nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,806 Reaction score 5,347 Jun 20, 2020 #21 Noti bandia said: Naona Simba wanataka kuleta mchezo km wa Bayern Munich kununua wachezaji wazuri kutoka timu pinzani ili waendeleee kutawala ligi yetu Click to expand... Mtani Shadeeya njooo uone, UTOPOLO ni under dog Kwa mnyama, kama ilivyo buyern Munich kule bundesliga
Noti bandia said: Naona Simba wanataka kuleta mchezo km wa Bayern Munich kununua wachezaji wazuri kutoka timu pinzani ili waendeleee kutawala ligi yetu Click to expand... Mtani Shadeeya njooo uone, UTOPOLO ni under dog Kwa mnyama, kama ilivyo buyern Munich kule bundesliga
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 20, 2020 #22 Noti bandia said: Naona Simba wanataka kuleta mchezo km wa Bayern Munich kununua wachezaji wazuri kutoka timu pinzani ili waendeleee kutawala ligi yetu Click to expand... Kwa hela ipi ya kuwawezesha hao mbumbumbu fc kununua wachezaji wazuri? Itaishia tu kununua wachezaji wazee na waliomaliza mikataba kwenye timu zao.
Noti bandia said: Naona Simba wanataka kuleta mchezo km wa Bayern Munich kununua wachezaji wazuri kutoka timu pinzani ili waendeleee kutawala ligi yetu Click to expand... Kwa hela ipi ya kuwawezesha hao mbumbumbu fc kununua wachezaji wazuri? Itaishia tu kununua wachezaji wazee na waliomaliza mikataba kwenye timu zao.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jun 20, 2020 #23 gachacha said: Utopolo mnahangaika sana dah, Bernard ni mali yenu hadi milele ? Mkataba sio msaafu useme hauvunjwi Amekuja kutafuta pesa bongo sio kupewa sifa na utopolo fc Click to expand... Halafu kuna watu wanamkosoa Aden Rage.
gachacha said: Utopolo mnahangaika sana dah, Bernard ni mali yenu hadi milele ? Mkataba sio msaafu useme hauvunjwi Amekuja kutafuta pesa bongo sio kupewa sifa na utopolo fc Click to expand... Halafu kuna watu wanamkosoa Aden Rage.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 20, 2020 #24 sasa Morrison mchezaji gani anarukaruka tu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 20, 2020 #25 Prince Kunta said: Mbumbumbu lile tukio la tarehe 8 march bado linawasubua sana View attachment 1483785 Click to expand... sana tu, Hawa tako Moko FC.
Prince Kunta said: Mbumbumbu lile tukio la tarehe 8 march bado linawasubua sana View attachment 1483785 Click to expand... sana tu, Hawa tako Moko FC.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jun 20, 2020 #26 OKW BOBAN SUNZU said: sasa Morrison mchezaji gani anarukaruka tu Click to expand... Hii ni sawa na sizittaki mbichi hizi
OKW BOBAN SUNZU said: sasa Morrison mchezaji gani anarukaruka tu Click to expand... Hii ni sawa na sizittaki mbichi hizi
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Jun 21, 2020 #27 Yanga acheni kutafuta kiki.