DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mi sijui lakini mafuta ya sunola yakiisha dumu lake likikaa muda juani yale mabaki ya mafuta yanakua kama gundi au nta hivi sijui kwakweli ila mm nimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie
Hayo ya mtaaani sharti uyachemshe/yapate moto sana then yapoe kabisa ndipo uendelee na matumizi ya kawaida.
 
Ndio maana nishaacha kununua mafuta ya singida bora korie na yale ya sunflower yale mengine
 
Uwaneni at the end of the day tunapata the best product.
 
Mi sijui lakini mafuta ya sunola yakiisha dumu lake likikaa muda juani yale mabaki ya mafuta yanakua kama gundi au nta hivi sijui kwakweli ila mm nimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie
Hiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
 
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa

Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo

ALERT [emoji599] [emoji599] [emoji599]

mount meru millers wana brand ya singida oil na sunola ambayo yote wanasema yanatokana na pure sunflower ...

lakini ukweli ni kwamba Brand ya singida oil sio pure sunflower oil ,ni mafuta wanayotengeneza kutokana na mashudu/takataka ya alizeti ambayo inachakatwa pamoja na kemikali aina ya hexane .Baada ya kuchakatwa na hiyo kemikali ya hexane inapatikana mchanganyiko wa kimiminika ambacho ni crude oil pamoja na hexane

Ambapo baada ya hapo inafanyiwa chemical process ya kutenganisha crude oil na hexane ,ili kuweza kuruhusu crude oil kwenda kusafishwa na kua salama kwenye process kama water demagation , saponification and colour removing... [emoji24][emoji24]

Lakini kwa bahati mbaya kiwandani hapo wanakuwa hawafanikiwi kuondoa kemikali yote ya hexane ambayo ni hatari kwa afya ya mtumiaji na wanapaki mafuta hivo hivo ikiwa na mchanganyiko wa kemikali hiyo [emoji22][emoji22]

Ndo maana ukitumia mafuta ya singida oil lazima ladha yake iwe chungu hapo ndipo unapoionja hexane

Tanzania Police Force na TBS tanzania hii kitu ni hatari kwa afya ya binadamu hatua za haraka zichukuliwe ili kulionoa taifa letu [emoji22][emoji22]View attachment 2357914View attachment 2357915
Hayo maelezo ndio mchakato mzima wa kuchakata mafuta ya mbegumbegu, nyongeza ni kuwa huwa yanachemshwa ku-inactivate enzymes na kufanyiwa deodorization kuondoa harufu mbaya!!
 
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa

Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo

ALERT [emoji599] [emoji599] [emoji599]

mount meru millers wana brand ya singida oil na sunola ambayo yote wanasema yanatokana na pure sunflower ...

lakini ukweli ni kwamba Brand ya singida oil sio pure sunflower oil ,ni mafuta wanayotengeneza kutokana na mashudu/takataka ya alizeti ambayo inachakatwa pamoja na kemikali aina ya hexane .Baada ya kuchakatwa na hiyo kemikali ya hexane inapatikana mchanganyiko wa kimiminika ambacho ni crude oil pamoja na hexane

Ambapo baada ya hapo inafanyiwa chemical process ya kutenganisha crude oil na hexane ,ili kuweza kuruhusu crude oil kwenda kusafishwa na kua salama kwenye process kama water demagation , saponification and colour removing... [emoji24][emoji24]

Lakini kwa bahati mbaya kiwandani hapo wanakuwa hawafanikiwi kuondoa kemikali yote ya hexane ambayo ni hatari kwa afya ya mtumiaji na wanapaki mafuta hivo hivo ikiwa na mchanganyiko wa kemikali hiyo [emoji22][emoji22]

Ndo maana ukitumia mafuta ya singida oil lazima ladha yake iwe chungu hapo ndipo unapoionja hexane

Tanzania Police Force na TBS tanzania hii kitu ni hatari kwa afya ya binadamu hatua za haraka zichukuliwe ili kulionoa taifa letu [emoji22][emoji22]View attachment 2357914View attachment 2357915
Hii ni tuhuma Nzito sana na ni hatari sana kwa Biashara ya mtu; nilitamani ifanyiwe utafiti walau kidogo kabla ya kuwekwa huku! Kimsingi naona kama hiyo ni process ya kawaida kwa kutenganisha mafuta japo najaribu kujiridhisha kama hapo kwenye kuyasafisha kuna mapungufu yoyote...
1. Kimsingi kutengeneza vitu vingi ni chemical Process, Usione sukari ukavifikiri wamekamia wakapack
2.Mafuta ya kula nayo huhitaji Chemical process ili kuya safisha hadi yawe meupe na kutoa/kupunguza harufu.
3. Sasa kama huna msingi mzuri wa somo la Kemia nafikiri ungeandika kwa namna ya kuuliza bila kutaja kiwanda/Kampuni; ukisha elimishwa ukajua kuna udhaifu ndio upost
 
sina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
 
Back
Top Bottom