Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Kiukweli - views wananunua mimi kama mwana I.T hlo suala 2nalijua wazi
 
Kikubwa inawezekana kama alivyoema ila walichadai ni kuwa wao wanadhibiti hiyo hali isitokee
Na ukiona watu wanazungumzia KUDHIBITI hiyo inamaanisha kuna POSSIBILITY
 
Kuna watu walisema haiwezekani kabisa kununua views youtube,ila tumeona kuwa inawezekana ila kasema Diamond hajanunua views.

Haya sasa ni wakati wa Diamond naye kuthibitisha kuwa Dimpoz anapumuliwa.
 
Msimamizi wa youtube ndo msimamizi wa account za wasafi na amekiri hiyo michezo ipo unafikiri atakubali kuwa wanafanyaga hivo? je unajua kuwa watu wanauza account za instagram zenye follower 1m na kuendelea na wahusika hawajui, dunia ndogo mkuu na watu wanasoma sana ajira hakuna...
Wasafi wanaweza kununua lengo si kulipwa ila wakahitaji kupata sifa tu..
Laiti kama huyo mwakilishi asingefungamana upande wwte ningekuamini other than that wote wale wale
 
Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....

Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
Sorry... naomba nikuulize...ulisoma vidudu na chekechea?
 
Wanasema huwezi kununua Viewers lakin hapo hapo wanasema wakigundua umenunua Viewers wanakufungia
 
Msimamizi wa youtube ndo msimamizi wa account za wasafi na amekiri hiyo michezo ipo unafikiri atakubali kuwa wanafanyaga hivo? je unajua kuwa watu wanauza account za instagram zenye follower 1m na kuendelea na wahusika hawajui, dunia ndogo mkuu na watu wanasoma sana ajira hakuna...
Wasafi wanaweza kununua lengo si kulipwa ila wakahitaji kupata sifa tu..
Laiti kama huyo mwakilishi asingefungamana upande wwte ningekuamini other than that wote wale wale
Umewaona wasafi tu ndo anaowasimamia mbona kataj wasanii kibao na kiba yumo au hujaona ilo jina ulipowaona tu wasafi akili ikaruka
 
Ebhu achen unafki bhna mbna kwnye interview alkataa ommy kwamba akumaanisha ni chibu,
Infact youtube nao ni wafanya biashara hawawezi kukubali iyo ishu ili waonekane hawako vzr kwny securing website yao....
Kwan hamna hackers wanao hack seem ambazo very tight kweny security?
Iyo kitu inaweza ikawepo ila watu wakaiminya tuuu
 
Kwani aliyetoa hilo tamko nae si anaweza kununuliwa pia ?au kwa kuwa ni muwakilishi wa you tube east Africa hanunuliki?
 
Unauwakika gani labda uyo muwakilishi kahongwa amsafishe mondi yote yanawezekana usani wa bongo banaa pasua kichwa
 
Wew na huyo muwakilishi wa you tube ni waongo inawezekana kununua views hadi Facebook unanunua like ishindikane views
 
Back
Top Bottom