Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!​
 
Pia waachane na Huu mkataba..Mama Samia Achana na mkataba,, Sisi tunakupenda mkataba hatuupendi Please
 
Maaskofu wa katoliki wameainisha vipengele vibovu vya mkataba wa bandari kama kigezo cha kuukataa mkataba huo!! Wanaoutetea mkataba hawana kabisa ubavu wa kuvitetea vipengele hivyo!!
 
Pia waachane na Huu mkataba..Mama Samia Achana na mkataba,, Sisi tunakupenda mkataba hatuupendi Please
Nakazia, tunakupenda rais wetu na tunakuheshimu lakini huu mkataba siyo kabisa!! Maadui zako wamekuchomekea ili kukufarakanisha na watanzania!! Tunaukataa mkataba huo wa bandari na tunaulaani kwa nguvu zetu zote!! Historia itakuwa upande wetu!!
 
Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.

Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.

Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
 
Back
Top Bottom