Sakata la mfanyabiashara Deo Bonge kutekwa, Spika Tulia afunguka "Sio Msaidizi Wangu"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu,

Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali iliyosababisha taharuki.
1.jpg

2.jpg
Kutokana na madai hayo, Spika Tulia aliibuka kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) na kutoa ufafanuzi akisema, "Huyo pichani si Michael msaidizi wangu, wamemfananisha. Naamini wote waliohusika watapatikana na kuchukuliwa hatua stahiki."
Screenshot 2024-11-15 115213.png

Screenshot 2024-11-15 115301.png
Sakata hili limezidi kuzua mijadala huku wengi wakitaka uchunguzi wa kina kufanyika ili kuhakikisha haki inatendeka na wahusika wanawajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Haya wafukunyuzi wa mambo tuleteeni picha tuone kama sio yeye

Soma, Pia:

Hivi pamoja na picha zote hizo bado Polisi haijawaona tu?
 
Kituo Cha polisi kipo Gogoni mpaka Leo hamuwajui vijana hao wenyeji wa gogoni... Gogoni inaukubwa Gani jamani mbona haya mambo ya aibu??
Spika tutumie picha ya Michael mwenyewe
 
Wewe ni Sadist hata kama alidhulumu, kwako hiyo NDIYO njia sahihi ya kurecover kwa jamii iliyostaaribika inayojinasibu kufuata utawala wa Sheria? Kama Ndio hivyo kazi ni kubwa!
Sina msalie mtume na dhulumati /tapeli/mafisadi/wezi wa mali za umma au watu maana madhara yake ni ya wengi kuliko yeye mmoja(fisadi/mwizi/tapeli etc).
 
Sawa
 
Attachments

  • Screenshot_20241113_200548_YouTube.jpg
    Screenshot_20241113_200548_YouTube.jpg
    39.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom