Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Weka akiba ya maneno ili baadae uwe na mamlaka ya kuzungumza,wengi hawana habari za undani.Mkuu wizi wa Lugumi ni kweli wamepiga pesa isipokuwa kilichotokea ni ile kamati ya Bunge kupewa Rushwa kupitia Kwa kibajaji ili waje na matokeo ya kushangaza na huenda Watanzania watazidharau kamati zote za Bunge kabsa, JIPU la Lugumi ni kubwa kuna List kubwa wametafuna pesa za Lugumi Hivi Sasa wapo busy kuhakikisha kuwa Lugumi anakuwa msiri mkubwa asiwataje wale alizowagawia pesa, kinachofanyika Sasa ni kuwaziba midomo waandishi na vyombo vya habari.
Wanasiasa ndio viongozi wa kidunia lakini baadhi yao si watu wema kabisa mm ningekuw mwenyekiti wa PAC ningejiuzulu haraka kabisa kwa ishu hii tofauti na kutojiuzulu siku nyingine hatutamwamini tenamimi nilidhani Bunge ndio liombe msamaha kwa media maana tuliomuona mbunge wao akiwapa siku tatu police wawe wametoa mkataba kupitia ITV leo magazeti yanaripoti yaombe tena radhi yenyewe..
nasikia aliwakopesha bil nyingi tu ndio maana ana jeuri ya kusema sio kila majipu ni ya kutumbuaAisee LUGUMI unajua wewe katika nchi hii umeshakuwa mtu maarufu kama jk magu balali sasa tulia kula mipango yako uliovuna eti lugumi kwani kwenye uchaguzi mkuu 2015 haya majamaa ya CCM hayakukupiga mzinga kwenye hela zako kama uliyagawia usihofu yatakulinda hayashindwagi jambo haya majamaa yanaujamaa wa kweli tatizo kama hukuyagawia utalisoma JIJI nakama umeshachomoka usirudi yatakufunga kama KASUSURA
....Hili bunge la Ndugai na Tulia Ackson sasa mbona linaanza kupoteza mwelekeo na public trust bado asubuhi tu, watamaliza miaka mitano kweli hawa??!!
Daaaah naona upo kwenye system hongera.but kumbuka kila kitu kina mwanzo na mwisho wakeNipashe fanyeni haraka muombe radhi msije mkalaumu mkishikishwa adabu!
Yaa mkuu imenishangaza iyo Taharifa anatoka mtu katika kundi lao anatoa taharifa media zinatangaza wanaambiwa waombe radhi sasa ili waende katika media ilitakiwa wawe na vibali vya bunge maana vikiripoti wao ndio wahanga na si wabunge...Wanasiasa ndio viongozi wa kidunia lakini baadhi yao si watu wema kabisa mm ningekuw mwenyekiti wa PAC ningejiuzulu haraka kabisa kwa ishu hii tofauti na kutojiuzulu siku nyingine hatutamwamini tena
Umesahau zile picha za marope?Alafu Magu kimya!!!!!
Itakuwa kama jusi, escrow na wenzake waliotanguliahuu utakuwa mtihani mzuri kwake na pia ni Kipimo kizuri cha kutoa maamuzi wengi wanasubiria waone itakuaje.