1. Respect kwa hii forum na Muungwana, ni jana tu nilimjibu Engineer Mohamed kuwa Muungwana hupita hapa kila siku, na anzo habari zote za hapa na anazifanyia kazi, huu ni ushahidi tosha kabisa kuhusiana hilo, anayetaka ushahidi zaidi ya huu kama anvyosema Mzee Koba, aende mahakamani, again Bravo kwa hii forum, na Muungwana kwa kusikiliza kilio cha wananchi.
2. Heshima kwa serikali, na hasa Rais Kikwete kwa kuweza hatimaye kusikiliza kilio cha wananchi, kuhusiana na kero kubwa zinazowakera, kuruhusu kuanzishwa kwa hizo kamati, peke yake ni hatua kubwa sana na muhimu, katika kuweka heshima ya serikali kwa wananchi walioichagua.
3. Dr. Mwakyembe, ni a very intelligent man na he can be aggressive akiamua, lakini tusisahau kuwa na yeye ni mwanasiasa, aliyeingia kwenye siasa kutokana na kuishambulia sana serikali alipokuwa Mlimani, CCM wakamnunua kwa kumpa ubunge wa EAC, alipoonja tu kule akaanza kutaka zaidi, yeye na Mama Beatrice Shelukindo, wakamua wanataka uwaziri kwenye Mtandao, ndipo Mwakyembe alipoanza kuwa a compromise, kwa kutafuta ubunge kwa nguvu ili apate uwaziri, Mtandao walishamshitukia hawakumpa, recently amekuwa on both sides of the ishus depending on the ishu, kuna mahali ameibana serikali na kuna mahali pia ameitetea serikali,
Ndugu zangu, we have a government system in Tanzania, nchi yetu na the system is very fragile, lakini ni serikali halali iliyochaguliwa na wananchi kikatiba, na hawa kina Mwakyembe, is all that we have, Mzindakaya the former real leader wa kutotishika na serikali, sasa amekuwa a compromise, kaput finish wamepa hela kidogo that was it,
My final judgement on this, ni kwamba I would rather trust Mwakyembe, kuliko viongozi wengine ambao hawakupewa as far as CCM is concerned, halafu tusisahau the political pressure ndiyo imepelekea kuundwa kwa hizi tume, sasa waliozichagua na wanaohusika wanajua kuwa should they bring back a nonesense outcome, watazomewa mara kumi ya ile ya kutembelea mikoa, wanajua more dataz zitatoka, na I bet you Mwakyembe is the best person to trust iwapo serikali itajaribu kuweka usani kwenye the outcome, binafsi I do not like the wajumbe wa kamati, lakini I also come to terms with the ugly truth kwamba it is all we have, besides upinzani,
na ninaweza kusema with clear conscious kuwa Mwakyembe, sio chaguo la Muungwana, kuwa mwenyekiti au hata mjumbe tu wa hizo kamati, asiyeamini asubiri the outcome!
Naomba kutoa hoja, na ni maoni yangu binafsi tu!