chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Hahahahaha umenichekeshaBasi ananunua mashabiki,tumebadilisha sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha umenichekeshaBasi ananunua mashabiki,tumebadilisha sasa.
Kuna sehemu mondi alisema dimpo anapumulia?Hivi Alikiba mbona anawanyima Usingizi? Kwanza hii uliyoongea hapa ni Pumba Kabisa, Hakuna mahala ambapo Ommy Dimpo wala Alikiba aliwahi sema kuwa Diamond ananunua Viewers, Huo ni Uchonganishi na Sijawahi kuona muhaya Mjinga kama wewe, Lakini la Pili Amekili kuwa ni kweli unaweza kununua viewers ila wakigundua wanakufungia, kwahiyo ni kweli unaweza kununua na pengine wasikugundue. Acha Uchonganishi Msipo Angalia Alikiba Atakuja kiwaua kwa Presha. Haya nendeni mtafuteni Mganga wake naye Aje akanushe kuwa Uwezi Kuroga, maana waganga wako makini watagundua.
Hivi umeelewa kweli kilichozungumzwa?'Kama akinunua view wanamfungia akaunt yake' hapo si tayari kumbe uwezekano upo.. na kama upo huyo anaefunga akipewa hela atafungaje na wakati na yeye ana mgawo wa hizo hela?
Ommy hajatokwa mapovu ila Diamond katokwa mapovu na hadi macho akawa anayatoa wakati anahojiwa.Kwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Jifunze japo kutulia na kuandika vizuri ndio u comment kitu kinachosomeka na kueleweka.Sasa mlidhan watakubali hao youtubewaharibu soko lao? Kiukweli Views unaweza kueanunua kabida....
Hata mimi ningekana haeanunui kulinda biashara...
Alipokua anayatoa macho alikua anayaweka wapi?Ommy hajatokwa mapovu ila Diamond katokwa mapovu na hadi macho akawa anayatoa wakati anahojiwa.
Hapa ndipo mnapobugi... mtu anaingia Google na ku-Google "How to Buy YouTube Viewers!" Kama hujawahi kufanya masuala ya digital marketing huwezi kufahamu haya mambo!! Ngoja tuwachambue hao wanaodai kuuza Viewers! Kwanza, tuweke jambo moja wazi... kwenye Viewers kuna Organic Viewers na Automated Viewers. Organic Viewers ni pale BINADAMU anapoingia YouTube Channels kuangalia video na Automated Viewers ni Viewers wanaotokana na mautundu ya IT!!acha mahaba na mapenzi binafsi
huyo aliyehojiwa ndo anahusika kwe biashara nzima
..unaenda muuliza mwalimu mkuu kama shule huwa inaiba matokeo..shenzi..
reality is its possible to buy views
https://devumi.com/youtube-views/
I bought myself 60,000 YouTube views for Christmas
mitanzania kweli haipendi fanya reserch
akapumuliwe vizuri huko UkongaHuyu dimpozi anatakiwa aende ukonga akamenyeke kwa kumsingizia tz icon..hana uzalendo na nchi
Wapi ommy alimtaja mama ake Diamond au ni nyie tu mlimtafsiri viabayaKwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Wapi ommy alimtaja mama ake Diamond au ni nyie tu mlimtafsiri vibayaKwani kupumuliwa Ommy alitajwa? Mbona alijibu mpaka kwa kashfa kwa Mama mond. Aibu
Mpaka ataje ndo uelewe?Kwani O. Dimpoz wakati anasema hivyo alitaja jina la Diamond?
Yawezekana pia kwa sababu hakutajwa mtu ila huwezi kuja kumsafisha bosi wako hapa kisa sijui nani wa youtube kasema nini... inawezekana hata nae kanunuliwa aje amsafisheKwa hiyo hata Ali Salehe naye ananua views?
Shikamoo tomaso[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani ana ushahidi kama uyo ni mwakilishi
Sio kwa kiki ile ya kumtoka mimacho wakati anaongea.Inaonekana dimpoz wakati anaropoka alikua anatoka kupumulia. Tumsamee jamani sio yy anatafuta kiki na kiki alipata kma alivyosema mondi kua wacha awape kiki kwa sababu wanatafuta kiki