Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Mtanzania, bwana usianze kunitega ndugu yangu. Majina yao hayakutajwa hadharani na vyombo vingine vya habari kwa sababu ya nafasi zao na mimi niliombwa kuheshimu hilo na ninaheshimu. Ila nakuahidi endapo yatatokea mabadiliko ya Baraza hilo na wakawekwa nje kama wao wenyewe wanavyotarajia basi I'll be at liberty kuwataja.
 
Uko Kyela Mwakyembe wanamwona kama msanii tu,jimbo limemshinda na naona mwaka 2010 kazi ipo na ndo maana ameanza kujipendekeza kwa mwungwana....Mwakyembe sio yule wa zamani naona siasa zimemshinda na ameshindwa kujifunza toka kwa Mwandosya pamoja na kukaa naye kwa karibu sana,hana msimamo na ameanza kuunga mkono mwungwana.Wanakyela wanasema aliwadanganya sana na nafikiri lengo lake lilikuwa sio kusaidia Kyela bali alikuwa na ndoto za Uwaziri

Bila shaka hizo ni hisia zako...toa facts. Tumeona waliozomewa, waliotukanwa na waliomwagiwa michanga na Mwakyembe sio mmoja wao, vipi kuna tusilolijua?
 
Msauzi,

Vipi ndugu yangu unaishi Kyela? Maana ulichoandika ndicho kinachosemwa Kyela. Dr. Kawaangusha wananchi pamoja na kumpa kura zao nyingi, nafikiri Kyela ilikuwa a stepping stone, alikuwa anataka kuwa waziri.

Kazi sasa ni hapa, je atakuwa Mwakyembe yupi? Msanii au Mwakyembe
akili?

Kwasababu kuna watu wa kumwangalia kama akina Zitto, naamini anaweza akafanya kazi ya maana.

Mtanzania,

That is a ten thousand dollars question!

Mwakyembe anabadilika sana siku hizi, ila inaonekana anaenda zaidi kwenye usanii kuliko kwenye usmart wake uliomjenga all these years!
 
Bila shaka hizo ni hisia zako...toa facts. Tumeona waliozomewa, waliotukanwa na waliomwagiwa michanga na Mwakyembe sio mmoja wao, vipi kuna tusilolijua?

Mafuchila,

Labda kama unajua zaidi yale ya Kyela, lakini kwa taarifa nilizo nazo mimi, Msauzi hajazua kitu hapo.
 
Mtanzania umezungumza kwa mamlaka hapo, kwani anaubia na JK hata asiondolewe. Na siwezi kukana au kuthibitisha kama ni mmojawapo...
 
Mtanzania umezungumza kwa mamlaka hapo, kwani anaubia na JK hata asiondolewe. Na siwezi kukana au kuthibitisha kama ni mmojawapo...

Mwanakijiji,

Akiondolewa Prof. Mwandosya, nidai beer siku hiyo, na majani pia nitakununulia, umgawie na Mwafrika wa kike.

Kwa hilo nina ubia na JK.
 
Jamani kuna mtu yoyote anajua credentials za wajumbe wengine wanaonda hiyo tume . Na pia nilitaka kufahamu ya kuwa ni vigezo gani spika alivyotumia kuchagua hao wajumbe .
 
1. Respect kwa hii forum na Muungwana, ni jana tu nilimjibu Engineer Mohamed kuwa Muungwana hupita hapa kila siku, na anzo habari zote za hapa na anazifanyia kazi, huu ni ushahidi tosha kabisa kuhusiana hilo, anayetaka ushahidi zaidi ya huu kama anvyosema Mzee Koba, aende mahakamani, again Bravo kwa hii forum, na Muungwana kwa kusikiliza kilio cha wananchi.

2. Heshima kwa serikali, na hasa Rais Kikwete kwa kuweza hatimaye kusikiliza kilio cha wananchi, kuhusiana na kero kubwa zinazowakera, kuruhusu kuanzishwa kwa hizo kamati, peke yake ni hatua kubwa sana na muhimu, katika kuweka heshima ya serikali kwa wananchi walioichagua.

3. Dr. Mwakyembe, ni a very intelligent man na he can be aggressive akiamua, lakini tusisahau kuwa na yeye ni mwanasiasa, aliyeingia kwenye siasa kutokana na kuishambulia sana serikali alipokuwa Mlimani, CCM wakamnunua kwa kumpa ubunge wa EAC, alipoonja tu kule akaanza kutaka zaidi, yeye na Mama Beatrice Shelukindo, wakamua wanataka uwaziri kwenye Mtandao, ndipo Mwakyembe alipoanza kuwa a compromise, kwa kutafuta ubunge kwa nguvu ili apate uwaziri, Mtandao walishamshitukia hawakumpa, recently amekuwa on both sides of the ishus depending on the ishu, kuna mahali ameibana serikali na kuna mahali pia ameitetea serikali,

Ndugu zangu, we have a government system in Tanzania, nchi yetu na the system is very fragile, lakini ni serikali halali iliyochaguliwa na wananchi kikatiba, na hawa kina Mwakyembe, is all that we have, Mzindakaya the former real leader wa kutotishika na serikali, sasa amekuwa a compromise, kaput finish wamepa hela kidogo that was it,

My final judgement on this, ni kwamba I would rather trust Mwakyembe, kuliko viongozi wengine ambao hawakupewa as far as CCM is concerned, halafu tusisahau the political pressure ndiyo imepelekea kuundwa kwa hizi tume, sasa waliozichagua na wanaohusika wanajua kuwa should they bring back a nonesense outcome, watazomewa mara kumi ya ile ya kutembelea mikoa, wanajua more dataz zitatoka, na I bet you Mwakyembe is the best person to trust iwapo serikali itajaribu kuweka usani kwenye the outcome, binafsi I do not like the wajumbe wa kamati, lakini I also come to terms with the ugly truth kwamba it is all we have, besides upinzani,

na ninaweza kusema with clear conscious kuwa Mwakyembe, sio chaguo la Muungwana, kuwa mwenyekiti au hata mjumbe tu wa hizo kamati, asiyeamini asubiri the outcome!

Naomba kutoa hoja, na ni maoni yangu binafsi tu!
 
Mwanakijiji,

Akiondolewa Prof. Mwandosya, nidai beer siku hiyo, na majani pia nitakununulia, umgawie na Mwafrika wa kike.

Kwa hilo nina ubia na JK.

Mtanzania,

kwi kwi kw ikwi, hayo majani itabidi kwanza yapitishwe na jopo la madaktari wa JF! Ninashukuru though kwa offer.
 
.......

Ndugu zangu, we have a government system in Tanzania, nchi yetu na the system is very fragile, lakini ni serikali halali iliyochaguliwa na wananchi kikatiba, na hawa kina Mwakyembe, is all that we have, Mzindakaya the former real leader wa kutotishika na serikali, sasa amekuwa a compromise, kaput finish wamepa hela kidogo that was it,

Mhh Hii statement inakatisha tamaa mkuu hapa! Ni kweli kuwa we have this govt and there is nothing we can do ila naamini mpaka siku Kikwete akiamua kubadili mambo kweli au kuondoka madarakani basi Tanzania inayofahamika leo itakuwa imeuzwa na kuisha kabisa

....I bet you Mwakyembe is the best person to trust iwapo serikali itajaribu kuweka usani kwenye the outcome, binafsi I do not like the wajumbe wa kamati, lakini I also come to terms with the ugly truth kwamba it is all we have, besides upinzani,

......
Naomba kutoa hoja, na ni maoni yangu binafsi tu!

Mhhh kama Tanzania nzima Mwakyembe is the best person to trust basi hiyo nchi inaelekea kuzimu right now!
 
1. Respect kwa hii forum na Muungwana, ni jana tu nilimjibu Engineer Mohamed kuwa Muungwana hupita hapa kila siku, na anzo habari zote za hapa na anazifanyia kazi, huu ni ushahidi tosha kabisa kuhusiana hilo, anayetaka ushahidi zaidi ya huu kama anvyosema Mzee Koba, aende mahakamani, again Bravo kwa hii forum, na Muungwana kwa kusikiliza kilio cha wananchi.

