Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.😭Mifumo ya serikali haisomani, au watendaj8 ndani ya serikali ni wala rushwa, wasiofuatilia mambo kwa kina na kuyafanyia kazi.
NHC ni taasisi ya serikali, majengo yote yaliyokodishwa pale Sheki ni ya NHC, walipokodisha hawakujua wapangaji wanaweka vituo vyao binafsi, manake watu wa jiji, ofisi ya mkuu na mkoa na NHC ni mifumo mitatu isiyojua nani anafanya nini kwa wakati gani.
Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.
Kila tatizo la sasa la Tanganyika lina connection kubwa na wanasiasa uchwara wapigani na wasiojitambua wa chama cha majambaziHasara sana mkuu. Mkuu viongozi, mipango miji wanamliwa na chalamila tu hawana la kusema na hata wakifanya na kusema itapingwa tu. Chalamila ataenda na lake. Tatizo la ICD lipo wazi huwez kupeleka ICD mbagala zakhem utegeemee no congestion na folen kubwa.
Shule za umma zinabolewa/zinavunjwa mivinjen zinawekwa ICD kambi za jeshi sijui zinakodishwa/sijui imeuzwa kizuani kumewekwa ICD na kiwanda. Sasa hilo bado ni la mipango miji au chalamila pekee??
Hapa mpaka damu zitoke puani na masikioni ndio tutaelewana la sivyo hakuna jambo
Matumizi ya nguvu kilimo akiliMaswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji?
Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi lawama.. Wengine ni serikali yenyewe na vitengo vyake
Maono kimo cha mbilikimo ajira kwa watu wasio na ujuzi, weledi wala ubunifu.. Mbaya zaidi kukosekana muunganiko kati ya idara na vitengo vya serikali
Stand ya Mbezi ni ndogo kuweza kuhudumia wasafiri wote nchini.. Lakini pamoja na udogo wake haijazingatia mambo mengi ya msingi
Huduma nyingine za usafiri kama daladala zilipaswa kuwepo hapo hapo
Tegeta/Boko/Bungu kulitakiwa kuwe na stand yake
Mbagala/Kongowe kulipaswa kuwe na stand yake
Gongo la mboto/Pugu kulipaswa kuwe na stand yake
Na kote huko kila mmiliki wa mabus angeruhusiwa kuwa na office
Wamiliki wangewekewa sheria ya kuwa na shuttle service kuliko kuongeza tu mabus
Stand zote nne ziwe na usafiri wa uma daladala na mwendokasi ikibidi na treni
Kungetenezwa vituo vikuu vichache kwa ajili ya kushushia abiria
Kuhusu ICD
Wizara ya ardhi isingetoa kibali chochote cha kujenga ICD katikati ya jiji. Lakini yangetengwa maeneo nje ya mji kwa ajili ya ICD ndogondogo na kubwa kama Kwala, Bagamoyo Kigamboni na Kisarawe
Kati ya hayo yote.. Kuna mengine yanaweza kufanyika hata sasa.. Lakini ni nani wa kuyafanya haya wakati kila mtu anaangalia maslahi yake?
Halikufeli ila wataalamu wa mipango jiji hawaheshimiwi. Kumbuka karakana ya Meendokasi jangwani, yule mama alikataa isijengwe na yeye ndiye mtaalamu. Ila wakajenga kwa utashi wao.Swala la mipango miji tulishafeli miaka mingi, hakuna kurudi nyuma.😭
Sahihi kabisaHalikufeli ila wataalamu wa mipango jiji hawaheshimiwi. Kumbuka karakana ya Meendokasi jangwani, yule mama alikataa isijengwe na yeye ndiye mtaalamu. Ila wakajenga kwa utashi wao.
Unadhani hii miradi mingine hadi hivi vituo ndiyo watashindwa kumpuuza
Kutwa kutukanana hukuJamani, hivi ICD ndo nini?
Yaani mtu anaajiri wataalamu na bado anazuia wasifaye kazi yao kwa kujiamulia mambo. Halafu lawama wanakuja kupewa wataalamu husikaSahihi kabisa