Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa weledi.
Mfano leo Wasafi FM kwenye kile kipindi, wakiongozwa na Mwanachqma wa Yanga Maulid Kitenge, Yusuph Mkule wanatoka hadharani wanasau weledi kwenye kazi yao wanakazana eti bodi ya Ligi Ifutwe?? Hii inaingia Akilini?
Yanga imetwaa Ubingwa wa Ligi kuu kwa misimu mitatu mfululixo kwa Bodi hiyo hiyo ikisimamia Ligi mbona hatukuwahi kuona maoni kama haya ya kipuuzi?
Nakumbuka mwaka 2021 Bodi hii hii ya Ligi iliusogeza mbele mchezo wa Simba vs Yanga kutoka saa 11 mpaka saa 1 jioni, Yanga wakagoma na wakapewa nafasi ya kucheza wakati mwingine wakati ule bodi ya Ligi ilikuwa tofauti na sasa? Kwahivyo wanachokofanya wachambuzi na waandishi wa habari wa habari za michezo akiwemo Maulid Kitenge na wenzake wa Yanga kutimiza majukumu yao bila kuwa weledi na kufanya Uchunguzi wa maswala haya ya michezo ili kuja na Mijadala ya kujenga ni USHABIKI MAANDAZI.