Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Kulikoni,
All in all bado tumeliwa. Hawa jamaa wameshindwa kuleta mitambo ya umeme bongo kwa muda waliokubaliana, hatima yake wanaamua kuuza mkataba huo wa kuleta jenereta kwa kampuni ya mashariki ya kati. Maana yake ni kwamba they still get paid for services not rendered. Ni uhuni mtupu. They came empty handed and leave with pockets full.
 
Ushahidi huo umeenda na mapesa yote ya bure kwa walipa kodi, kwa nini hawa viongozi bado wapo? Nani anabeba huo msalaba?

Bongoland everything is possible!
 
Hapo ndio nimechoka kabisa, hapa kuwa utata mkubwa sana, we really need to know the truth!
 

Duh! Yaani kilichouzwa ni mkataba na sio kampuni?

Inaashiria kuwa RDC was not confident enough in the first place, otherwise sioni umuhimu wa kuwekwa hiki kipengele cha ku-reassign the contract to another party.

Sasa hili dili lilikuwa ni la emergency power generations, and now it looks like we don't have this emmergency anymore. I wonder if this is also ' ... provided for ..' in the contract.
 
Kulikoni,
Soma tena bandiko langu la awali. Tumeshaliwa. Hawa jamaa waliingia wakiwa na $0 mfukoni. Wanaondoka na some $million kwa kuuza mkataba wao kwa kampuni ya Dowans ( ambao hawakuwa na mkataba) Kumbuka jenereta ya 20W imeshaletwa. Tutailipia hiyo na kulipia nyingine zilizo kwenye mkataba ambazo zitaletwa sasa na Dowans. Ile $170 imekwishayeyuka. Hata kama Mungu ametuletea mvua.
 
Read the last three paragraphs....

Tanesco reverts to hydropower
ABDUEL KENGE
Daily News; Friday,December 29, 2006 @00:07
THE Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), yesterday called-off power shedding and said it would depend on hydropower. The firm assured the nation there would be no more rationing for the next one year.

Tanesco said that they are now more confident since all six hydroplants in the country are generating 464MW, beyond the national demand of 450MW. Only two reservoirs, Mtera and Nyumba ya Mungu are yet to resume generation.

The resumption of cheap hydropower to full installed capacity has enabled Tanesco to call-off buying expensive power from four private gas and diesel thermal sources that have a combined capacity of 340MW.

However, it was not immediately known how much saving the country would make out of this development, given that keeping the two-year leased thermal machines would still need money.

"I assure you that we are not going to face such power blues next year," Mr Stephen Madaba, the acting Chief Executive Officer told journalists yesterday. He said, though the Mtera water level had exceeded the minimum generational level of 690 metres above sea level by 0.82metres, the firm was reserving the water saying it would be a waste to release it to the Kidatu dam, which is now full.

"We are now planning to discharge water from Kidatu to avoid damaging the dam," Mr Madaba said adding, "we have actually cautioned people living in the Kidatu Valley of possible floods."
He added: "Even if rains stopped to day," Mr Madaba said "we need about only 100MW from hydrology to supplement the 340MW generated by thermal means to offset load-shedding."

Meanwhile Tanesco has confirmed that Richmond Development Corporation (RDC) has sold its contract to supply 100MW emergency power to Dowans Holding of United Arab Emirates (UAE) for an undisclosed amount.

Mr Madaba, who is the Generation Manager, said already Dowans have taken over the responsibility and liability and are fully abiding by the contract signed earlier by RDC.

He said the request "is provided for in the Emergency Power Purchase Agreement, where one party can reassign the contract to another." Dowans has brought part of the equipment needed for generating the remaining 80MW and yesterday technicians were busy doing final touches at the foundation.
 
Kwenye fani ya mazingaombwe kuna vitu vikubwa vitatu. Cha kwanza kinaitwa wepesi wa mikono (sleight of hand), cha pili ni viinimacho (illusion) na cha tatu ni kupoteza lengo (distraction). Ili mazingaombwe yafanikiwe na kuwa na mvuto ni lazima vitu hivyo vitatu viende sambamba na kwa wakati muafaka. Sasa mwanamazingaombwe aliyebobea atahakikisha kuwa watu wanashuhudia mtu anaingizwa kwenye sanduku (sleight of hand), sanduku linakatwa nusu kwa upanga (illusion) huku mwanamazingaombwe anawaeleza na kuwachangamsha watu kwa maneno na porojo (distraction).

Pindi lile sanduku likiunganishwa tena na yule mtu aliyewekwa humo akatoka mzima (restoration) basi watu watapiga makofi na kumsifia mwanamazingaombwe wetu kwa onesho zuri na mwanamazingaombwe huyo atachukua pesa zake na kuandaa onesho jingine, na wale ambao hawataki kufikiri juu ya nini wameshuhudia wataendelea kupiga makofi na kuchekelea!

Alichofanya Jasusi, ni kutoboa siri ya mazingaombwe!! Watu wa RDC wameleta mazingaombwe ya hali ya juu na nusura wafanikiwe kumrejesha mtu akiwa bado mzima toka kwenye sanduku. Watanzania walitaka kuridhishwa na onesho zuri la "Umeme". Ndipo wanamazingaombwe toka Houston walipotokea na vikolokolo vyao vya mazingaombwe. Wakawaambia watanzania kuwa wana uwezo wa kuleta nishati (kumkata mtu nusu bila kumuumiza) tena kwa bei rahisi. Watanzania wakaamini na wakawapa nafasi.

Kwa vile wanamazingaombwe wetu hawakuwa na lengo wala uwezo huo iliwabidi wafanye viinimacho. Ndipo wakaagiza "majenereta" ambayo hayakuweza kufika kwa muda muafaka. Wakaanza kuyatengeneza, na kuyaseti ili baadaye yazalishe umeme (ndio kumweka mtu kwenye sanduku kwa taratibu huku watu wakiangalia). Wakaleta na wapiga picha Airport kuona majenereta yanavyoletwa na ndege kubwa zaidi duniani ya mizigo! Watanzania wakapiga makofi na kushangilia!

Wakati watu wanajiuliza hivi kweli wataleta umeme hawa (je kweli mtu ataungika?) basi wanamazingaombwe wa RDC wakaanza kutuhamasisha pamoja na wasaidizi wao (Tanesco) wakilumbana na kukandiana hadharani (distraction). Lengo likiwa kununua muda. Wakati watazamaji (watanzania) wakiendelea kushangaa nini kinaendelea, tukatangaziwa kuwa jenereta liko tayari kuanza kazi wanasubiri Tanesco wakubali umeme wao. Wakati huo wote, RDC walikuwa wanasubiri mvua!!

Hatimaye, dua zao zikasikika na mazingaombwe ya mwaka yakafanyika. Mabwawa ya umeme yakajaa maji, umeme wa RDC haukutumika, Mkataba wa RDC na Tanesco ukauzwa kwa Waarabu, mwenye kutengeneza pesa akatengeneza pesa, na watanzania wakabakia kushangilia umeme wa kudumu (mgao umeisha)! na Rais Kikwete akashangilia na kuwapongeza viongozi wenzake majasiri, hodari na makini kwa jinsi walivyoshughulikia tatizo la umeme!

Onesho la mazingaombwe la RDC likafanyika kwa ufundi mkubwa. Kwa vile Watanzania hawajagundua kuwa wameshuhudia mazingaombwe, basi mwaka unaokuja watasubiri onesho jingine lenye kuhusu mkataba mwingine, na gurudumu la mazingaombwe na viinimacho linaendelea kubingirishwa!
 
Bravoo Mwanakijiji,
Bila shaka unaitaji, kuandika igizo kuhusu kiinimacho hiki.
 

Jasusi,
Nimekusikia. I am trying to heal from depression.

Bila shaka umepitia kipande hiki cha news.

Unsupplied power to cost billions
http://ippmedia.com/ipp/guardian/2006/12/29/81287.html

Jamaa anasema Tanesco wamestop kununua umeme kutoka IPTL na Songas.. maana hatuuhitaji tena, but they still have to pay ($9M monthly). At the same time .. waarabu wa Dowans ndio kwanzaaa wanafunga mitambo mipya .. ili kuzalisha umeme ambao nao pia hatuuhitaji tena!

Yaani hata kama ni maonyesho ya mazingaombwe aliyosema MKJJ.. onyesho hili sasa nadhani lishafikia pale watazamaji kuanza ku-shout TOAAAAA!!
 
Tungekuwa tunajua mkataba wenyewe tungeona madudu mengi. In the last para which allows a tricky clause that "one party can reassign the contract to another". Let me ask those who signed this contract a simple question. To which part can TANESCO re-assign its responsibilities in the contract? Can TANESCO benefit from this specific clause ? KWELI TUMELIWA. Jamaa huyu Richard wa Monduli, sorry Richmond amekuja hana kitu ndani ya miezi mitatu ameondoka tajiri. I swear this can ONLY happen it Tanzania.
 
