Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Mbona mnaweweseka subirini video au hizo nyeti,,,,msije mkafa kihoro bure
 
Wasaliti, waongo, wauaji, wanyanyasaji na wanao waunga mkono yaani washirika wao. Mungu msimshirikishe ktk uovu wenu yeye ni mtakatifu, ni kosa kubwa mtu mwovu kuomba aombewe kwa MUNGU.
MUNGU atazidi kuwa mbali na huyo mtu, na uovu wake utakuwa mbaya zaidi kuliko wa hapo mwanzo, usimuombee maana inakuwa kama kumshitaki, ukimjua mtu mwovu muombee msamaha mpk neema itakapo mzukia.
 
Huyu mama hawezi kurudi Tanzania tena, atapigwa pingu pale Airport
 
Its doesn't matter whether anauza nyapu au la,kwake ni facts tu.Eti anauza nyapi wewe ndo dalali wake?
Ni boraMwenzie anafanyia State yeye anaefanyia ngono UwanjawaFISIem hali yake ipoje
 
Mange anavyo post vingi ni kweli mtupu huw anapewa na vyanzo uhakika ili wasijulikane lakini ni uhakika na kweli tupu!! Wameshajulikana hata aliefyatua risasi anajulikana....manaa wenzake walio nae kazini wengine hawapendi uonezi huo....siri zimevuja.....subiri uone mpango mzima ukiwekwa wazi!!!! Aibuuu
Tukio hili halitamwacha DIK salama.
 
Ujinga ni kuamini kila kitu anachopost Mange...

Chadema Kama chanjo chenu cha kuaminika ni Mange mtazidi kupoteana siku hadi siku.
Mange anatoa kwa ajili ya chadema au anatoa chanzo husika. Naona tushaanza kuachana kiitikadi
 
mtofoutishe diamond ambaye yupo pale kimaslahi na huyu malaya wa kichaga ambaye kutwa nzima amekuwa ni mtu wa kuzusha vitu vya ajabu juu ya Kiongozi wetu mpendwa JPM.....

Ni mwanamke mchonganishi sana ambaye hastahili kuitwa mama... sipatii picha hao watoto wake anawalea vipi?
Mange si mchagga, umekaririshwa HOFU na CHUKI juu ya wachagga.
 
Kaahidi kufunguka na kuweka kila kitu hadharani soon.

Kaaandika hayo katika ukurasa wake wa Instagram muda mfupi uliopita.

Amesema tusimuombee yeye bali usiku huu tumuombee Tundu Lissu na wote waliofanikisha yeye kupata hizo nyeti muhimu.

Amemalizia kwa kusema, "it will be the bombshell of all bombeshells."
Kwani.mange ni nani? Kwa mange nisawa kwa muro sio sawa maku huyo
 
Si bora huyo mwanamke anayeuza utamu kuliko wewe mwanaume unatoa jicho ili upate madaraka. Hakuna anayejali jinsia wala kazi ya mtoa ukweli, cha muhimu ni kusikia anachosema kisha tupime kina ukweli kiasi gani. Kama wanaopaswa kufanya uchunguzi na kutoa ukweli wanaleta siasa za kuficha ukweli ngoja huyo unayesema anauza utamu aseme.
Wapo tayari kutolewa macho kwa sababu ya njaa.
 
bado mnamuamini huyo malaya mange.....

Alivyokwisha post havikukanushwa. Imekuwa akiweka na picha za watu kuwa ndiyo wanaohusika na uhalifu. Picha ambazo vyanzo vingine vinakubaliana nae na hakuna kanusho. Kwanini habari zake zisichukuliwe uzito?

Suala la umalaya ni suala lake binafsi. Kama ulivyo wewe kuna maovu yako mengi tu, wewe si mtakatifu. Sisi sote tu wakosaji. Mungu angehesabu maovu yetu hakuna ambae angesimama Mbele zake.
 
Mungu aniepushe watoto wangu wasije kuwa wapenzi wa Chadema, itakua laana..


Maana ukiwa upinzani uwezo wa kufikiria unaondoka kabisa, uwezo wa kuhoji unazimika, yaani mtu yoyote akiwa upinzani akisema nina habari nyeti au nimeambiwa na watu wa karibu wa kiongozi wa serikali (habari mbaya) wafuasi wa upinzani hawataki tena kuhoji wanakubali tu.. Ila ikiwa ya kusifia serikali, ndio wanapata nguvu kuhoji..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom