Sakata la mabasi na malori bado bichi.. Halihitaji maamuzi ya zimamoto

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji?

Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi lawama.. Wengine ni serikali yenyewe na vitengo vyake

Maono kimo cha mbilikimo ajira kwa watu wasio na ujuzi, weledi wala ubunifu.. Mbaya zaidi kukosekana muunganiko kati ya idara na vitengo vya serikali

Stand ya Mbezi ni ndogo kuweza kuhudumia wasafiri wote nchini.. Lakini pamoja na udogo wake haijazingatia mambo mengi ya msingi
Huduma nyingine za usafiri kama daladala zilipaswa kuwepo hapo hapo

Tegeta/Boko/Bungu kulitakiwa kuwe na stand yake
Mbagala/Kongowe kulipaswa kuwe na stand yake
Gongo la mboto/Pugu kulipaswa kuwe na stand yake
Na kote huko kila mmiliki wa mabus angeruhusiwa kuwa na office
Wamiliki wangewekewa sheria ya kuwa na shuttle service kuliko kuongeza tu mabus
Stand zote nne ziwe na usafiri wa uma daladala na mwendokasi ikibidi na treni

Kungetenezwa vituo vikuu vichache kwa ajili ya kushushia abiria

Kuhusu ICD
Wizara ya ardhi isingetoa kibali chochote cha kujenga ICD katikati ya jiji. Lakini yangetengwa maeneo nje ya mji kwa ajili ya ICD ndogondogo na kubwa kama Kwala, Bagamoyo Kigamboni na Kisarawe

Kati ya hayo yote.. Kuna mengine yanaweza kufanyika hata sasa.. Lakini ni nani wa kuyafanya haya wakati kila mtu anaangalia maslahi yake?
 
Mifumo ya serikali haisomani, au watendaj8 ndani ya serikali ni wala rushwa, wasiofuatilia mambo kwa kina na kuyafanyia kazi.

NHC ni taasisi ya serikali, majengo yote yaliyokodishwa pale Sheki ni ya NHC, walipokodisha hawakujua wapangaji wanaweka vituo vyao binafsi, manake watu wa jiji, ofisi ya mkuu na mkoa na NHC ni mifumo mitatu isiyojua nani anafanya nini kwa wakati gani.

Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.
 
Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.😭
 
Hasara sana mkuu. Mkuu viongozi, mipango miji wanamliwa na chalamila tu hawana la kusema na hata wakifanya na kusema itapingwa tu. Chalamila ataenda na lake. Tatizo la ICD lipo wazi huwez kupeleka ICD mbagala zakhem utegeemee no congestion na folen kubwa.

Shule za umma zinabolewa/zinavunjwa mivinjen zinawekwa ICD kambi za jeshi sijui zinakodishwa/sijui imeuzwa kizuani kumewekwa ICD na kiwanda. Sasa hilo bado ni la mipango miji au chalamila pekee??

Hapa mpaka damu zitoke puani na masikioni ndio tutaelewana la sivyo hakuna jambo
 
Kila tatizo la sasa la Tanganyika lina connection kubwa na wanasiasa uchwara wapigani na wasiojitambua wa chama cha majambazi
 
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji?

Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi lawama.. Wengine ni serikali yenyewe na vitengo vyake

Maono kimo cha mbilikimo ajira kwa watu wasio na ujuzi, weledi wala ubunifu.. Mbaya zaidi kukosekana muunganiko kati ya idara na vitengo vya serikali

Stand ya Mbezi ni ndogo kuweza kuhudumia wasafiri wote nchini.. Lakini pamoja na udogo wake haijazingatia mambo mengi ya msingi
Huduma nyingine za usafiri kama daladala zilipaswa kuwepo hapo hapo

Tegeta/Boko/Bungu kulitakiwa kuwe na stand yake
Mbagala/Kongowe kulipaswa kuwe na stand yake
Gongo la mboto/Pugu kulipaswa kuwe na stand yake
Na kote huko kila mmiliki wa mabus angeruhusiwa kuwa na office
Wamiliki wangewekewa sheria ya kuwa na shuttle service kuliko kuongeza tu mabus
Stand zote nne ziwe na usafiri wa uma daladala na mwendokasi ikibidi na treni

Kungetenezwa vituo vikuu vichache kwa ajili ya kushushia abiria

Kuhusu ICD
Wizara ya ardhi isingetoa kibali chochote cha kujenga ICD katikati ya jiji. Lakini yangetengwa maeneo nje ya mji kwa ajili ya ICD ndogondogo na kubwa kama Kwala, Bagamoyo Kigamboni na Kisarawe

Kati ya hayo yote.. Kuna mengine yanaweza kufanyika hata sasa.. Lakini ni nani wa kuyafanya haya wakati kila mtu anaangalia maslahi yake?
Matumizi ya nguvu kilimo akili
 
Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.😭
Halikufeli ila wataalamu wa mipango jiji hawaheshimiwi. Kumbuka karakana ya Meendokasi jangwani, yule mama alikataa isijengwe na yeye ndiye mtaalamu. Ila wakajenga kwa utashi wao.

Unadhani hii miradi mingine hadi hivi vituo ndiyo watashindwa kumpuuza
 
Sahihi kabisa
 
Mtu anaekuja na porojo za stendi ya MAGUFULI ni ndogo

Namuona poyoyo wa grade A+ hivi nani kasema hiyo stand n ndogo?

Mnataka mgeuze STAND kuwa PARKING kama mabus ni kupakia na kuondoka iyo stand udogo wake unatokea wapi?

Pakia/Shusha abiria ondoa gari peleka kalaze unapolaza bus lako asubuhi lete gari...

Hiyo ni stand na wala sio PARKING ya MABUS kama ambavyo mnaoleta hoja za stand ni ndogo.

Kero kubwa ya MAGUFULI ni ofisi za kukatia ticket hazionekani

Mtu ukifika maduka ya nnje yote wamepewa vinyozi na mawakala wa pesa na wauza maduka wengine, mgeni kuingia ndani atafute ofisi za bus flan inachosha ki ukweli... frem za nnje zote wangepewa wenye mabus na sio wafanyabiashara wengine shida stand imegeuka sehemu ya watu kujilia kodi za kila mwezi.

Watu wana frem wameweka kamishen zao za juu kila mwezi hela zinaingia...

STAND YA MABUS ya MAGUFULI INATOSHA PELEKENI MABUS NDANI.

ABIRIA NA NYIE ACHENI UVIVU, MNALALAMIKA ni mbali kwani mnasafiri kila siku? Wanaotumia airport nao wasemeje???
 
Back
Top Bottom