Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna marefu yasiyo na nchaRrushwa inatembea kila kona Sasa ili kuhakikisha kuwa Lugumi analindwa Kama Mwakyembe alivyolindwa kwenye mabehewa mabovu.
Kwa Sasa yupo juu sheria mpaka hapo watapozinduka kipindi hicho atakuwa kahamia marekani na nyumba na mali zake zote atakuwa kaficha na kuuza anaenda kushi Kwa balali tayari wamemwandalia pa kuishi .LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI
Kwa Sasa yupo juu sheria mpaka hapo watapozinduka kipindi hicho atakuwa kahamia marekani na nyumba na mali zake zote atakuwa kaficha na kuuza anaenda kushi Kwa balali tayari wamemwandalia pa kuishi .
Tanzania ni Nchi ya vioja .Andishi hapo juu kwamba "huenda" fedha hizo zimetumika kwenye uchaguzi mkuu Ni la kufikirisha sana
Watawala WA nchi walituambia wao Ni wakubwa na wana maarifa mengi hasa tukikumbuka suala la Kagoda na Rostam
Rushwa ni Adui wa Haki .Tusitegemee mabadiliko yoyote bungeni chini ya zile safu za juu ,zikiongozwa na Chenge CCM ni ile ile, huyu Lugumi kawa nani mpaka bunge limtetee kwa nguvu zote hizi ,TISS chunguzeni huyu mtu bana .
Ndio maana China wanasheria Kali sana dhidi ya mafisadi.Tunaangaika bure na kelele za chura ambazo hazimzuii tembo kunywa maji, kuna wananchi na wenye nchi.
huu utakuwa mtihani mzuri kwake na pia ni Kipimo kizuri cha kutoa maamuzi wengi wanasubiria waone itakuaje.Alafu Magu kimya!!!!!
Mkuu wabunge wameshapewa Rushwa show yote ilisimamiwa na kibajaji wewe kaa utashuhudia maajabu Yaani matokeo ya Uchunguzi wa wabunge yatawashangaza watanzania na Kama si kuwahudhunisha na huenda wananchi wakaamua kuacha kabsa kuangalia Bunge kwenye Tv1. Kwa tunaofuatilia ishu toka mwanzo, tulimwona m/m/kiti wa PAC akijitokeza zaidi ya mara mbili au tatu ktk camera za TV kulalamika kuwa kuhusu jeshi la polisi kushindwa kuwasilisha mkataba huo wa Lugumi mbele ya kamati ili kamati iupitie na kujiridhisha baada ya maelezo yao kuwa na walakini. Na mara ya mwisho huyu M/M/kiti Aeshi Hillary baada ya juhudi zake kukwama alijitokeza tena mbele ya camera za TV kutuambia kuwa, polisi hawajaitikia wito wao na sasa wamemwandikia katibu wa bunge ili yeye ndiye awaandikie polisi kutekeleza matakwa ya kamati. Au sisi tulikuwa tunaona na kusikia vibaya jamani??
2. Halafu kuna tofauti gani ya "kuomba maelezo ya kina toka kwa Afisa masuhuli" na "kuomba mkataba wenyewe?". Je, maelezo ya kina si ni sharti yaendane na masharti ya mkataba jamani? Utatoaje maelezo ya kina bila ku refer masharti ya utekelezaji wa shughuli mliyokubaliana sawasawa na mkataba?
Hili bunge la Ndugai na Tulia Ackson sasa mbona linaanza kupoteza mwelekeo na public trust bado asubuhi tu, watamaliza miaka mitano kweli hawa??
Just look, linatuhumiwa kwa rushwa na sasa lina kila uelekeo kwa 95% kutaka kutumika kulinda ufisadi wa kampuni ya Lugumi Enterprises!!
Lol, ngoja tusubiri tuone mwisho wao!!
Rushwa ni Adui wa Haki , kumbuka wabunge wengi hawana pesa baada ya kampeni kilichobaki ni kupiga dili kupitia Tuhuma Kama hizi ( kufa kufaana )Inasikitisha sana kuona ofisi ya bunge ikianusha kuhusu kamati ya PAC kuutaka mkataba wa Lugumi uwasilishwe na polisi mbele ya waandishi wa habari na leo tunaamviwa media imepotosha umma.