Mzee ES, kama yaliyotokea leo unayaita ni kusikiliza kilio cha wananchi basi neno "kusikiliza" limepoteza maana. Ni yeye Rais Kikwete ambaye karibu mwaka mmoja baadaye ndiyo anajiuliza kama kuna tatizo bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Na hapa sizungumzii suala la wale wa Ukraine, nazungumzia hapo hapo TZ. Leo hii watoto wa Azania wamegoma kwa sababu mazingira wanayosomea ni machafu kupindukia, na nchi ina mawaziri wa Afya na Elimu!!!

2. Heshima kwa serikali, na hasa Rais Kikwete kwa kuweza hatimaye kusikiliza kilio cha wananchi, kuhusiana na kero kubwa zinazowakera, kuruhusu kuanzishwa kwa hizo kamati, peke yake ni hatua kubwa sana na muhimu, katika kuweka heshima ya serikali kwa wananchi walioichagua.

Mzee mwenzangu, ile tume ya Rais siwezi kuisemea kwani anayo mamlaka yote ya kuunda tume yoyote ya uchunguzi au ushauri kwa mujibu wa Katiba. Kuhusu ile Tume Teule ya Bunge ninafahamu kuwa ni yeye aliyetaka hoja iletwe Bungeni (niliandika hapa mapema jana kuhusu Richmond). Lakini kitendo cha Bunge letu kusubiri "ruhusa" ya Rais kuweza kufanya kazi yake ya Kikatiba ni aibu na cha kupuuzwa! Rais hayuko Juu ya Bunge! Hivyo kama ametoa ruhusa ya kufanya hivyo, ninawaonea huruma wabunge wetu.

3. Dr. Mwakyembe, ni a very intelligent man na he can be aggressive akiamua, lakini tusisahau kuwa na yeye ni mwanasiasa, aliyeingia kwenye siasa kutokana na kuishambulia sana serikali alipokuwa Mlimani, CCM wakamnunua kwa kumpa ubunge wa EAC, alipoonja tu kule akaanza kutaka zaidi, yeye na Mama Beatrice Shelukindo, wakamua wanataka uwaziri kwenye Mtandao, ndipo Mwakyembe alipoanza kuwa a compromise, kwa kutafuta ubunge kwa nguvu ili apate uwaziri, Mtandao walishamshitukia hawakumpa, recently amekuwa on both sides of the ishus depending on the ishu, kuna mahali ameibana serikali na kuna mahali pia ameitetea serikali,

Kwenye la Mwakyembe siwezi kukomment sana kwa sasa, I'll give him the benefit of the doubt kuwa atatambua kuwa nchi yake imemuita na kumpa jukumu kubwa zaidi ya ambitions zozote alizonazo kisiasa. I hope he'll answer the call!
Ndugu zangu, we have a government system in Tanzania, nchi yetu na the system is very fragile,

I would love to hear why you consider our government "fragile" after almost fifty years of independence, political stability, peace and tranquility; why is it fragile sir?

lakini ni serikali halali iliyochaguliwa na wananchi kikatiba, na hawa kina Mwakyembe, is all that we have, Mzindakaya the former real leader wa kutotishika na serikali, sasa amekuwa a compromise, kaput finish wamepa hela kidogo that was it,

I beg to differ sir on your assessment of what we have. Kusema kwamba hawa kina Mwakyembe "is all that we have" is oversimplification of reality. No sir! we have more than the Mwakyembes, we have more than the Mzindakayas! You know it and H.E Kikwete knows it too.. To me the Mzindakaya's and Mwakyembe's is what CCM has! not the country as a whole! Siku wakiamua kufungua macho na kuangalia nje ya kikundi chao cha watu milioni tatu na ushee watashangaa kuna zaidi ya watu milioni 30 wengine!!
My final judgement on this, ni kwamba I would rather trust Mwakyembe, kuliko viongozi wengine ambao hawakupewa as far as CCM is concerned, halafu tusisahau the political pressure ndiyo imepelekea kuundwa kwa hizi tume, sasa waliozichagua na wanaohusika wanajua kuwa should they bring back a nonesense outcome, watazomewa mara kumi ya ile ya kutembelea mikoa, wanajua more dataz zitatoka, na I bet you Mwakyembe is the best person to trust iwapo serikali itajaribu kuweka usani kwenye the outcome, binafsi I do not like the wajumbe wa kamati, lakini I also come to terms with the ugly truth kwamba it is all we have, besides upinzani,

