Tulia dawa iingie wewe.Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Nani asiyejua kuwa chama chenu ndicho muasisi, mlezi, mratibu, wa biashara ya ngono.Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Ulitaka tumuamini bashite?bado mnamuamini huyo malaya mange.....
Ni boraMwenzie anafanyia State yeye anaefanyia ngono UwanjawaFISIem hali yake ipojeIts doesn't matter whether anauza nyapu au la,kwake ni facts tu.Eti anauza nyapi wewe ndo dalali wake?
Ukweli utamwacha huruKama wewe ni mwanamke siwezi kukushangaa lakini kama ni kijana wa kiume au Mwanaume jitaidi ubadilike.
Tukio hili halitamwacha DIK salama.Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Katibu mwenezi ni ZARI.Mange ndio katibu wenu wa itikadi na uenezi? Maana msemaji wa chama mnaye anajulikana.
Mange anatoa kwa ajili ya chadema au anatoa chanzo husika. Naona tushaanza kuachana kiitikadiUjinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...
Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mange si mchagga, umekaririshwa HOFU na CHUKI juu ya wachagga.mtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....
Ni mwanamke mchonganishi sana ambaye hastahili kuitwa mama... sipatii picha hao watoto wake anawalea vipi?
Kwani.mange ni nani? Kwa mange nisawa kwa muro sio sawa maku huyoKaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.
Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.
Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.
Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Kama mpaka gazeti la uhuru linaweka habari zake font fedi , nasema mimi ni nani hata nisimuaminibado mnamuamini huyo malaya mange.....
Wapo tayari kutolewa macho kwa sababu ya njaa.Si bora huyo mwanamke anayeuza utamu kuliko wewe mwanaume unatoa jicho ili upate madaraka. Hakuna anayejali jinsia wala kazi ya mtoa ukweli, cha muhimu ni kusikia anachosema kisha tupime kina ukweli kiasi gani. Kama wanaopaswa kufanya uchunguzi na kutoa ukweli wanaleta siasa za kuficha ukweli ngoja huyo unayesema anauza utamu aseme.
USA Baby!Nyani ngabu?
mwenezi hapati usingizi.Mange kiboko ya Lumumba.....walimsikia matumbo yanawauma......
bado mnamuamini huyo malaya mange.....