Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Weka akiba ya maneno ili baadae uwe na mamlaka ya kuzungumza,wengi hawana habari za undani.Mkuu wizi wa Lugumi ni kweli wamepiga pesa isipokuwa kilichotokea ni ile kamati ya Bunge kupewa Rushwa kupitia Kwa kibajaji ili waje na matokeo ya kushangaza na huenda Watanzania watazidharau kamati zote za Bunge kabsa, JIPU la Lugumi ni kubwa kuna List kubwa wametafuna pesa za Lugumi Hivi Sasa wapo busy kuhakikisha kuwa Lugumi anakuwa msiri mkubwa asiwataje wale alizowagawia pesa, kinachofanyika Sasa ni kuwaziba midomo waandishi na vyombo vya habari.