mtutuwajambazi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 520
- 310
Genius.Basi ananunua mashabiki,tumebadilisha sasa.
Na ukiona watu wanazungumzia KUDHIBITI hiyo inamaanisha kuna POSSIBILITYKikubwa inawezekana kama alivyoema ila walichadai ni kuwa wao wanadhibiti hiyo hali isitokee
Sorry... naomba nikuulize...ulisoma vidudu na chekechea?Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....
Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
Umewaona wasafi tu ndo anaowasimamia mbona kataj wasanii kibao na kiba yumo au hujaona ilo jina ulipowaona tu wasafi akili ikarukaMsimamizi wa youtube ndo msimamizi wa account za wasafi na amekiri hiyo michezo ipo unafikiri atakubali kuwa wanafanyaga hivo? je unajua kuwa watu wanauza account za instagram zenye follower 1m na kuendelea na wahusika hawajui, dunia ndogo mkuu na watu wanasoma sana ajira hakuna...
Wasafi wanaweza kununua lengo si kulipwa ila wakahitaji kupata sifa tu..
Laiti kama huyo mwakilishi asingefungamana upande wwte ningekuamini other than that wote wale wale
Ahahhahahahaah uwiBasi ananunua mashabiki,tumebadilisha sasa.