Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Kuna sehemu mondi alisema dimpo anapumulia?
 
'Kama akinunua view wanamfungia akaunt yake' hapo si tayari kumbe uwezekano upo.. na kama upo huyo anaefunga akipewa hela atafungaje na wakati na yeye ana mgawo wa hizo hela?
Hivi umeelewa kweli kilichozungumzwa?
 
Kwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Ommy hajatokwa mapovu ila Diamond katokwa mapovu na hadi macho akawa anayatoa wakati anahojiwa.
 
Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....

Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
Jifunze japo kutulia na kuandika vizuri ndio u comment kitu kinachosomeka na kueleweka.
 
Hapa ndipo mnapobugi... mtu anaingia Google na ku-Google "How to Buy YouTube Viewers!" Kama hujawahi kufanya masuala ya digital marketing huwezi kufahamu haya mambo!! Ngoja tuwachambue hao wanaodai kuuza Viewers! Kwanza, tuweke jambo moja wazi... kwenye Viewers kuna Organic Viewers na Automated Viewers. Organic Viewers ni pale BINADAMU anapoingia YouTube Channels kuangalia video na Automated Viewers ni Viewers wanaotokana na mautundu ya IT!!

Sasa basi, kununua Automated Viewers ni 100% POSSIBLE na watu huwa wananunua! The problem with Automated Viewers ni kwamba hawapo reliable kabisa... which means, unaweza kununua Viewers 50K hivi sasa na wakaoneekana kwenye channel yako lakini ukija kesho kutwa unaweza kukuta wamebaki 500 au hamna kabisa! Hawa ni rahisi sana kuwa detected unless IT wewe uliye mtaani ukitegemea kuuza Views uwe smart mara 1000 kuwazidi ma-IT wa Google na YouTube kwa pamoja bila kusahau kuwazidi ma-IT wa makampuni mbalimbali wanaotumia millions of $$$ kuwalipa Google kwa ajili ya matangazo!!

Kwavile Automated Views ambao ndio unaweza kununua kirahisi ni magumashi kwa watu wanaoelewa; ndio maana HAKUNA hata Muuzaji mmoja wa Viewers atakaekuambia anauza AUTOMATED VIEWS kwa sababu anafahamu ataishia kuuza kwa watu ambao ni ignorant! Kutokana na hilo, kila muuzaji atakuambia anauza ORGANIC VIEWS wakati SI KWELI!!

Tuanze sasa kuwachambua hao wauzaji mnaowaokota kwenye Google! Tukianza na huyo ambae umeleta taarifa zake hapa; ukienda kwenye FAQ, kuna hili swali na jibu lake:


Maana ya hilo swali ni sawa na kuuliza wanauza Automated au Organic Views! Lakini kwavile anafahamu ukinunua Automated Viewers lazima Google watakushitukia na kukupiga ban, ndio maana wanasema VIEWS zao ni watu REAL ambao wanapatikana kwa ku-advertise video yako kwenye mitandao mingine!!

Hapo muulize hizo partner websites wanazotumia kutangaza video zako ni zipi; HATAKUTAJIA kwavile hazipo... ni waongo na scammers!! Lakini kama kweli wana-advertise video yako kupata views; hiyo sio dhambi na inaruhusiwa na ndicho kinachofanywa na makampuni... kulipa thousands of dollars ku-promote videos! Asikudanganye mtu; sio kazi ndogo... sio kazi ya kwamba eti mtu anaweza kukupatia 60,000 kwa ku-promote video yako kwenye mitandao; SIO KWELI labda kama unatangaza video ya Beyonce ambayo inajitangaza yenyewe!!!

But very interesting, huyo jamaa ni moja VI.LAZA wachache sana wanao-claim kuuza Views na mwenyewe anaiweka wazi YouTube Channel yake! Wengi hata ukiwaambia wakuoneshe YouTube Channel yao, hawawezi kukuonesha! Sasa tukirudi kwa huyo anayedai kuuza 60,000 Views Overnight, YouTube Channel yake ni hii hapa:


Wakati ana-claim kuwa na uwezo wa kuuza maelfu ya Views; yeye mwenyewe ana Subscribers 931 kwenye channel yake!!! Kwanini asitumie huo uwezo wake akawa na malaki ya Subscribers ili kurahisisha kazi yake ya Digital?

UKiangalia videos zake; Video yenye Views nyingi kuliko zote ina Views 48,478 na ina zaidi ya mwaka! Sasa how come tena yeye yeye mwenye uwezo wa ku-issue 60K Views over night; videos zake hakuna hata moja yenye angalau 30K Views? And FYI, hao views 48,478 anapata kutoka kwa watu kama nyinyi ambao wanaamini kila kitu! Ume-Google, umeambiwa ni very possible, unaamua kufuata link yake-- una-VIEW!

Tumwangalie Muuzaji mwingine Maarufu wa Views; huyu anaitwa QQTube. Ngoja na yeye tumuulize hao Views anawatoa wapi? QQTube huyu hapa:

Kama huyo wa mwanzo, na yeye anadai anapata Views kwa ku-promote video yako kwa partner websites... mwambie unataka 10M Views lakini kwa condition kwamba akutajie huko anako-promote; trust me; HATAKUTAJIA kwa sababu ni mwongo!!!!! Sema this guy is much smarter than the first one manake hakutaka kujichoresha kwa kuweka YouTube channel ya kwake!!

Muuzaji mkubwa mwingine ni huyu anayeitwa BuyViews. Je, na yeye anatoa wapi Views? Msome mwenyewe:

Jibu lake nae ni kama wenzake... REAL PEOPLE! Lakini kama ilivyo kwa majority of YouTube Views Sellers, nae hajaweka wazi YouTube Channel anayomiliki lakini ukienda wewe atakuambia ana uwezo wa kukupatia 50K within 24 Hours! Na ni kweli, within 24 hours utakuta 50K Views lakini baada ya wiki; utashangaa wamebaki 235 (Mia mbili na...)!!!!

Swali lingine la msingi, ni kwanini wote wana-claim Views zao ni REAL? Kwa sababu wanajua Automated Views hawakai YouTube kabla hawajakuwa blocked kwahiyo njia ya kuwajengea confidence watu ni hiyo kukuambia wana-promote video yako na kupata hizo Views! Narudia; ku-promote videos kwa ajili ya kupata Views sio DHAMBI na inaruhusiwa kwa sababu ndivyo inavyofanyika na kampuni mbalimbali! The problem ni kwamba, hao jamaa hawafanyi hilo jambo zaidi ya kukupa Automated Views ambazo hata kama ni 1 Million Views; baada ya wiki moja utakuta less than 1000 Views!

Binafsi, mimi mwenyewe; si kwa kuambiwa wala kusoma mahali; mwaka 2012 niliwahi kununua Direct Referrals ambao ni sawa na YouTube Views! DR wanatumika kwenye Pay Per Click business... nilikula hasara!!!!! Ilikuwa kila nikilala; nikiamka, nakuta nusu ya waliokuwa jana active; wanakuwa wamepotea!!!!
 
Inaonekana dimpoz wakati anaropoka alikua anatoka kupumulia. Tumsamee jamani sio yy anatafuta kiki na kiki alipata kma alivyosema mondi kua wacha awape kiki kwa sababu wanatafuta kiki
 
Leo gazeti la New vision la Uganda page 44 limeitoa pia habari hii, nadhani Omari anatatizo asaidiwe ndio ubinadamu
 
Kwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Wapi ommy alimtaja mama ake Diamond au ni nyie tu mlimtafsiri viabaya
 
Kwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Wapi ommy alimtaja mama ake Diamond au ni nyie tu mlimtafsiri vibaya
 
Kwa hiyo hata Ali Salehe naye ananua views?
Yawezekana pia kwa sababu hakutajwa mtu ila huwezi kuja kumsafisha bosi wako hapa kisa sijui nani wa youtube kasema nini... inawezekana hata nae kanunuliwa aje amsafishe
 
Ananunua vingi c viewers tu mbona vingine hamsemi au mkakataa kuwa hanunui acheni kupenda Ili muendelee kupumuliwa
 
Dah yani clouds wamemleta jamaa amsafishe mondi hahahahahaha. Yani hii wiki wiki mbaya kwa mondi
 
Inaonekana dimpoz wakati anaropoka alikua anatoka kupumulia. Tumsamee jamani sio yy anatafuta kiki na kiki alipata kma alivyosema mondi kua wacha awape kiki kwa sababu wanatafuta kiki
Sio kwa kiki ile ya kumtoka mimacho wakati anaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…