Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

Tanzania ndio nchi pekee ambako utaskia mkuu wa nchi anaokota vyombo vya usafiri!! Jengeni tu SGR,Treni mkuu ataokota tu,wahaya huko msiwaze siku tukifanya safari ya kustukiza pale Mwanza bandarini tutaokota meli Kubwa na nyie mtafurahia utawala wetu!!!
 
Tatizo hii nchi imekaa kimajungu majungu sana,
mtu akileta bandarini gari na akashindwa kuitoa si inapigwa mnada.?,hiyo si ndo procedure?,
na hizo krikuu sio za kwanza kudorola hapo bandarini kuna maelfu ya magari yamepitia hali hiyo,
mtu unaweza pewa ulaya huko magari kwa bei chee ya laki laki,ukabeba ukifika bandarini ushuru unaambia milioni 25 au 30 kwa gari unaamua kula kona,
isiwe ishu,TRA wawajibike kwanini wanachelewa kupiga mnada?,
uzembe ni Tra,
hata jamaa likijitokeza leo na kudai zakwake na kuwa kashindwa kuzitoa ,utamfungulia kesi gani labda kwa mfano?
 
Nafikiri kosa litakuwa "Identity thefty" mkuu kwa kutumia Ofisi ya Rais wakati siyo kweli...!!
 
Haya Mkuu, kama vipi funguka basi...mbona na wewe unakuwa muoga muoga babu...karibu tugonge BALIMI LAGER.
 
Tunaandaa wataalamu wakayatazame kama itawezekana serikali iyanunue kama vichwa vya treni
 
Hakunaga kitu cha 'mtu asiyejulikana" yale magari hadi yanafika bandarini lazima yalikuwa yameandikwa mmiliki ni nani..basi tu ameamua kuficha.
Nchi ya wasiojulikana hii. Nashangaa baba wetu anawatuma watoto wachanga wafanye uchunguzi wakati anajua huwa hapatikani mtu na majibu yatakuwa yaleyale hatujashindwa bali tunaendelea na uchunguzi lazima apatikane. Baba wakikuchelewesha ita vyombo [emoji7] vya nje watakupa jibu siku nne sio saba.Watu wasiojulikana
 
namalizia kunywa margarita yangu, ngoja tuone. Watu wote hawa (mkuu wa bandari, askari wa bandari, polisi, diwani, katibu kata, katibu tarafa, mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa, takokule, Waziri husika) hakuna aliyehoji kuwepo kwa magari hayo muda wote huo hadi Rais aje yeye aseme?
 
Kama nyie wenye 'intel' hamtujuzi tusiofahamu unategemea kiongelewe nini humu?
 
Zero on freak

Sasa si uende tu kwa chama tawala.. ya jana si umeyaona eeeeh.. upinzani wanaume wenu hao hivi mna chuo mnachofundishana uongo, kulialia, porojo na mipasho?.. eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…