Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Masatu,

..Dr.Mwakyembe ni mwanasheria, hivyo namuelewa anapo-demand perfection kutoka kwa wanasheria wenzake, haswa AG.

..Katika mazingira ya richmond nadhani AG hakutaka kushiriki, siyo kwamba alikuwa hajui kinachoendelea. huyu nadhani aliona bora lawama kuliko fedheha na tuhuma za kushiriki mkataba wa richmond.

..nakubaliana na wewe kwamba AG hapa ni bangusilo tu. wizara ya nishati ina kitengo cha sheria sijui kwanini Dr.Mwakyembe hajawagusa hao. mchango wao ulikuwa ni nini? kwanini AG anahusika zaidi kuliko mwanasheria wa wizara ya nishati?

..lakini hii ripoti ni hatua nzuri ktk safari yetu ndefu. baada ya AG na wanasheria kubanwa, watakaofuata ni hao wanaopanga BEI KICHAA ktk mikataba yetu. to me, those are the real culprits.

Aminia, Ameen...
 
AG has to go, nashangaa hadi leo bado yuko madarakani. Eti hawa ndio wataalamu wetu wakubwa wa sheria nchini. Kutokana na majibu yake, jamaa anaonekana bonge la mbumbumbu, sijui na yeye ndio products za ku-cram majibu vyuoni.
 
Hii nchi yetu inatakiwa ianze from the scratch!Uongozi wote upigwe chini..mikataba yote ifutwe,viongozi wapya wachaguliwe!Na kama kikwete anataka usalama nchini..basi yeye mwenyewe ndiye atakayesimamia utaratibu wote!Ni wazi kuwa amehusika and thats why amejidai kusikitikia hatua ya kujiuzulu kwa lowassa!Hataki Lowassa afe na wote!anamfanya Lowasa ajisikie kwamba yeye ni mtu wa muhimu sana na hakuwa na makosa ila ni kwasababu wapinzani wamewabana mbavu na serikali inataka kuonyesha uwajibikaji kabla ya Bush kufika nchini!Hakuna jipya lililofanyika anyways...ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa!Nina imani kuwa mwisho wao uko karibu..kwani sio rahisi kuwadanganya wananchi all the time!Akitaka usalama alishughulikie hili swala bila kusuasua!Namshangaa Kikwete mara baada ya kupata urais haelewi tena mambo a mtanzania wa kawaida..tulikuwa tukifikiri ni mtu wa watu!tkukimuona mitaani bila kujali wadhifa wake!Lakini sasa sina imani nae tena kwani ni mswahili asiye na uzalendo hata chembe!
 
Yaani uzushi wa mtu mmoja ndio unapelekea watu kufikia hatua ya kutokuwa na imani na JK kiasi hicho? Mtoa hoja anaweza kutuongoza kidogo ili tuweze kuchangia vizuri? Ni ukweli gani unaomuhusisha JK ktk sakata la Richmond?
 
vyovyote iwavyo lowassa kesha wajibika tunasubiri apelekwe mahakamani!akataje huko kuwa anashirikiana na nani? na wameiba ngapi! kama kikwete yupo tutajua
KIKWETE KESHAMSIFIA..HII INA MAANA AMECONFIRM KWAMBA EL IS NOT GUILTY,WILL NEVER BE GUILTY,WILL NEVER FACE JUSTICE..AND ABOVE ALL HE WILL NEVER LET THAT HAPPEN!WANANCHI WENGI WASIOELEWA MAMBO NA WALIOPUMBAZWA BADO WANAMSAPOTI KIKWETE!WENGINE NI WENYE MASLAHI!KULIKUWA NA MALALAMIKO KUHUSU URUSHAJI HEWANI WA VIKAO VYA BUNGE..KIKWETE ALIONYESHWA ALIPOKUWA ANA MWAGA PROPAGANDA ZAKE DIAMOND JUBILEE NA KUWANYIMA WANANCHI FURSA YA KUWAONA NA KUWASIKILIZA WAWAKILISHI WAO BUNGENI!POLITICS ZA KUWADUMAZA WANANCHI KIMAWAZO NA KIFIKRA!UTASHANGAA KUONA KUWA HATA PESA WANAZOJICHOTEA ZIMEZIDI HATA BAJETI YA ELIMU!
SASA WATANZANIA TUSIACHE HAYA MAMBO YAPITE HIVI HIVI..THIS IS A DEFINED MOMENT IN OUR COUNTRY!HISTORIA YA DUNIA INAONYESHA HIVYO..TUSILALE!MALI ZOTE ZIRUDISHWE..SERIKALI IRUDISHWE MIKONONI MWA WANANCHI..MALI ZILIZOIBIWA PAMOJA NA FEDHA ZIPELEKWE KUWASAIDIA WANANCHI!MAFISADI WOTE WAHOJIWE NA WASHTAKIWE KWA UHUJUMU UCHUMI..KWA KILA MWANANCHI ANAYEKUFA KWA NJAA..KWA WALE WANAOKUFA KWA KUKOSA MADAWA,KWA WALE WANAOBAKI NA UMASIKINI..WASIOWEZA KUJILIPIA ELIMU,WASIOWEZA KUENDESHA KILIMO CHA KISASA ILI KUJIKWAMUA WAO NA FAMILIA ZAO!WABUNGE MKO WAPI?HILI SWALA LISIPITE HIVI HIVI..SIO SWALA LA CHAMA FLANI..AU MTU FLANI!NI ISSUE YA KITAIFA KWA NIABA YA KIZAZI HIKI NA VILE VIJAVYO!HISTORIA IWE UPANDE WETU!KWANINI TUGEUZWE WAPUMBAVU KIASI HICHO?WAPI BALALI?CHENGE ANAFANYA NINI SERIKALINI?MSABABHA?KIKWETE?NANI MWINGINE WA KUKOMESHA UHARAMIA HUU ZAIDI YETU WANANCHI?NGUVU YA UMMA..ONE VOICE,ONE DESTINATION..WE WIL BE VICTORIOUS AND TAKE OUR COUNTRY BACK!I SURELY DO BELIEVE!
 
Yaani uzushi wa mtu mmoja ndio unapelekea watu kufikia hatua ya kutokuwa na imani na JK kiasi hicho? Mtoa hoja anaweza kutuongoza kidogo ili tuweze kuchangia vizuri? Ni ukweli gani unaomuhusisha JK ktk sakata la Richmond?
What are you talking about maan!Unataka kuniambia Lowassa hakumwambia Kikwete kuhusu Richmond kabla hajaipigia debe? Usilete longolongo zako hapa..lazima uelewe hapa ni JF! Tunasupport politics zenye kumake sense..politics za wananchi..na sio za "kiufisadi ufisadi"Yeye kama mtopu wa nchi..anamsifia waziri wake mkuu ambaye wananchi waliona wazi kuwa amehusika kwenye ufisadi..ila yeye anaamini sivyo!Sasa si wote ni mafisadi?ama unabisha?

Sio mambo ya CCM hapa!kwanza jina lenyewe "CHAMA CHA MAPINDUZI"limepitwa na wakati!mapinduzi gani?chama kimeshindwa kufanya mapinduzi dhidi ya mafisadi..huu ni wakati wa kuwaletea wananchi maendeleo na si mapinduzi mabayo yalifanyika mwaka wa 1964!

This is a different era and we must acknowledge that!THE COUNTRY HAS TO GO BACK TO THE HANDS OF PEOPLE WHO WILL DECIDE THEIR OWN DESTINATION!AND THE ONLY WAY TO DO THIS IS TO FIRE THE WHOLE GOVERNMENT AND MAKE A NEW ONE!
 
Chiefs,

Kwa kweli hili ni tatizo na sasa nina kila sababu ya kuangalia wasifu wa hawa viongozi wetu na kufanyia uchunguzi. Kweli kama hiki chuo kilitoa digrii kwa mbwa au hata kwa watu wasio na sifa ya kuwa chuo kikuu, hii si kejeli kwa taifa letu? Yaani uzembe mmoja baada ya mwingine (Richmond na sasa cheti feki cha Mh. Mkulo)...kwani hawa viongozi hawakujifunza na skendo ya Kihiyo?

Mh. Kikwete, naomba tu utuambie kuwa ulimteua Mh. Mkulo kuendesha hazina kutokana na uzoefu wa kuongoza NSSF lakini si kwa kuwa ana MBA. Pia, ningeshauri elimu za hawa viongozi wote zichunguzwe...mimi nitajitolea kufanya uchunguzi huo kwa bure, ili mradi nchi iepuke fedheha!

Kwa wanaJF wengine, basi tuendelee na ukombozi huu wa taifa letu kwa kuendelea kutoa kasoro pale zinapoonekana na kutoa heko pale inapostahili.
 
Kufoji Elimu kwa mbunge yeyote Tanzania si kosa la Jinai.
Unakumbuka Polisi Tanzania walithibitisha kwamba Mbunge mmoja wa SISIEMU amefoji kiwango cha elimu yake, na kusema kufoji elimu si kosa la kumfanya asiwe mbunge. Mbunge yule hajashitakiwa mpaka leo kwa kisingizio kwamba hajavunja sheria yeyote.

Sidhani kwamba ni kweli hajavunja sheria yeyote, ukweli ni kwamba serikali ya SISIEMU inajua wazi kwamba ikimshitaki mbunge yule kwa kusema uongo juu ya elimu yake itabidi iwashitaki viongozi karibu wote wa SISIEMU.

Kelele juu ya vyeti vya kufoji ni lazima tuendelee kuzipiga kwa sababu maafa yake kitaifa ni makubwa sana.
Kuna siku kwa kukosa watu competent tutaajiri maafisa usalama wa taifa toka KGB na CIA kwa sababu maafisa wetu wote wamefoji vyeti na hakuna kinacho panda upstairs.

Mtu mmoja mwenye busara sana aliniambia hivi;

Wakati wowote hutakiwi kuwa na hofu juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wetu kama kifo,kuchomoza na kuzama kwa Jua na maji kutiririka kuelekea baharini.
Lakini wakati wowote tunatakiwa kuwa na hofu kuu juu ya mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu kama kupiga kura,kubadiri tabia, imani,kutoa maoni, uzalendo nk.


Hatuwezi kuwazuia watu kuwaza na kupanga mipango ya kufoji vyeti( nje ya uwezo si jambo la kuhofia) lakini tunaweza kuwazuia watu waliofoji vyeti kuajiriwa na mtu yeyote na hivyo kuwalazimisha kubeba gharama za kufoji vyeti( ndani ya uwezo kwa hiyo ni jambo la kuhofia).

Hatuwezi kuwazuia akina Lowassa na Kikwete na mwanae Lizzone kupanga mipango ya kutuibia na kututia umasikini( nje ya uwezo hatuna hofu), lakini tunaweza kuwajia juu na kuwazuia wasituibie pia watubiapo tunauwezo wa kuwabana makende na kuwashurutisha kurudisha mali zetu( hilo ni jambo la kuhofia)

Hofu yetu kila siku iwe ni juu ya mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu lakini hatuutumii uwezo huo kuweka mambo sawa na hivyo sisi wenyewe kugeuka kuwa sehemu ya uharibifu
 
Kufoji Elimu kwa mbunge yeyote Tanzania si kosa la Jinai.
Unakumbuka Polisi Tanzania walithibitisha kwamba Mbunge mmoja wa SISIEMU amefoji kiwango cha elimu yake, na kusema kufoji elimu si kosa la kumfanya asiwe mbunge. Mbunge yule hajashitakiwa mpaka leo kwa kisingizio kwamba hajavunja sheria yeyote.

Sidhani kwamba ni kweli hajavunja sheria yeyote, ukweli ni kwamba serikali ya SISIEMU inajua wazi kwamba ikimshitaki mbunge yule kwa kusema uongo juu ya elimu yake itabidi iwashitaki viongozi karibu wote wa SISIEMU.

Kelele juu ya vyeti vya kufoji ni lazima tuendelee kuzipiga kwa sababu maafa yake kitaifa ni makubwa sana.
Kuna siku kwa kukosa watu competent tutaajiri maafisa usalama wa taifa toka KGB na CIA kwa sababu maafisa wetu wote wamefoji vyeti na hakuna kinacho panda upstairs.

Mtu mmoja mwenye busara sana aliniambia hivi;

Wakati wowote hutakiwi kuwa na hofu juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wetu kama kifo,kuchomoza na kuzama kwa Jua na maji kutiririka kuelekea baharini.
Lakini wakati wowote tunatakiwa kuwa na hofu kuu juu ya mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu kama kupiga kura,kubadiri tabia, imani,kutoa maoni, uzalendo nk.


Hatuwezi kuwazuia watu kuwaza na kupanga mipango ya kufoji vyeti( nje ya uwezo si jambo la kuhofia) lakini tunaweza kuwazuia watu waliofoji vyeti kuajiriwa na mtu yeyote na hivyo kuwalazimisha kubeba gharama za kufoji vyeti( ndani ya uwezo kwa hiyo ni jambo la kuhofia).

Hatuwezi kuwazuia akina Lowassa na Kikwete na mwanae Lizzone kupanga mipango ya kutuibia na kututia umasikini( nje ya uwezo hatuna hofu), lakini tunaweza kuwajia juu na kuwazuia wasituibie pia watubiapo tunauwezo wa kuwabana makende na kuwashurutisha kurudisha mali zetu( hilo ni jambo la kuhofia)

Hofu yetu kila siku iwe ni juu ya mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu lakini hatuutumii uwezo huo kuweka mambo sawa na hivyo sisi wenyewe kugeuka kuwa sehemu ya uharibifu

Chief Madela,

Kwa kweli uwezo wa kuwabana korodani hawa mabwana tunao, sababu tunayo na nia ipo. Hii imedhihirishwa na jinsi Lowassa alivyotendwa, na hata anguko la Mramba, Karamagi, etc. Kazi iko kwetu kuendelea na mapambano haya kwa kuzidi kubana hizi nanshii zao, na wakileta utani tutazitoa kabisa pale itakapofika miezi ya mwisho ya mwaka 2010.

Ushindi ni lazima na kama kuna viongozi wengine wenye vyeti kama hivi waanze kujiandaa na maelezo ya maana au wakatafute (na kuearn) vyetu visivyo vya kubabaisha.
 
Kulipia gharama kwa kila jambo ni lazima, wamekomba mpaka wakati mwingine unahisi ni ndoto. Wanakijiji Dodoma walimgomea Muungwana asifungue mradi wa maji mpaka hesabu za mradi zipigwe upya ni dalili tosha kuwa Watanzania wameamka, tatizo ni nani apewe dhamana badala ya CCM, vinginevyo 2010 CCM wangeng`oka kirahisi halafu tungekwenda kuchukua desa kwa Bingu wa Mutharika namna ya kuwashughulikia mafisadi. Mungu ibariki Tanzania.
 
Wanabodi,
Mtanisamehe sana ktk hili, Hivi kweli nyie mnaamini kabisa kuwa ELIMU haikutumika ktk mikataba ya serikali?...
Jamani mwee watu walijua wanafanya nini, kukubali hizo hadithi kama za Mama Meghiji ati aliweka sahihi bila kujua ni sababu za kipumbavu kabisa ambazo hazina ukubwa wa elimu isipokuwa busara na katuona sisi wote wajinga wa kutupwa pamoja na hizo elimu zetu.

Hawa watu ni wahujumu Uchumi wanajua fika kila wanachokifanya tena bila mahesabu na kama kweli mmeisoma vizuri report ya Mwakyembe utagundua kuwa mitulinga ilitumika kuondoa taarifa za wataalam ama nieseme wasomi.
Kifupi ni kwamba tumeliwa na tutaendelea kuliwa ikiwa tutashindwa kusimama na kudai haki zetu bila kujali upana wa ELIMU ya mtu. Jizi halina alama wala cheti cha elimu.

Na cha ajabu ni kwamba ktk zengwe la Buzwagi walioandamana wengi ni walalahoi na Machinga. Aliyenifunua ni Zitto mwenye elimu ya kati kabisa.. Je hao Ma Professa wenye ma Phd hawakuliona hili ama kwa sababu mikataba ilitandikwa kisomi..
 
Serikali yetu ingekuwa makini sana kuto-reward watu wanaodanganya umma kuhusu academic qualifications zao kwa sababu mbili:

(a) Wanatoa mfano mbaya kwa watoto wetui. Wanawafundisha kuwa "you can cheat and get away with it"

(b) Siyo waaminifu. Kama wamekuwa waongo kuhusu vyeti vyao basi hawashindwi kutuongopea na kutuletea makaratsi ya uwongo wakishaiba pesa zetu.

Kwa sasa hivi serikali hii imekithiri kwa kuwa na watu walionunua vyeti vya elimu; hasa za Masters na PhD. Nina shaka sana kuhusu uwezo wa serikali ya aina hiyo
 
Serikali yetu ingekuwa makini sana kuto-reward watu wanaodanganya umma kuhusu academic qualifications zao kwa sababu mbili:

(a) Wanatoa mfano mbaya kwa watoto wetui. Wanawafundisha kuwa "you can cheat and get away with it"

(b) Siyo waaminifu. Kama wamekuwa waongo kuhusu vyeti vyao basi hawashindwi kutuongopea na kutuletea makaratsi ya uwongo wakishaiba pesa zetu.

Kwa sasa hivi serikali hii imekithiri kwa kuwa na watu walionunua vyeti vya elimu; hasa za Masters na PhD. Nina shaka sana kuhusu uwezo wa serikali ya aina hiyo


Ukitaka kuwaumbua, peleka vyeti vyao vya Form Four pale Baraza la Mitihani. It is claimed about 40% huwa zina A na B za uongo.
 
JK hizo ndizo zake hata mwaka 1994 IPTL walipokanyaga Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa waziri wa Nishati na Madini ndiye aliyewapokea. Akina Lowassa, Msahaba na Karamagi cha mtoto!!!
 
Lazima JK atakuwa najua yote yaliyotokea. Ilikuwaje awe Dodoma katika kipindi hiki cha Bunge la kukata na shoka, yote ilikuwa ni kujaribu kumuokoa jamaa yake.

Katika hotuba yake ya Juzi Diamond,alikuwa najaribu kurejesha siasa za uvyama kwa kuvitaja vyama kwa majina ili wabunge na wananchi waendelee kugawanyika on party lines ili mafisadfi waendelee kunufaika.

Cha kushangaza alimkandia Anna Kilango kwa kueleza ukweli kuwa kamati ya wabunge wa CCM nayo ilihusika kulinda ufisadi wa Richmond. JK anasahau huko ulaya kwenye kamati kama hizo na hata katika awamu zilizomtangulia kamati hiyo haijawahi kutumika na waziri mkuu wazi wazi kulinda ufisadi.

Mimi hotuba ili sikuona chochote alichosema bora wajhartiri wa TVs wangetupeleka bungeni. Zilikuwa ni jitihada za mfa maji kutapatapa.
Mwarobaini
 
Bandugu,

Kuna habari zipo mtaani zinadai kuwa ni JK mwenyewe ndio aliingizwa mjini na Richmond na wala Msabaha hahusiki. Kuwa kununua kutoka kwa wale jamaa ilikuwa ni directive kutoka kwa JK mwenyewe!!

Kama kuna mwenye uhakika naomba amwage humu!!

FD

Hiyo itakuwa kweli. Lowassa na Mohamed Gire wapi na wapi?
 
Richmond scandal: Team demands officials' arrest
By Damas Kanyabwoya
THE CITIZEN

The Parliamentary Select Committee on the multi-billion-shilling Richmond scandal yesterday called for the company's deregistration and the arrest and prosecution of all the senior government officials implicated in the shady power generating tender.

The committee said in its final recommendations to the National Assembly in Dodoma that the Government should take action against the culprits within three months.

The Government, the committee said, should also immediately stop the daily capacity charges of Sh152 million paid to Dowans Company, which bought the Richmond contract.
It was also recommended that other contracts between the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) and other private electricity generating companies be reviewed to avert massive losses by the Government from dubious power contracts.
Winding up debate on the select committee's report, its chairman, Kyela MP Harrison Mwakyembe, said they had seven new recommendations to make before contributions by other members.
Dr Mwakyembe has in the past few days become a national hero, for delivering the report on Thursday last week that led to the resignation of Prime Minister Edward Lowassa and two senior Cabinet ministers, after their names were linked to the Richmond rip-off.

The two were Mr Nazir Karamagi, who was the minister for Energy and Minerals, and Dr Ibrahim Msabaha, who held the East African Cooperation portfolio.

Yesterday, as part of the new recommendations, the Mwakyembe team called for the nullification of Richmond Development Company's registration because the owners have breached the contract, laws, rules and regulations of the country by registering a void company.

And also due to systematically and continuously providing false information and misleading the ministry of Energy and Minerals and Tanesco, all owners of Richmond should be prosecuted in criminal cases according the laws of the land, Dr Mwakyembe said.

