Sakata la mawakala wa mizigo: "Mwanamfalme" amtishia kiongozi mwandamizi wa mawakala 'clearing'


Ndugu yangu mambo ya Uislam yanatoka wapi tena au wewe ndiyo una chuki na hao Waislam.

Naomba nikuulize wewe umepakia mzigo wako CBM 2 unataka upewe documents za TRA? Mimi nijua kukuzidi wewe ambaye unaongozwa na chuki.

Kwa hiyo unataka kutuambia maclearing wanatoa mizigo isipokuwa HSC tu.

Wewe ndiyo hujui chochote wafanyabiashara wenyewe wanashirikiana na mawakala kuiibia serikali wataomba documents za nini.

Mfanyabiashara anafunga kontena yake ya kitenge kwenye paking list kaandika miamvuli hapa utamlaumu clearing. Halafu acha uongo na habari zako za vijiweni kuhusu IMF.
 
Hata wewe ni udaku huna unalolijua ni hadithi za paukwa pakawa hapo kwenye red peke inatosha kuthibitisha maneno yangu

Chama
Gongo la mboto DSM

Nyie makupe wanyonyaji wakubwa.
 

Mkuu Ritz
Hawa jamaa Bavicha hawana jipya; walichobakisha ni udaku hawana jipya hapa kinachojadiliwa ni siasa za maji taka tu wote wanaingia humu na habari za vilinge vya kahawa tu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Hawa jamaa Bavicha hawana jipya; walichobakisha ni udaku hawana jipya hapa kinachojadiliwa ni siasa za maji taka tu wote wanaingia humu na habari za vilinge vya kahawa tu.

Chama
Gongo la mboto DSM

wewe ni mriberali
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mriberali

Mliberali mnaye Chadema lile babu la kitaliano lililofanya uasi kwa Mungu sio tu ana Ph.d ya kuchovya ya theology ana mambo ya ziada aliyojifunza na kufaulu kwa upeo mkubwa pale Milano hilo taliano cheza nalo mbali usione msalaba mkubwa kifuani ukajua kambeba Yesu!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 


Hawa hapa, mnapenda mle cake ya Taifa peke yenu na wanenu

Mkitoa picha kama hizi tuelezeni ni wapi ili chama makini kifuatilie kwa ukaribu utekelezaji wa ilani zake; hapa utakuta viongozi wa kijiji ni kutoka Chadema ambao kila siku wao ni kutaka kukwamisha mipango ya maendeleo.
Nawatumia viongozi wangu ili waondoe kero hizi naamini tukisimama kama taifa yote yanawezekana. Nikiwa kama mwanaccm ambaye nakiamini chama changu; hili ni tatizo dogo ambalo wananchi wakishiriki kikamilifu katika uchangiaji wa maendeleo yao tutafanikiwa

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Mwigulu Nchemba; Nape Nnauye
 



Bado watanzania hatujasahau hili mlilo tuahidi kuwa Maisha bora kwa kila Mtanzania



Wakati nyie mnaburudika kama hivi na kupata vitafunwa wengine njaa kali.
 
Tatizo watu wengi wanasumbuliwa na wivu kama wewe, usidanganye watu makampuni yote ya clearing hayatoi mizigo niambie kariakoo nani anatoa mizigo? Si mmeambiwa mkachukue bills kama mnaona wanaiba muwape wengine mmeshindwa wabongo bana.

Mkuu, tatizo lako unaendekeza ushabiki wa kitoto!. Mtu anayekwepa kodi kama HSC/Silent Haulage si wa kumtetea hata kidogo. Wivu wa nini sasa katika kusema ukweli???

Wewe ni mbulula sana aisee! Unatetea watu wanaokwepa kodi kwa ujinga wako wa mahaba na ushabiki wa kijinga. Wewe Riz ni mbumbumbu sana aisee! Nyambafu!
 


Bado watanzania hatujasahau hili mlilo tuahidi kuwa Maisha bora kwa kila Mtanzania



Wakati nyie mnaburudika kama hivi na kupata vitafunwa wengine njaa kali.

Baada ya kazi ngumu ya ujenzi wa taifa kupumzika na burudani vimo kitu gani ambacho hukielewi katika hilo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Baada ya kazi ngumu ya ujenzi wa taifa kupumzika na burudani vimo kitu gani ambacho hukielewi katika hilo?

Chama
Gongo la mboto DSM

Hivyo wanavyo tafuna na kunywa ni TAKRIMA/RUSHWA?
 

huyu naye katokea wapi..mbona unakurupuka ndugu? Upo nchi gani wewe mbona hili swala lipo in public siku nyingi tuu..au wewe hata habari hot za mjini haunaza..umefungiwa limumba unajibu mashambulizi mtandaoni.
 
Last edited by a moderator:
Unauliza mwakyembe anajua haya wakati yeye ndio mfichua madudu namba moja bandari! We uko wapi hapa pongezi zote kwake kwa kusafisha bandari wengine wote walichemka!

We unadhan mtu aliyenusurika kufa anaogop kufa? Keep it up Mwakyembe!
 

Hukumbuki wakat fulan investigative journalists fulan waliandika habari hii kama mara mbili au tatu hivi,badae wakaandamwa sana ikabid wakaombe radhi na wao kunyoosha mikono,na hadith hadith yao ikaishia hapo! I stand to be corrected!
 
Mkuu Ritz
Hawa jamaa Bavicha hawana jipya; walichobakisha ni udaku hawana jipya hapa kinachojadiliwa ni siasa za maji taka tu wote wanaingia humu na habari za vilinge vya kahawa tu.

Chama
Gongo la mboto DSM

Ukweli unauma balaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…