Bado jibu langu la hapo juu linapply hapa. Binafsi bado sijawa impressed by the whole illusion!

na ninaweza kusema with clear conscious kuwa Mwakyembe, sio chaguo la Muungwana, kuwa mwenyekiti au hata mjumbe tu wa hizo kamati, asiyeamini asubiri the outcome!

Naomba kutoa hoja, na ni maoni yangu binafsi tu![/QUOTE]

hoja imefika kaka na imejibiwa!
 
Msanii na I'll bet my life on them hao wabunge yakija mabadiliko hawarudi kwenye Uwaziri!! Najua vyombo vya nyumbani havikutangaza (aidha kwa makusudi au kwa kutokujua).

..mzee, kama JF na blogs hazingekuwepo, leo tungekuwa tunalaani wanaowapakazia vigogo ufisadi kwani vyombo vya habari vinatumika sana kutubrain wash. Kwa sasa naamini kuwa stratergy ni kukubali kila pendekezo la kamati huru ya bunge ili kutorudia makosa ya buzwagi, lakini pia mjue spika anayo mamlaka kisheria na kikanuni kuteua wajumbe wa kamati hivyo kuna kila namna ya kukwepa uwajibikaji na kutoa ripoti ya kitakukuru.

Nadhani tuna wataalam wengi wa kiuchunguzi na hawajapewa nafasi, wangeliweka huru jeshi la polisi na kuwapatia maslahi yao basi leo tusingekuwa na takukuru wala tume zilizotumwa. nchi ijisahihishe na kufuata katiba.

Kuhusu Mwakyembe, sijachangia awali ila najisikia kutochangia kwani namfahamu na kuna urafiki wa kifamilia hivyo nikimpamba au kumponda sintakuwa nimemntendea haki, najua wapo wanaomfahamu zaidi hasa kiutendaji hivyo ni budi naye ajitokeze kuuhakikishia umma kuwa anafaa au awekwe pembeni.

mwanakijiji nina mapendekezo mawili matatu hivi kwako ila in next few days nitakutumia mapendekezo hayo
 
1. I would love to hear why you consider our government "fragile" after almost fifty years of independence, political stability, peace and tranquility; why is it fragile sir?

Ni kwa sababu ya makosa makubwa yaliyofanywa na upinzani, walipoamua kuanzisha system ya vyama vingi vya siasa chini ya katiba ya chama kimoja CCM, ndio maana ninaiona system yetu politically kuwa ni fragile,

2. I beg to differ sir on your assessment of what we have. Kusema kwamba hawa kina Mwakyembe "is all that we have" is oversimplification of reality. No sir! we have more than the Mwakyembes, we have more than the Mzindakayas! You know it and H.E Kikwete knows it too.. To me the Mzindakaya's and Mwakyembe's is what CCM has! not the country as a whole! Siku wakiamua kufungua macho na kuangalia nje ya kikundi chao cha watu milioni tatu na ushee watashangaa kuna zaidi ya watu milioni 30 wengine!!

As far as CCM is concerned, tuna kina Mwakyembe ambao ndio at least objective, huenda kuna wengine lakini kwa wale waliochaguliwa bungeni on CCM's side, Mwakyembe is one of the best we have, lakini huenda we have more objectives nje ya bunge letu, that was my point!

Otherwise tunazungumza lugha moja on this ishu, lakini subira ipewe nafasi I still believe in it, kama nilivyosema from day one, inaonekana kuanza kuleta heri!
 
Ajabu ni kwamba yuko pia kwenye kamati ya JK kuhusu madini. double annoitment
 
Back
Top Bottom