Katika sherehe iliyofanyika mjini Arusha jana ya kumpongeza waziri mkuu kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo PM iliyo fanyika katika hotel ya IMPALA

HOTEL FL.9 iliuzuriwa na wafazili wa chama tawala tu waliyo toa mchango wao wa hali na mali tarehe 28.12.06 baada ya umeme kukatika wafanya

biashara wakubwa wa kihindi walianza kusema Richimond Richmond katika giza kwa kelele ambayo muh.waziri mkuu aliisikia katika giza nene lililochukua

dakika mbili baada ya genereta la zarura kuwaka wafanyabiasha hao ni mmiliki wa duka kubwa la kuuza redio na vifaa vya electronics kwajina

NOSHAD AU BENSON, mwingine FAZAL mmiliki wa kampuni kubwa ya utalii ya LEOPARD TOURS ya mjini Arusha sherehe hii ilikuwa kumpongeza waziri mkuu

kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo abayo iliahiriswa kwa muda mrefu ni siku moja kabla ya kumaliza mwaka tangie kuapishwa kwa kiongozi huyo.29.12.05

mpaka 28.12.06 wahindi waliendelea kuaonge baada ya kuona watu wana waangalia na kuwasikiliza basi wakabadilisha lugha na kuongea kihindi hiyo siyo tabia nzuri

kumkejeli kiongozi wa kitaifa atakama anamapungufu yake ya kibinadamu.
sisi hatuchukii viongozi wetu bali wakubali kukosolewa ili tuweze kwenda
mbele
siyo mara ya kwanza wahindi kutumia pesa zao kuzarau viongozi wetu ninakumbuka FAZAL ailisha wai kumtolea waziri wa ulinzi maneno machafu MUH.SARUNGI katika Hotel hiyo hiyo baada ya WAZIRI kubukiwa chumba na tajiri huyo kuwa na wageni wake katika Hotel Impala

kutaka waziri atafute mahali pengine pa kulala wageni wake walale hapo.
siyo vizuri tuna taka waheshimu viongozi wetu hata kama wana saidia chama kwani hizo pesa wamezipatia wapi kama siyo hapa TANZANIA

pia ni wakwepaji kodi wakubwa kwa sababu wana juana na viongozi.


na mwandishi wetu katika msafara wa waziri mkuu
mapunzikoni WILAYA NI MONDOLI
 
Huo ni mwanzo tu, tuna safari ya miaka 9 kabla hatujautua huu mzigo.
 
Jamani,
tutafute habari zaidi. je, haiwezekani kuwa Richmond ilikwishuzwa zamani? Je, baada ya CRDB kukataa kutoa LC, nani aliwapa pesa Richmond za kuleta mtambo wa MW 20?

Je, Richmond haikutumika tu ili tajiri mmoja mwanasiasa mwenye connections na higher authority wapate bila kujulikana? Hata tufanyeje, hakuna wowote kumshika EL na Richmond. No direct connection. Lakini tufanye uchunguzi zaidi, inaweza kuchukua muda lakini ukweli utajulikana tu na ni hapo ndio Watz tutakapotoa macho bila kuamini
 

More questions than answers only when the perpetrators want to justify their actions, then they will say the contract says so and ............why not issue the whole contract.........


Who are these Dowan's? What are their interests in Tanzania? What other businesses do they have in Tanzania? What are their connections with rich-monduli?

For those in Bongo can you please find out?

From the web this is what is available:

Portek-Dowans Collaboration.
Portek has entered into an agreement with Dowans Holdings SA to develop power generation projects in the emerging markets. Portek will act as EPC contractor and O&M contractor, while Dowans will provide the finance and marketing network. Dowans is an associate of Services and Trade LLC, and is owned by Al Adawi, a prominent Middle Eastern business family in the Gulf.
Portek has partnered with Dowans on some projects in Indonesia and Africa, including power generation plants. Dowans has the ability to mobilise its substantial financial resources to support and execute such power projects.
There is huge demand for power in many parts of the developing world. Portek and Dowans are working to complement each other to pursue such opportunities in the power sector.


http://www.portek.com/energy2a.html


Its a reputable firm but whom do they want to protect?? or pure business profit!!!!!!!! when TANESCO does not need their eletricity for the whole year...
 
He!he!he!
Nipooo. Nilikuwa naisoma taarifa kwa makini.
 
kwa mtu aliyezoea KICKBACKS toka kwao (wadosi) hakuna kitakachoendelea
 
Jasusi,
Naona Mwakyembe alipoomba serikali isomeshe waandishi nasikia walikuja juu kama moto wa kifuu kwamba eti wanatukanwa kuwa kawaambia hawajasoma! Sasa kama huyo mwandishi hapo kaandika kwa kiswahili na bado kigumu hivyo angeandika lugha ya watu ingekuwaje?
 
Mafuchila, kuandika kwa kuibia wakati mwingine hufanyi masahihisho, yeye kataka kutupa "inside scoop" na ujumbe umeeleweka. Sisi ambao tunaweza kukaa muda mrefu kwenye kompyuta ndio tunaweza kukaa na kuangalia sarufi, fasihi, muundo wa tungo, na spell checking! so lets cut him some slack!! Taifa, tunashukuru kwa inside scoop hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…