Sakata la Mbasha mkubwa laanikwa

Sakata la Mbasha mkubwa laanikwa

Kasome injili ya marko......kuwa toashi kwa ajili ya kumtumikia mwenyezi mungu inaruhusiwa....ww biblia unasoma kweli mkuu..ok anyway ucpende xana kukosoa dini za watu...hata kama wanaabudu ng'ombe....waache coz wanakijua wanachokiabudu...out of that na ww utakuwa ni nabii mwingine wa karne hii

I like ur reply very objective, upo tofauti sana mitaahira mingine ambayo ikishalewa ndiyo inaingia jamii forum kurusha mitusi
 
I like ur reply very objective, upo tofauti sana mitaahira mingine ambayo ikishalewa ndiyo inaingia jamii forum kurusha mitusi

Mkuu nimekusoma,hata mi nimependa sana unavorespect mawazo ya watu wengine,na hivi ndivyo mtu msomi anatakiwa kuwa....keep it high
 
By incharge:
I like ur reply very objective, upo tofauti sana mitaahira mingine ambayo ikishalewa ndiyo inaingia jamii forum kurusha mitusi
Mkuu nimekusoma,hata mi nimependa sana unavorespect mawazo ya watu wengine,na hivi ndivyo mtu msomi anatakiwa kuwa....keep it high

Wote hapo mnachemka tu guys let we think critically hv ni nani asiyejua kua kuna uchakachuaji mkubwa tu wa neno la mungu ktk karne hii? Ni watume wangapi wameingia kwy kashifa? Nani asiyejua na ndo maana sahz mafundisho mengi hasa ya hawa wanaojiita walokole ukifuatilia mahubiri yao ni vitisho na kuwaogopesha waumini wao kua bila kuokoka si watu tena ila walitendalokila kukicha ni ubatili mtupu!!!
 
Wanapitia kwa wanawake kwa kua ni wepesi kuhadaika jamani tusiangalie tu swala la jamaa kubaka naamini kua kuna sababu za kutosha tu.
1. Kitendo cha mke wako kutokusikiliza tayari hiyo kwake ni failure maana jamaa alimkatalia Frola kwenda nchi za nje kwa udhamini wa mchungaji wake lakini kihelehele chake akafanikisha kinguvunguvu,tambueni tupo ktk ulimwengu wa utandawazi imagine jamaa kapata taarifa za mkewe kua mahusiano na mchungaji yamekua ya karibu sana AFANYEJE.
2. Kumwacha mme wako na kuzunguka na mchungaji nchi nzima kwa kipindi kirefu Bwana Emmanuel nafasi yake iko wapi?
3. Haya makanisa nahisi kuna kitu hakijakaa sawa maana ktk eneo dogo nnaloishi ndoa nyingi zinayumba maana yanaingiza imani na matendo ambayo siyo wao huambiwa kua chochote kby kitokeacho ni pepo bila kutambua kua elimu ilisisitizwa hata kwy BIBLE, fikiria mtu huyu kakuta remote ya TV yake imebonyezwa na watoto PA IPO kujua ikajiset kwenye option ya Sleep mode yaani inizime baada ya dkk kadhaa mama mtu ametulia kwy sofa lake akiangalia kwaya Mara TV ikajizima na kuanza kukemea Toka shetani haiwezekani TV ijizime yenyewe kuna mkono wa wachawi humu hivyo lack of knowledge imekua majanga sana kwa waafrika wazungu hawana ujinga huu.majitu yaliyoletewa ndo yanajichanganya kiasi cha kuona ndoa haina umuhimu kwy maisha yao, samahani kwa kuwatoa mke kdg ya Mazda.
3. Mambo ya ndani kuyaweka kwenye media kiasi hiki ni upuuzi na inaonyesha pande zote za wazazi ni dhaifu hamuwezi mkaruhusu vitu kama hv kuzagaza, hawa watoto walizaliwa kuwe na limits ktk maamuzi.Flora jutia ujuaji wa kutimsikiliza mmeo tangu mwanzo hili ni jaribu kubwa ktk maisha yako usimkimbie mmeo usimtenge kwa hili mchukie mdg wako aliyekubali kufika nguo Siku ya kwanza.
4. Kingine hawa ndugu huambiwa ukija kwetu utapata Mme wako wa kweli mungu atakuchagulia na unafungishwa ndoa.!!!!!
5. Naomba jamii tuwaseme wanao ropoka juu ya maswala kama haya naona mchangiaji mwingine anasema acha watu wahubiri hats kama wanahubiri Ng'ombe huu ni upuuzi tambueni Uhuru wa kuabudu si hivyo ndo maana hata vitani kuna sheria vinginevyo watu siwangekua wanauana ovyo ovyo tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom