Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!

Mambo ambayo yametokea na kusababishwa directly na Awamu ya nne japo kwa 75% ni:-

1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.

2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..

3. Nikumbusheni...

Mengine ni ya kurithi tu!!! sasa kwa kuwa yanatokea kipindi chake na watu ni wasahaulifu basi kila kitu kimetokea kutoka kwa Awamu ya nne...

Ukiniuliza naona awamu ya nne imesababisha watu(individual, taasis, NGOs) etc kuwa na huru kujadili mambo ya kitaifa na kwa uwazi zaidi hili ni jambo jema kwa serikali....

Awamu ya nne iliweka wazir marosoroso ya Auditor General reports kwa mahesabu ya serikali kwa ajili ya wananchi wafahamu na viongozi husika wafuatilie.

Jamaa wamebadilisha sheria ya rushwa,,, na sasa sio sheria ya bribery bali ya corruptions,,, hii imesababisha at least hata kwenye CCM watu wamekemewa au imeonekana sio jambo tena la kawaida...

Takrima is out!

Naomba kuendelea kuelemishwa maana nadhani kama ni Ben abebe mzigo wako na kama ni Jakaya pia abebe mzigo wake

Nadhani Kilitime unajaribu kutetea japo hata MBINU ZA KUTETEA ZINAKUSHINDA. NI AIBU KUHUSISHA BUZWAGI, RICHMOND na awamu zilizopita. Unaweza kuhusisha suala la BoT na awamu zilizopita lakini awamu ya nne imechukua hatua gani? Hapo utabaini kwamba kwa kipindi cha miaka miwili tu 2006-2007 kiasi cha fedha kilichopotea serikalini ni kikubwa mno na kwa mwendo huo wa KASI MPYA baada ya miaka kumi (kama tukijaaliwa) itakua ni BALAAAAAA KUBWA na nchi itakua haitawaliki. Kinachofanyika ni kusema na kukemea ili wahusika wachukuliwe hatua na ili wasitokee wengine wakaendelea kuchota wakijua HAWATAGUSWA. Hivi kampuni zinazotajwa kuchota fedha za BoT ni za watu wa awamu na tatu ama ya pili?

Unapozungumzia Mkataba wa Buzwagi hauna tatizo, bali tatizo ni sheria,, hivi JK aliposema wanarekebisha kwanza ndio wasaini mikataba, aliteleza ulimi ama alijua TUTASAHAU?

Unapozungumzia UKAME NA TATIZO LA UMEME, hivi kwako pakitokea tatizo unaruhusu familia yako ikafanye uhalifu? NAdhani hakuna UHALALISHWAJI WA UKIUKWAJI WA TARATIBU NA UHALIFU MWINGINE WOWOTE KWA SABABU ZA UHARAKA. Hata VIBAKA WA KARIAKOO WANAKUFANYA UWE NA WASIWASI NA HARAKA ILI WAKUPORE, HIVI UHARAKA WA RICHMOND, umeme umeanza kuzalishwa lini?
 
Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!

Mambo ambayo yametokea na kusababishwa directly na Awamu ya nne japo kwa 75% ni:- mengine ni taarifa tunazozipata kwa kuwa watu wanakuwa huru zaidi, mfano wa mambo yaliyoongelewa kwenye maadhimisho ya nyerere watu wengi wamethubutu kuongea mambo ambayo walikuwa hawawezi,,,tena wengine wasomi wazuri sana....

1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.

2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..

3. Nikumbusheni...

Mengine ni ya kurithi tu!!! sasa kwa kuwa yanatokea kipindi chake na watu ni wasahaulifu basi kila kitu kimetokea kutoka kwa Awamu ya nne...

Ukiniuliza naona awamu ya nne imesababisha watu(individual, taasis, NGOs) etc kuwa na huru kujadili mambo ya kitaifa na kwa uwazi zaidi hili ni jambo jema kwa serikali....

Awamu ya nne iliweka wazir marosoroso ya Auditor General reports kwa mahesabu ya serikali kwa ajili ya wananchi wafahamu na viongozi husika wafuatilie.

Jamaa wamebadilisha sheria ya rushwa,,, na sasa sio sheria ya bribery bali ya corruptions,,, hii imesababisha at least hata kwenye CCM watu wamekemewa au imeonekana sio jambo tena la kawaida...

Takrima is out!

Naomba kuendelea kuelemishwa maana nadhani kama ni Ben abebe mzigo wako na kama ni Jakaya pia abebe mzigo wake!

Anayetaka kuwatukana WTZ hachagui tusi, matatizo mengi unasema ameyakuta. Je, nini maana ya kuwa rais? Majukumu yake ni makubwa na mengi labda kukusaidia mathalani ni kufuta mkataba wowote ule ambao hauwasaidii WTZ. Kama akishindwa anaweza kuliomba bunge kubadili sheria haraka inavyowezekana ili kunusuru pesa za walipa kodi. Sasa kama yeye ameshindwa kufanya hivyo na matatizo yamekuwa mengi si aachie hatamu na wengine waishike?

Hebu tuambie JK tangu aingie madarakani kama sikosei kitu kikubwa alichofanya ni:

1. Kufukia kaburini miiko ya uongozi. (Hata BWM alitangaza mali zake na JK hakumwambia afanye hivyo alipoacha kuwa rais kwa nini? Alimwogopa? Hili lilikuwa jukumu la kwanza la JK lakini ameshindwa).

2. Ameshindwa kuwaambia WTZ interests zake (pamoja na hisa alizonazo) kwenye makampuni makubwa ya kuchimba madini na pia kutangaza mali zake wakati wa kuingia madarakani.

3. Ameshindwa kuilinda katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kuwaachia wanaovunja sheria wapete bila kuwajibishwa. Richmondulian, Dito, Wauza unga ambao majina yao yanaoza kwenye meza yake pale magogoni.

4. Ameshindwa kumwajibisha Balali na timu yake bila kusahau Buzwagi saga ambayo imeleta zomea zomea nchi nzima na hata mwenyewe alishindwa kwenda kwenye ule mgodi hadi alipopata ulinzi mkali kutoka kwa FFU na jeshi la wananchi siku ya pili yake. Ameshindwa kujifunza makosa ya kuwapa management South Africans kuendesha TANESCO, AIR TANZANIA na sasa amewapa Canadians TTCL ambayo tayari inaleta wataalam wasiokuwa na viwango vinavyotambulika.

5. Ameshindwa kuwapa kazi WTZ kwa kazi ambazo sisi WTZ tuna uwezo nazo badala yake wanaajiriwa South Africans kwenye mahoteli pamoja na wageni lukuki ambao wameshehen katika kila sekta na kona ya miji yetu.

6. Tumekuwa watumia dollar, sasa shillingi iende kaburini n.k.
The litany goes on and on...............

Sasa kama rais aliyepo madarakani hawezi kubadili mambo kama haya maana yake ni nini hasa kuwa naye?
 
Kilitime,

Tell me, you are not killing time here. ARE YOU?

FD
Am optimistic he is really killing time!

Kama yeye Muungwana alitaka asibebeshwe dhambi za awamu iliyo pita kimbelembele cha kusema muacheni mzee apumzike na kukataza tuhuma zake zisichunguzwe cha nini?

Hii kasi yake ya kuwakingia kifua mafisadi ni ya nini? kwanini asiwaache wachunguzwe sheria ichukue mkondo wake badala yake anaipangia PCCB na kuiwekea mipaka??

Anaingilia hadi mahakama sheria zinapindishwa muuaji anatesa mtaani tena kwa gari la serikali??

Muungwana????? something somewhere is very very wrong with him!

-Kuvuja kwa mikataba si uhuru wa vyombo vya habari ni dalili ya watu kuchoka na kutokubaliana na yanayo endelea! Kila mtu kachoka kila siku umasikini unaosababishwa na utendaji mbovu wa viongozi!! Lazima dawa ipatikane hili si donda ndugu!
 
Unapozungumzia Mkataba wa Buzwagi hauna tatizo,bali tatizo ni sheria,hivi JK aliposema wanarekebisha kwanza ndio wasaini mikataba,aliteleza ulimi ama alijua TUTASAHAU?....
HALISI,Mkuu wangu huyu JK ni kweli alidhani tutasahau kama yeye anavyosahau kila kukicha. Ndio maana majuzi katutia aibu eti ana sema HAJUI KWA NINI TZ NI MASIKINI? Aibu gani hii? Sijui sasa pale White house anafanya nini?au ndio yale ya kutunza njiwa?
Maana ninavyofahamu mimi na yeye ashakiri kuwa amejiandaa miaka kumi ili kuwa Kiongozi mkuu sasa Dira yake ilikuwa nini kama unasema unataka kuondoa umasikini ilihali hujui kwa nini watu ni masikini. Hapa tunaendeshewa nchi yetu kama hekaya za Abunuwasi
 
Hivi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!

1. Richmond Saga, ambalo ni matokeo ya pressure ya matatizo ya umeme na ukame, tatizo ambalo alirithi, nakumbuka akina Jenerali Ulimwengu walivyokuwa wanaipressure serikali itangaze hali ya hatari, ili taratibu za Procurement zifuatwe ili kupata suluhisho la umeme haraka.

2. Buzwagi, ambapo tatizo ni sheria yenu ya madini, mpaka sasa hakuna aliyesema amekosea kifungu gani cha sheria..., other than kwamba London hotelini, etc etc..

Kilitime umeanza kutia huruma sasa!

Pole sana ndugu yangu. I hope unapata kitu kidogo kwa utetezi wako maana wenzako wanakula mabilioni kwenye hii mikataba na sijui mwenzangu unapata nini?
 
je, mikataba hiyo ihifadhiwe wapi ili isiendelee kuvuja? kwanini uvujaji wa nyaraka hizo umeongezeka? I think there is something wrong somewhere ingawa bado sijaweza kujua exactly tatizo liko wapi?

Watu wanapokuwa 'fed up' wanaamua kusema liwalo na liwe, ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Kwa kibena wanasema 'Swela be'. Mtu akifikia hatua hiyo ya kukata tamaa huwa hatofautishi kufa na kuishi, huwa anakuwa kapoteza kila tumaini.

Huenda kuna jamaa wa mtandao ambao wamefanyiwa ndivyo sivyo, kwa hiyo ndio wanaovujisha mikataba hii.
 
Burudani Kweli Kweli,,, Ooh Nilidhani Leo Ijumaa Jioni!!! Kwi Kwi Kwi Kwi, Mumekuwa Serious Sana.....
 
Kilitime umeanza kutia huruma sasa!

Pole sana ndugu yangu. I hope unapata kitu kidogo kwa utetezi wako maana wenzako wanakula mabilioni kwenye hii mikataba na sijui mwenzangu unapata nini?

KWI KWI KWI,,, MWAFRIKA WA KIKE NIHURUMIE BASI;
 
Watu wanapokuwa 'fed up' wanaamua kusema liwalo na liwe, ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Kwa kibena wanasema 'Swela be'. Mtu akifikia hatua hiyo ya kukata tamaa huwa hatofautishi kufa na kuishi, huwa anakuwa kapoteza kila tumaini.

Huenda kuna jamaa wa mtandao ambao wamefanyiwa ndivyo sivyo, kwa hiyo ndio wanaovujisha mikataba hii.

Mtupori,

hata watu walioko serikalini wamegundua kuwa serikali hii inapeleka nchi pabaya na wameamua kuhatarisha kazi zao ili kuwapatia watanzania ukweli.

Mambo mengi sana tutayajua mwaka huu. Naomba Admin mkiweka huu mkataba mtupatie muda zaidi ili wengi tuupate.

Asante.
 
Hebu tuambie JK tangu aingie madarakani kama sikosei kitu kikubwa alichofanya ni:

1. Kufukia kaburini miiko ya uongozi. (Hata BWM alitangaza mali zake na JK hakumwambia afanye hivyo alipoacha kuwa rais kwa nini? Alimwogopa? Hili lilikuwa jukumu la kwanza la JK lakini ameshindwa).
  • Ben alivyotangaza alipoingia na kuacha kutangaza alivyotoka amekusaidia chochote?
  • Hivi Unajua Viongozi wote wanataja mali zao kwenye tume ya maadili, nenda huko ukaulize kama hajafanya hivyo, nakumbuka swali kama hili na jibu lake, alijibu FTS.

2. Ameshindwa kuwaambia WTZ interests zake (pamoja na hisa alizonazo) kwenye makampuni makubwa ya kuchimba madini na pia kutangaza mali zake wakati wa kuingia madarakani.
Kama JF ilivyo na utaalamu wa kupata data, tufanyieni mpango mkazilete kutoka Tume ya Maadili, hapo ndipo shares na vipande vya hisa anavyomiliki utavipata...

3. Ameshindwa kuilinda katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kuwaachia wanaovunja sheria wapete bila kuwajibishwa. Richmondulian, Dito, Wauza unga ambao majina yao yanaoza kwenye meza yake pale magogoni.
Hii ni issue ya muda tu, kwa kweli mimi nasubiri baada ya audit kwa mfano ya BoT nione nini kinafuata!

Issue ya Ditto, kama kuna issue wa kwanza wakulaumiwa ni mahakama ambayo hairipoti kwa raisi.

Wauza unga, utawala wa sheria siku zote ni kitu cha kukuambia usikurupuke... mfano unao wa kiwanja cha Mwanza na Magufuli... Ahsante

4. Ameshindwa kumwajibisha Balali na timu yake bila kusahau Buzwagi saga ambayo imeleta zomea zomea nchi nzima na hata mwenyewe alishindwa kwenda kwenye ule mgodi hadi alipopata ulinzi mkali kutoka kwa FFU na jeshi la wananchi siku ya pili yake.

Rais ambaye hakusanyi information za kutosha kabla ya kutoa maamuzi atakuwa mkurupukaji? Audit inapatikana ndani ya 2007, si ndio, i will better wait till then.

Ameshindwa kujifunza makosa ya kuwapa management South Africans kuendesha TANESCO, AIR TANZANIA na sasa amewapa Canadians TTCL ambayo tayari inaleta wataalam wasiokuwa na viwango vinavyotambulika.

1. Ofisi ya rais, haiwezi kuwa na taasisi yake yenyewe ya kufanya hayo mambo yote ya makampuni, kuchambua, kushauri na kutekeleza!!!

2. TTCL inamilikuwa na shareholders wawili, sijui lakini nanusa harufu kwamba walifika mahali wakasema wanahitaji third party ku-run company,,, mchakato ulianza lini? sijui... what i know mtu hakurupuki tu, kuamua jambo,,, wenye information wanaweza kuleta hapa.

3. Wafanyakazi wenye kiwango cha chini cha Elimu kutoka nje?, du! nasikitika kama rais wa nchi atakuwa anaangali mpaka wafanyakazi wa makampuni hapo naona itakuwa hakuna utawala kabisa... the fact kwamba huyo mtaalamu anayelalamikiwa hajapata kibali mpaka leo... ni dalili za system kufanya kazi angalau slow... as usual ya watanzania...

5. Ameshindwa kuwapa kazi WTZ kwa kazi ambazo sisi WTZ tuna uwezo nazo badala yake wanaajiriwa South Africans kwenye mahoteli pamoja na wageni lukuki ambao wameshehen katika kila sekta na kona ya miji yetu.

