Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Siyo yeye bali kuna wengine.SHIKAMOO Lugumi Enterprises, ndani ya siku tatu, umeshaitepetesha mihimili yote ya serikali! Endelea kula keki mkuu!
Jambo hili ni gumu maana litaanika wakubwa...wahusika wa wizi huu ni viongozi wakubwa...baada ya kuzima swala hili usitarajie kwamba kutakuwa na vita dhidi ya ufisadi nchini. wahusika wakuu ni wakina Rizi 1 na viongozi waandamizi wakuu wa ccm na serikali yake. wanahaha kuzima swala hili kwa gharama yoyote ile..January yumo na wengine wengi tu.Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kupotosha umma na baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Kamati ya Bunge yo Hesabu za Serikali (PAC) ilipokuwa ikitekeleza majukumu yake tarehe 5 April, 2016 ililitaka Jeshi Ia Polisi kuwasilisha Mkataba ulioingiwa Kati ya Jeshi hilo na Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd kuhusu mradi wa Utambuzi wa Alama za Vidole AFIS (Automated Fingerprint Identification System). Ofisi ya Bunge inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu jambo hili kwamba, taarifa hizo si za kweli na zina lengo Ia kupotosha umma kutokana na kile kilichoamuliwa na kamati hiyo.
Ukweli kuhusu jambo hili ni kwamba tarehe 5 April, 2016, kamati hiyo ilikutana na kujadili Taarifa ya Ukaguzi wa hesabu zilizokaguliwa za fungu 28, Jeshi Ia Polisi kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2014 ambapo kamati pamoja na mambo mengine iliona kuna haja ya kupata maelezo ya kina kwa maandishi katika utekelezaji wa mkataba huo.
Kutokana na haja hiyo, kamati ilimwagiza Afisa Masuhuli ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuwasilisha maelezo ya kina kwa maandishi kuhusu utekelezaji wa mradi huo kwa Ofisi ya Katibu wa Bunge ili kamati iweze kuchambua na kujadili maelezo hayo kabla ya kupendekeza kwa Bunge hatua zaidi za kuchukua. Kufuatia agizo hilo, kamati ilimwandikia pia Katibu wa Bunge taarifa kuhusu agizo hilo tarehe 12 Aprili, 2016 ili kupatiwa maelezo hayo kutoka kwa Afisa Masuhuli.
Ofisi ya Bunge ilimwandikia barua Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo yo Ndani tarehe 12 Aprili 2016 kuwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati Kudumu yo Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotokana na kikao hicho cha tarehe 5 Aprifi 2016 kabla yo tarehe 18 Aprili, 2016 kama ilivyoshauriwa na kamati.
Ni vyema Umma ukafahamu kuwa kilichoombwa na Kamati ni Maelezo ya utekelezaji wa Mkataba huo na sio Mkataba kama inavyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya Habari ambapo Ofisi ya Bunge iliomba maelezo hayo yawasilishwe kabla ya tarehe 18 Aprili, 2016.
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM
15 Aprili, 2016.
Nguvu kubwa unayoitumia kutetea Ufisadi huu, ni afadhali ungeitumia kwenda shule kidogo kwani wewe ni KILAZA WA KUTUPWA.PAC wanajipa madaraka ambayo sio yao...hawana mamlaka ya kukagua mikataba bila idhini ya wahusika
Third part mwenye Interest na huo Mkataba. Acha kujitoa ufahamuWewe ni third part kwenye huo mkataba.
Wahusika ndio kina nani mkuu?PAC wanajipa madaraka ambayo sio yao...hawana mamlaka ya kukagua mikataba bila idhini ya wahusika
Ulichofanya ni kusumbua fikra yako kwa sababu mimi sikufahamu na sina muda wa kutaka kukufahamu.Nimekutukania kiungo cha mamako
Mzee wa buku saba naona upo kazini eeeh?!tetea sana tuWewe ni third part kwenye huo mkataba.
Nimekudharau kabisa. ww ni bure bora angezalowa panya kuliko ww.Ulichofanya ni kusumbua fikra yako kwa sababu mimi sikufahamu na sina muda wa kutaka kukufahamu.
Ni mtu mjinga au mpumbavu anayemtukana mtu ambaye hamfahamu na kwa maana hiyo inawezekana na wewe uko katika kundi hilo!
Maneno kuntu mkuu.Ni ngumu sana kupambana na ufisadi kwa dhati ukiwa ndani ya ccm. Utajikuta unawaguss watoto wa marais wastaafu na ndugu na jamaa za watu wazito kwenye chama chako. Hspo utafanyaje? Itabidi upotezee tu! Au unaweza kukata tawi la mti uliokalia? Mh Magufuli anadhani msfisadi ni watumishi wa umma kumbe hawa hawana ubavu wa kufanya ufisadi bila kuhusisha wanasiasa viongozi wakubwa serikalini.
Halafu mara nyingi ambao wamekuwa wanafanya ufisadi mkubwa wanamega fungu kubwa tu kusaidia chama wakati wa kampeni. Je utawatumbuaje?
sawa kabisa kama mtumishi alikosea lazima atumbuliwe hakuna maana ya kujificha kwenye kivuli cha dini ndio justification ya kuguswa.Mheshimiwa Rais akiliacha hili lipite, haitakuwa na maana ya kutumbua wengine, na kuacha wengine.