Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

kama watu kama nyie mnajua fact na hamsemi acha tudanganywe na mkulu wenu na tujifurahishe na kina bashite
 
Masako wa ITV aisee kumbe yule mzee alikuwa Mpiga dili
Hizi while za Kata zimeleta majanga kwa wengi kama wewe. Kichwa cha habari hujui kusoma hata kuelewa unakimbilia habari yenyewe ambayo bado hujaielewa. Loh!!
Shida ni mazoea ya kusoma vile viujumbe vifupi fupi. Maelezo mengi kama haya hamuelewi.


Ila inawezekana, ukikua huenda ukaaacha.
 
Kwani
Hakunaga kitu cha 'mtu asiyejulikana" yale magari hadi yanafika bandarini lazima yalikuwa yameandikwa mmiliki ni nani..basi tu ameamua kuficha.
Kwani vile vichwa vya treni vilipata wenyewe mwisho itakuja meli isiyokua na mwenyewe pia
 
Huwezi itenganisha CCM na Ufisadi! Hata Huyu Sizonje ndiyo atakuwa Worse than wote waliyopita. Time will tell, tusibiri!
 
NIMECHEKA SANA JANA, KAMANDA SIRRO ANAULIZWA HAYA MAGARI NI YA KWAKO ANASITASITA , HIVI POLISI WANAWEZA KUTUMIA VILE VIBAJAJI ? 😱😱😱😱😱
 
Sishangai kuona mihemko ya kufikirika katk nchi ya kufikirika izi ni kiki za pikipiki za bwana bodaboda wa kijiwe hiki ( asante tz labda ndivyo ulivyoumbwa)
 
Unaogopa mawakala wa izilaeli?
Utakuja lini tz kutembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…