Yeah, hili ndio tatizo la msingi la watanzania,,, president kwenda kwenye mahotel, kuangalia hili,,, nadhani elimu ya urai itakapokwenda chini na kufikia watu kama ninyi kujua kwamba tatizo kama hili responsible ni nani litasaidia sana... kuna kaugonjwa kwamba rais, anafanya kila kitu,,,

6. Tumekuwa watumia dollar, sasa shillingi iende kaburini n.k.
The litany goes on and on...............
Kweli kaka, tatizo liko la muda mrefu, sasa hivi kwa taarifa yako hakuna suppliers au muuzaji yeyote anaweza kumlazimisha mtu kulipia dolar... remember wananchi wana-party yao ya ku-enforce tangazo la serikali...

Sasa kama rais aliyepo madarakani hawezi kubadili mambo kama haya maana yake ni nini hasa kuwa naye?
Yapo ya rais kwenye hoja zako, lakini machache sana....mengi hayana tofauti na mtu ambaye amekaa kijiweni akihesabu siku na kuisubiri siku atakayona maisha bora hali yakuwa anacheza pool kuanzia saa tano asubuhi.
 
KWI KWI KWI,,, MWAFRIKA WA KIKE NIHURUMIE BASI;

teh teh teh,
Sina ugomvi nawe Kilitime.

Yote haya ni kwa manufaa ya nchi na ninaamini kuwa utetezi wako hapa si kwa ajili ya mafisadi bali tu kwa sababu zingine ambazo unazijua wewe.

Hii ni JF, umeruhusiwa kusema chochote mkuu. Ninarudia tu kusema kuwa ni matumaini yangu kuwa unavyotetea Buzwagi na Richmonduli utapata kidogo maana wenzako wamepata mabilioni hapo!
 
Hii ni JF, umeruhusiwa kusema chochote mkuu. Ninarudia tu kusema kuwa ni matumaini yangu kuwa unavyotetea Buzwagi na Richmonduli utapata kidogo maana wenzako wamepata mabilioni hapo!

Natumia fursa hii ya JF, ku-challenge maana tukilalia mrengo mmoja nadhani hatutaelemika hata kidogo! nataka kujiridhisha bila mashaka kwamba yanayosemwa ni kweli na yako ndani ya kanuni zilizowekwa na mamlaka husika

Ni sawa sawa na CCM bila upinzani wangekuwa wamelala usingizi wa pono,,, chali...

Nadhani nafurahia uhuru nilinao sasa hivi, nadhani niko huru zaidi kuliko Mnyika, Tambwe etc. Maana sifungiki na Ideology yoyote...
 
Waungwana,

Kuvuja huku kwa mikataba ni silaha nzuri kweli kwenye kupambana na huu ufisadi. Kama hao viongozi wengijua kwamba waliyoyafanya kwa kujificha yataanikwa barabarani kama inavyofanyika sasa, nina uhakika wangeweka umakini kwenye nini kinaamuliwa.

Miaka nilikuwa naombea lini civil servants watakuwa tayari kutoa siri za serikali? Inaelekea ukombozi aliokuwa anausema Mtikila unakaribia. Muhimu ni kuwalinda wanaotoa hizo contracts kwa nguvu zote maana akija aabdhibiwa mmoja basi wengine wote wataogopa.

Sasa jini limetoka nje ya chupa, jini hili limeamua kumwaga kila kitu. Muhimu ni kulilinda lisirudishwe kwenye chupa.

Jamaa inaelekea wamepanick na hawajui wafanye nini. Kinachotokea sasa ni kama boti la CCM linaanza kuingia maji na akina Butiku, malecela, Mwinyi na wengine wanaona huu ni wakati muafaka wa kulizamisha hilo boti.

Ninasubiri siku CCM asili wanajitoa kwenye chama cha mafisadi.
 
Kiltime said:
Ben alivyotangaza alipoingia na kuacha kutangaza alivyotoka amekusaidia chochote?
Kama huelewi kwa nini hakutangaza mali alipoondoka utaelewa vipi umuhimu wake?

Kiltime said:
Hivi Unajua Viongozi wote wanataja mali zao kwenye tume ya maadili, nenda huko ukaulize kama hajafanya hivyo, nakumbuka swali kama hili na jibu lake, alijibu FTS.
Utakuwa ni mtu wa kwanza kuanza kwenda kwenye tume ya maadili kwani haya mambo huwa inabidi yawekwe kwenye public domain kwa viongozi wakuu bila hata ya kuyatafuta.

Kiltime said:
Kama JF ilivyo na utaalamu wa kupata data, tufanyieni mpango mkazilete kutoka Tume ya Maadili, hapo ndipo shares na vipande vya hisa anavyomiliki utavipata...
Wewe ambaye unawajua hao tume ya maadili kwa nini huendi na kuweka hapa? Kwani umekuwa sio mwana JF tena? Tangu lini? Unaweza kupata kufahamu shares za watu bila kwenda huko kuna njia nyingi tu za kuweza kufahamu, sasa kama wewe hufahamu ni vizuri uulize uambiwe kuliko kubwabwaja hapa.

Kiltime said:
Hii ni issue ya muda tu, kwa kweli mimi nasubiri baada ya audit kwa mfano ya BoT nione nini kinafuata!

Issue ya Ditto, kama kuna issue wa kwanza wakulaumiwa ni mahakama ambayo hairipoti kwa raisi.

Wauza unga, utawala wa sheria siku zote ni kitu cha kukuambia usikurupuke... mfano unao wa kiwanja cha Mwanza na Magufuli... Ahsante
Issue ya muda wakati pesa ya walipa kodi zinapotea, Dito mnalaumu mahakama wakati serikali ndio wameshika mpini amekweli mwenye njaa hamjui mwenye shibe. JK mwenyewe ndiye aliyeomba majina au hufahamu hili? Swala la Magufuli naona huna data, tumeziomba hapa kama unazo leta zikamuliwe.

Kiltime said:
Rais ambaye hakusanyi information za kutosha kabla ya kutoa maamuzi atakuwa mkurupukaji? Audit inapatikana ndani ya 2007, si ndio, i will better wait till then.
1. Ofisi ya rais, haiwezi kuwa na taasisi yake yenyewe ya kufanya hayo mambo yote ya makampuni, kuchambua, kushauri na kutekeleza!!!

2. TTCL inamilikuwa na shareholders wawili, sijui lakini nanusa harufu kwamba walifika mahali wakasema wanahitaji third party ku-run company,,, mchakato ulianza lini? sijui... what i know mtu hakurupuki tu, kuamua jambo,,, wenye information wanaweza kuleta hapa.

3. Wafanyakazi wenye kiwango cha chini cha Elimu kutoka nje?, du! nasikitika kama rais wa nchi atakuwa anaangali mpaka wafanyakazi wa makampuni hapo naona itakuwa hakuna utawala kabisa... the fact kwamba huyo mtaalamu anayelalamikiwa hajapata kibali mpaka leo... ni dalili za system kufanya kazi angalau slow... as usual ya watanzania...
Yeah, hili ndio tatizo la msingi la watanzania,,, president kwenda kwenye mahotel, kuangalia hili,,, nadhani elimu ya urai itakapokwenda chini na kufikia watu kama ninyi kujua kwamba tatizo kama hili responsible ni nani litasaidia sana... kuna kaugonjwa kwamba rais, anafanya kila kitu,,,

Yapo ya rais kwenye hoja zako, lakini machache sana....mengi hayana tofauti na mtu ambaye amekaa kijiweni akihesabu siku na kuisubiri siku atakayona maisha bora hali yakuwa anacheza pool kuanzia saa tano asubuhi.

Sasa tangu aombe list ya wauza unga ni muda gani sijui umepita? Ukikimbilia Ikulu lazima ufanye kazi sio lelemama, leo hii majukumu mnakimbia mbona wakati Taifa Stars wanashinda hata jina mlibadili lakini waliposhindwa mmefyata mkia mnasema rais asifanye kila kitu. Mikataba mibovu ya madini nayo hawezi kuifuta kwani hailisaidii taifa na report zinatoka kila siku kulikoni? Huo ukurupukaji ndio kila siku mnasema angalia jinsi mawaziri wanavyozomewa, JK mwenyewe kuzuiwa kwenda ndani ya nchi yake hivi hamuoni aibu?
Kasungura kenu hakatoshi na hiyo ndege inayopaa ni mazingaombwe tu. Angalia waasisi wa CCM wameanza kuwatosa nao ni upinzani au makengeza? Kama sisi tumekaa kijiweni wewe umekaa wapi? Maneno yako ni sawa na wale wanaopewa pipi na kufikiria ni wajuzi kumbe ni mbumbumbu tu. Naona hata Utanzania unaukana kweli wewe unakiltime hapa.

Habari za TTCL zipo hapa JF unaweza kuzitafuta zilishajadiliwa.
 
Kuvuja huku kwa mikataba ni silaha nzuri kweli kwenye kupambana na huu ufisadi. Kama hao viongozi wengijua kwamba waliyoyafanya kwa kujificha yataanikwa barabarani kama inavyofanyika sasa, nina uhakika wangeweka umakini kwenye nini kinaamuliwa.

Tuko pamoja,

Yaani mimi ninafuraha sana na hii automatic evolution of democracy in my country na uwazi unaokuja bila mtu binafsi kuujenga... na sio ule wa kinafiki kama wa Ben.

Eventually the wananchi will benefit, whether it is through CCM kujirekebisha yenyewe au through Mnyika and Team kuchukua nchi... kwangu mimi poa tu!!!
 
Bandugu,

Kuna habari zipo mtaani zinadai kuwa ni JK mwenyewe ndio aliingizwa mjini na Richmond na wala Msabaha hahusiki. Kuwa kununua kutoka kwa wale jamaa ilikuwa ni directive kutoka kwa JK mwenyewe!!

Kama kuna mwenye uhakika naomba amwage humu!!

FD

Mkuu uliandika haya tarehe 18 Dec 2006... Ukweli utaujua punde.

Stay tuned!
 
Mkuu uliandika haya tarehe 18 Dec 2006... Ukweli utaujua punde.

Stay tuned!

Hata ule wa Buzwagi nyie subirini tu unafikiri hii kichwa ngumu ya kina Karamagi inatoka wapi?
 
ripoti ya ukaguzi iliyo fanwa na kampuni ya kilimanjaro international corporation kwa dhamana ya usia na millenium challenge corporation ya aug. 2007 inasema hivi kuhusu 'richimondul'
“Emergency Power Supply – Richmond Development Company LLC
With regard to tender PC 010/2006 for Emergency Power Supply from Rental Gas Based Generating Plant of 100MW in Dar es Salaam, the Tender Board at its meetings held on 28th and 29th March 2006 disqualified all bids and decided to re-tender to 8 bidders who submitted bids and in addition included 5 new firms in the power rental business following non-responsiveness of the previous 8 bidders. But on 4th April 2006 the Chairman of the Tender Board received instructions from the Board of Directors in response to directives from the Government to re-call all 8 bidders and get clarifications for the submitted bids with the purpose of finding a possible bidder that could deliver thermal plants successfully. This was a clear interference with the tendering procedures and was not consistent with the public procurement procedures. The Tender Board decided to abide by the instructions after its advice was overruled by higher authorities. To record the event the TB minutes of 10th April 2006 read...”at 16:20hours while the discussions were proceeding, a notice was brought to the Tender Board by the Company Secretary that the Board Chairman has directed to suspend the tender process with immediate effect until further notice”

“Also, even after TB recommended that Tanesco should not be part of a contract of a procurement process it had not seen through, it was overruled and it ended up signing a contract with a contractor (Richmond Development Company LLC1) it had initially established conclusively that it was non-responsive to the bid requirements and was unable to deliver the services required.”

sasa ni waziri, el au muungwana ndio swali. lakini the buck stops at kj.

nawakilsha.

macinkus
 
Back
Top Bottom