ufahamu sana
Hivi Hawa walokole uchwara wana akili timamukweli ?hao walokole wanajitoaga ufahamu sana
Mbona umekomaa sana na huyu mchungaji? Au una maslahi binafsi?Cha kushangaza eti anatunishiana msuli na serikali ? Kweli?
Andika vema ili kama mtu ni mgeni wa hili tukio aweze kujua na kuelewa unalokusudia kutihabarishaSakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na kubandika zuio hili , ambapo baadhi ya waumini wa kanisa hilo walikuwepo . Baada ya maofisa wa serikali kuondoka mchungaji aseme hawambabaishi , akabandua zuia hilo na kusema hawawezi kumfanya kitu na jumapili ataendelea na ibada kama kawaida hawawezi kumfanya kitu chochote yeye ni mwamba serikali haimuwezi kwa lolote .View attachment 1713187View attachment 1713188
Ok hii ni nyuzi ya tatu ikihusu Kanisa la Bethel Kariakoo Tabora , ambapo Lililipotiwa kujengwa kuziba barabara , kupiga muziki mkubwa sana , kujenga bika kibali nyuzi ya kwanza ilikuwa "Kanisa Lajengwa Katikati Ya Barabara Lapiga Muziki Masaa 24 ":, 2 "Sakata La kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza " na huu Uzi ndio mwendelezo wa tatu .Andika vema ili kama mtu ni mgeni wa hili tukio aweze kujua na kuelewa unalokusudia kutihabarisha
Ukisema ukweli unakuwa mchochezi ? Documents sio uchochezi ni supporting documents .Uchongezi = barua ya serkali + maneno ya mtoa mada - barua ya mchungaji/voice note/video/pic
Wewe unayeonekana kuwa upande wake ndiyo tukuulize kama una maslahi binafsi.Mbona umekomaa sana na huyu mchungaji? Au una maslahi binafsi?
Shukrani kwa kujali na kuheshimu mawazo ya wadauOk hii ni nyuzi ya tatu ikihusu Kanisa la Bethel Kariakoo Tabora , ambapo Lililipotiwa kujengwa kuziba barabara , kupiga muziki mkubwa sana , kujenga bika kibali nyuzi ya kwanza ilikuwa "Kanisa Lajengwa Katikati Ya Barabara Lapiga Muziki Masaa 24 ":, 2 "Sakata La kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza " na huu Uzi ndio mwendelezo wa tatu .
Ni wendawazimu.hao walokole wanajitoaga ufahamu sana