Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

Kwani tatizo ni nini sasa. Kupitia taarifa yake ya habari leo saa mbili usiku ITV tuwekeeni kipande cha jambo hili tangu mahojiano ya M/M/Kiti wa PAC na vyombo vya habari, tusomeeni tena hilo Gazeti na hili taarifa ya Bunge. Kesho Nipashe iombe msamaha ili mambo yaendelee. Nimemaliza.
 
Kwa hiyo hapa lengo ni kuficha huo mkataba kwa gharama yoyote? Mbona bunge limekazia sana eti ni maelezo ya kina na sio mkataba? Mh Ndugai nani unayemfichia siri?
 
ukiwa na pesa kila kitu ni rahisi ..wacha pesa iongee
 
Hapa umenena mkuu

UOTE="Mpui Lyazumbi, post: 15914776, member: 25846"]Kwani tatizo ni nini sasa. Kupitia taarifa yake ya habari leo saa mbili usiku ITV tuwekeeni kipande cha jambo hili tangu mahojiano ya M/M/Kiti wa PAC na vyombo vya habari, tusomeeni tena hilo Gazeti na hili taarifa ya Bunge. Kesho Nipashe iombe msamaha ili mambo yaendelee. Nimemaliza.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom