Sakata la mawakala wa mizigo: "Mwanamfalme" amtishia kiongozi mwandamizi wa mawakala 'clearing'


Mmeshaanza mambo yenu ya majitaka!
 

Fanya kazi wewe tafuta pesa acha kulia lia ukipelekwa mahakamani ukatoe ushihidi HSC wanavyokopa kodi upo tayari.

Wewe niite upendavyo lakini wanakwepa ushuru ni wafanyabiashara wenyewe ndiyo wadanganyifu ulivyokuwa kauzu unadhani kuna mfanyabiashara uwa anasema kweli kapakia nini.
 
duh kila mahali kina RTZ wanaifisadi hii nchi hawachoki sheli yupo, transportation yupo, makontena yupo, ges yupo,majumba yupo tumechoka sasa
 
huyu naye katokea wapi..mbona unakurupuka ndugu? Upo nchi gani wewe mbona hili swala lipo in public siku nyingi tuu..au wewe hata habari hot za mjini haunaza..umefungiwa limumba unajibu mashambulizi mtandaoni.

Mimi sina muda kujadili udaku kwenye vilinge vya kahawa nionyeshe ni wapi mbunge mhusikwa kahusishwa na shtaka

Chama
Gongo la mboto DSM
 

I see, ukweli unaanza kudhihirika! Ila huu mfupa sio mchezo ...
 

Kumbe lisemwalo lipo!
 
Duh Jamii forums ikitumia na vyombo vya uchunguzi kwa mrengo chanya itasaidia serikali kwenye uchunguzi wa figisufigisu nyingi. Uzi huu kumbe ulikuweko tangu 2013 na kuna watu walitumia nguvu nyingi sana kukanusha ukwepaji wa kodi.
 
dah!
prince hajui kuwa hataka kama una meno mazima leo unaweza kuanguka na yakang'oka yote,
ngoja aendelee kula tu siku meno yakioza atajuta....
zumbemkuu miaka miwili na nusu imepita toka uandike haya and now we start to see them
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…