Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

King Kisali

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
1,041
Reaction score
1,349
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na kubandika zuio hili , ambapo baadhi ya waumini wa kanisa hilo walikuwepo . Baada ya maofisa wa serikali kuondoka mchungaji aseme hawambabaishi , akabandua zuia hilo na kusema hawawezi kumfanya kitu na jumapili ataendelea na ibada kama kawaida hawawezi kumfanya kitu chochote yeye ni mwamba serikali haimuwezi kwa lolote .
IMG_20210226_124256_1.jpg
IMG_20210226_124259_0.jpg
 
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na kubandika zuio hili , ambapo baadhi ya waumini wa kanisa hilo walikuwepo . Baada ya maofisa wa serikali kuondoka mchungaji aseme hawambabaishi , akabandua zuia hilo na kusema hawawezi kumfanya kitu na jumapili ataendelea na ibada kama kawaida hawawezi kumfanya kitu chochote yeye ni mwamba serikali haimuwezi kwa lolote .View attachment 1713187View attachment 1713188
Nilikwambia amehonga huyo na sasa wamemgeuka haamini macho yake.

Mungu ana utaratibu. Mungu hafanyagi mambo yake kimkiki mkiki
 
Chizimaarifa njoo mchungaji uchwara mwenzio kaishaangukia pua .
 
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na kubandika zuio hili , ambapo baadhi ya waumini wa kanisa hilo walikuwepo . Baada ya maofisa wa serikali kuondoka mchungaji aseme hawambabaishi , akabandua zuia hilo na kusema hawawezi kumfanya kitu na jumapili ataendelea na ibada kama kawaida hawawezi kumfanya kitu chochote yeye ni mwamba serikali haimuwezi kwa lolote .View attachment 1713187View attachment 1713188
Andika vema ili kama mtu ni mgeni wa hili tukio aweze kujua na kuelewa unalokusudia kutihabarisha
 
Uchongezi = barua ya serkali + maneno ya mtoa mada - barua ya mchungaji/voice note/video/pic
 
Tulisema humu kuwa huyu mchungaji uchwara ,Hana kibali , kujenga kuziba barabara ,anapiga muziki mkubwa sana , watu wakatubeza , wanapinga licha ya vielelezo vyote , sasa hayo yametimia , wachangiaji muwe mnachangia kwa fact na sio mihemiko ya kilokole uchwara , walokole uchwara jifunzeni kufuata sheria za nchi .
 
Andika vema ili kama mtu ni mgeni wa hili tukio aweze kujua na kuelewa unalokusudia kutihabarisha
Ok hii ni nyuzi ya tatu ikihusu Kanisa la Bethel Kariakoo Tabora , ambapo Lililipotiwa kujengwa kuziba barabara , kupiga muziki mkubwa sana , kujenga bika kibali nyuzi ya kwanza ilikuwa "Kanisa Lajengwa Katikati Ya Barabara Lapiga Muziki Masaa 24 ":, 2 "Sakata La kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza " na huu Uzi ndio mwendelezo wa tatu .
 
Tumwache watoto washindwe kusoma shule mbili , Westland primary school na Itetemia shule ya Msingi washindwe kusoma kwa sababu ya upumbafu wa mchungaji uchwara kupiga muziki mkubwa sana kama vichaa , wazee wetu na wagonjwa wateseke kwa sababu yake ?
 
Uchongezi = barua ya serkali + maneno ya mtoa mada - barua ya mchungaji/voice note/video/pic
Ukisema ukweli unakuwa mchochezi ? Documents sio uchochezi ni supporting documents .
 
Ok hii ni nyuzi ya tatu ikihusu Kanisa la Bethel Kariakoo Tabora , ambapo Lililipotiwa kujengwa kuziba barabara , kupiga muziki mkubwa sana , kujenga bika kibali nyuzi ya kwanza ilikuwa "Kanisa Lajengwa Katikati Ya Barabara Lapiga Muziki Masaa 24 ":, 2 "Sakata La kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza " na huu Uzi ndio mwendelezo wa tatu .
Shukrani kwa kujali na kuheshimu mawazo ya wadau
 
Back
Top Bottom