Last week, the nation was engulfed in what President Jakaya Kikwete conceded had been a political storm that saw a prime minister swept away by a parliamentary committee's investigation for the first in the history of Tanzania. Mr Lowassa was directly named as having influenced the award of the tender to the company, which has been described as briefcase concern incapable of executing the huge contract.

The spectacle in the National Assembly in Dodoma triggered the dissolution of the Cabinet, leading to the appointment Mr Mizengo Kayanza Pinda as the new Prime Minister and the naming of a new Cabinet, which was whittled down from 60 to 47 ministers.

Adjourning Parliament yesterday, Mr Pinda said all the recommendations in the Mwakyembe report would be implemented.
He said: I have formed a team that will advise on how to deal with the proposals immediately. But some may take more time.

The Mwakyembe team also recommended an investigation into the Prevention and Combating of Corruption Bureau report that appeared to exonerate Richmond Company from any wrongdoing.

The investigation, Dr Mwakyembe said, should also look into allegations that the original company registration documents that contained the names of the real owners of Richmond were plucked from the files at the Business Registration and Licensing Agency (Brela) and replaced with fake ones.

The select committee also recommended that the Office of the Speaker of the National Assembly should establish a special library where all government contracts will be kept for reference by MPs.

Dr Mwakyembe said he had already presented the contracts of various power generating companies to Speaker's office for filing.

He said new Electricity and Petroleum Bills should be drawn in such a way that they protect the interests of Tanzanians.

He also reiterated earlier proposals that stern disciplinary measures be taken against the Attorney General, the Director General of PCCB, the Commissioner of Energy and the Permanent Secretary of the Ministry of Energy and Minerals the members of the Government Negotiating Team (GNT).

The Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), the Mwakyembe team said, should not be under the ministry of Finance and Planning, which is also a procuring entity. The committee proposed that the authority should report directly to Parliament.

In his winding up remarks, Dr Mwakyembe also demanded that Mr Rostam Aziz, the CCM MP for Igunga, verify or retract his claim that the report had been doctored after being officially presented to the Speaker last December.

Earlier, committee vice-chairperson Stella Manyanya (Special Seats-CCM) said government technocrats had failed the nation by not using their expertise correctly to advise on a matter of national interest.

The Government should enact Public Services laws that protect officials when they reject wrong orders from their bosses. Lack of such laws makes it easy for them to be used as rubber stamps, she said.

Committee member Lucas Selelii (Nzega-CCM) they had received threats on their lives. He said they had presented SMS text messages and other evidence to the Speaker.

Mr Selelii praised the media for exposing the Richmond scandal and said journalists needed support and understanding and not intimidation by politicians.

�The media are like a mirror if they reflect your image and show you have not cleaned your face, do not break the mirror but clean your face instead, he said.

He thanked The Citizen, Mwananchi, Sunday Citizen, Mwanahalisi, Daily News, The African, The Express, Rai, and Majira for their contributions and urged the Government to help train journalists as it had pledged.

Mr Philip Marmo, minister in the President's Office, for Parliamentary Affairs, Policy and Protocol, said the Mwakyembe Select Committee was the fifth in the history of the Union Parliament. The last committee, which he himself chaired, was formed in 1994 to investigate corruption in hunting blocks.

Parliament was adjourned until April 28.
 
The Parliamentary Select Committee on the multi-billion-shilling Richmond scandal yesterday called for the company's deregistration and the arrest and prosecution of all the senior government officials implicated in the shady power generating tender.

Saafi sana na ndo hasa tunachokisema hapa kila siku, bravo kamati ya Mwakyembe.
 
Saafi sana, na ndo hasa tunachokisema hapa kila siku, bravo kamati ya Mwakyembe.

Mkuu hili likitokea wengi tutapiga makofi na kushangilia kwa nderemo, vifijo, vigeregere, lakini muungwana sijui kama ana ubavu wa kumkamata yeyote aliyehusika na Richmonduli. Kwa maoni yangu labda hajui nguvu ya madaraka aliyonayo kama Rais wa Tanzania au na yeye mwenyewe ni mchafu sana kiasi ambacho anaogopa madudu yake yanajulikana na wenzie hivyo akianza kuwashughulikia na wao watamtolea uvivu na wayataje madhambi yake hadharani. Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom