Sakata la mawakala wa mizigo: "Mwanamfalme" amtishia kiongozi mwandamizi wa mawakala 'clearing'

Sakata la mawakala wa mizigo: "Mwanamfalme" amtishia kiongozi mwandamizi wa mawakala 'clearing'

Mliberali mnaye Chadema lile babu la kitaliano lililofanya uasi kwa Mungu sio tu ana Ph.d ya kuchovya ya theology ana mambo ya ziada aliyojifunza na kufaulu kwa upeo mkubwa pale Milano hilo taliano cheza nalo mbali usione msalaba mkubwa kifuani ukajua kambeba Yesu!!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mmeshaanza mambo yenu ya majitaka!
 
Mkuu, tatizo lako unaendekeza ushabiki wa kitoto!. Mtu anayekwepa kodi kama HSC/Silent Haulage si wa kumtetea hata kidogo. Wivu wa nini sasa katika kusema ukweli???

Wewe ni mbulula sana aisee! Unatetea watu wanaokwepa kodi kwa ujinga wako wa mahaba na ushabiki wa kijinga. Wewe Riz ni mbumbumbu sana aisee! Nyambafu!

Fanya kazi wewe tafuta pesa acha kulia lia ukipelekwa mahakamani ukatoe ushihidi HSC wanavyokopa kodi upo tayari.

Wewe niite upendavyo lakini wanakwepa ushuru ni wafanyabiashara wenyewe ndiyo wadanganyifu ulivyokuwa kauzu unadhani kuna mfanyabiashara uwa anasema kweli kapakia nini.
 
duh kila mahali kina RTZ wanaifisadi hii nchi hawachoki sheli yupo, transportation yupo, makontena yupo, ges yupo,majumba yupo tumechoka sasa
 
huyu naye katokea wapi..mbona unakurupuka ndugu? Upo nchi gani wewe mbona hili swala lipo in public siku nyingi tuu..au wewe hata habari hot za mjini haunaza..umefungiwa limumba unajibu mashambulizi mtandaoni.

Mimi sina muda kujadili udaku kwenye vilinge vya kahawa nionyeshe ni wapi mbunge mhusikwa kahusishwa na shtaka

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wewe Ritz hujui chochote kabisa bora ukae kimya. Its does not need you to be magician to clear any cargo, its simply the matter of principals and procedures.

HSC ni wezi wakubwa katika nchi hii. Tena majambazi, taratibu za clearing ukimaliza unampa mteja documents zote za mzigo wake( file zima) waulize hao wafanya biashara kama wana documents hasa zinazoonyesha TRA ushuru ulikuwaje. Na kama wangekuwa nazo wangedai in reference to those old documents.

Sasa kwa taarifa tuu hii ishu imeanzia IMF wakiilalamikia TZ hawakusanyi kodi na wakatoa moja ya reference.

Endeleeni kumwonea mmnyonge tuu ila ipo siku ukweli utadhiirika zaidi ya hapo.

Wewe kazi yako kubwa ni kutetea kitu chochote chenye element ya "uislam" hata kama ni upuuzi ukidhani ndio unausaidia huo "uislam" kumbe unawapeleka wenzio motoni kwa shetani. Wasaidie kwa kusema kweli ili wabadilike.

I see, ukweli unaanza kudhihirika! Ila huu mfupa sio mchezo ...
 
Unaficha ficha wkati hili linajulikana wazi. Kampuni hiyo inaitwa Silent Haulage na inaongozwa na Ghalib. Offcourse Riz one na Mshua na wenye share jamaa anasimamia. Wamewaibia sana Watanzania hawa kwa kufanya under declaration na false declaration ya mizigo wLiyokuw wanaingiza na mizigo yao ilikuwa haikaguliwi. Tulioenda China na kuleta mizigo tunajua jinsi ambavyo mizigo ilivhokuwa inatoka mapema.

Suala hili linatakiwa lisiishie hapo tu, maafisa wa TRA wanatakiwa kuwajibishwa kwa kutofanya ukaguzi wa mizigo inapoingia ili kuthaminisha kodi sahihi ya kulipa.

Hii nchi haiishi vituko.

Kumbe lisemwalo lipo!
 
Duh Jamii forums ikitumia na vyombo vya uchunguzi kwa mrengo chanya itasaidia serikali kwenye uchunguzi wa figisufigisu nyingi. Uzi huu kumbe ulikuweko tangu 2013 na kuna watu walitumia nguvu nyingi sana kukanusha ukwepaji wa kodi.
 
dah!
prince hajui kuwa hataka kama una meno mazima leo unaweza kuanguka na yakang'oka yote,
ngoja aendelee kula tu siku meno yakioza atajuta....
zumbemkuu miaka miwili na nusu imepita toka uandike haya and now we start to see them
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom