Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

Naona Simba wanataka kuleta mchezo km wa Bayern Munich kununua wachezaji wazuri kutoka timu pinzani ili waendeleee kutawala ligi yetu

Kwa hela ipi ya kuwawezesha hao mbumbumbu fc kununua wachezaji wazuri? Itaishia tu kununua wachezaji wazee na waliomaliza mikataba kwenye timu zao.
 
Utopolo mnahangaika sana dah, Bernard ni mali yenu hadi milele ? Mkataba sio msaafu useme hauvunjwi

Amekuja kutafuta pesa bongo sio kupewa sifa na utopolo fc
Halafu kuna watu wanamkosoa Aden Rage.
 
Back
Top Bottom