Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

Kama ningekuwa mm ndio Lisu ningetumia uwezo wamungu aliokuenyesha kwanamanifaa makubwa. Embu ona mama samia rais wetu. Aliununua ukakawako kwagalama kubwa kuja kukuona pale Nairobi unakili akuna mtumishi wa serikali aliekuja kwako zaid yake alikuwa nidada kwako shujaa akuogopa kupoteza chochote kwaajili yako kaka Lisu mungu akajaalia uyouyo dadayako w kweli aliekuoshesha kukujali kipindi kigumu sana ktk history yako ya maisha akawa ndio mkuu wa nchi ya Tanzania yeye ndio mkuu wawa wakuu.akaja adi ulaya kukuona tena. Mm naamini mama samia aliununua undugu naww kwagalama kubwa. Naww ukitakiwa kumuonyesha dadayako kuwa upo pamoja nayy kuijenga Tanzania mpya uku ukiwa unawasiwasi wowote watanzania tungezidi kukupenda na pengine ungekuwa kati wasaidizi w mama mwenyenguvu zaid nchini mama alikupa moyo wake mbele ya watanzania lkn sijui kwann ulishindwa kuutafsiri moyo w mama au wadadayako umekuja Tanzania watu waliendakukupokea sio chadema tu ni watanzania wote waliowezq kufika. Lkn kaka Lisu umeshindwa kutumia nafasi vizuli ya mama, ukaona umshambulie mala waarabu mala mzanzibar sasa ugombani namama mama umemuumiza sana moyowake. Naamini angekujua vizuli asingekuja.ata Nairobi kaatalisha mustakabali wake kwaajili yako afu Leo unamwita mzanzibar sio dadayako.
 
Mkuu umeweka vitu kama vitatu kwambo rasilimali kwakua niyaserikali moja ya sababu nianze kwanza na mtu anaetuumiwa kuratibu tukio uyu jamaa akuwa ktk mkoa wake na kisheria ukitoka ktk mkoa wako ww unamlaka yyte nje ya mkoa wako pili ikiwa sababu ni utumishi yani anawajibika mwajili kama ivi basi serikali inamadeni mengi mfano tu juzijuiz apa kulitokea polisi kupigana risasi kwasababu zao wenyewe.je ile famiria ya aliekufa inafaa kuishtaki serikali.na ikiwa ndio rasilimali lipo tukio la polisi kujipiga risasi mwenyewe kwasababu zake mwenyewe je nayo famiriayake iende mahakamani kuishtaki serikali sababu iyo bunduki ni Mali ya serikali
Hayo matukio hafanani kwa namna yoyote na tukio la Lissu.Kwa mujibu wa LIssu tukio lilifanywa kimkakati kabisa likiratibiwa na watu wanaoiwakilisha serikali wakishirikiana na wavujisha taarifa aka TIGo,ila hayo uloyataja ni ya ghafla tu watu wamepatq mhemko wakatenda mfano hao askari unaodai walipigana
 
Back
Top Bottom