DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
sina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
Kwa sababu yamepitishwa kwenye process iitwayo "deodorisation".
 
Hayo ya singida ukibandika ukaange kitu yanatoa povu hilo omo inasubiri,kidumu kikiisha mabaki yake yanakua gundi,naona wameamua watumalize!
 
Hiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
Okey ni kwa aina hii tuu ya mafuta I mean ni kwa aina hii ya hawa niliowataja tuu? Hyo chemical reaction haitokei kwa madumu ya haya mafuta yaliyozalishwa kwa mashine za mtaani kwetu huku au wao kuna some additives wana add? Maana nina madumu kibao ya mafuta ila ni aina fulani tuu ndo yanapata,hali hyo. Okey kama ndivyo haya ila mm nimeyaogopa
 
Hayo ya singida ukibandika ukaange kitu yanatoa povu hilo omo inasubiri,kidumu kikiisha mabaki yake yanakua gundi,naona wameamua watumalize!
Ndo nilichokua akisema haiwezekani madumu mengine yasiwe na hizi gundi
 
Twafwaaaa CCM wakipewa kitu kidogo hawawagusi kabisa hawa wafanyabiashara haramu, matokeo yake wanatuua
Solution ni kutoyanunua tens. Wacha wapewe kitu kidogo lkn hakuna was kuyanunua. Ukinunua baada ya hii habari bas umejitakia
 
Mi sijui lakini mafuta ya sunola yakiisha dumu lake likikaa muda juani yale mabaki ya mafuta yanakua kama gundi au nta hivi sijui kwakweli ila mm nimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie

Hata mafuta yanayokobolewa mtaani mbona mwishoni ukiacha dumu muda mrefu huwa yananata?
 
Ndo nilichokua akisema haiwezekani madumu mengine yasiwe na hz gundi

Kuna mtu juu anasema sijui chemical rnx inatokea ikianikwa Juani sijui blah blah dumu limeisha mafuta na lipo ndani jikoni hilo jua linafika saa ngapi na bado linagundi hatar sana!
 
Kuna mtu juu anasema sijui chemical rnx inatokea ikianikwa Juani sijui blah blah dumu limeisha mafuta na lipo ndani jikoni hilo jua linafika saa ngapi na bado linagundi hatar sana!
Itakua ni madesa yake ya kemia...
 
Naona kuna watu wameshaitana kutetea kindaki ndaki, endeleeni ila habari imefika penyewe….subirini tu
 
Mimi ndiyo maana mafuta ya alizeti siku zote nanua kwa jamaa zangu wenye viwanda vya saizi ya kati, ambao unaona kabisa alizeti ikikamuliwa na kuchujwa... Anyway ndiyo uzuri wa kuishi Moro town wakamuaji wa alizeti kibao tuu.
 
Ukitaka mafuta yatengenezweje? Kutokujua ndiko kunakusumbua. Unachafua biashara ya watu kwa kutokujituma kujua hiyo process.
Acha ujinga.
Na wewe pia acha undezi, unalalumikia bila kuweka maelezo ya kupinga hoja yake?
 
Mimi ndiyo maana mafuta ya alizeti siku zote nanua kwa jamaa zangu wenye viwanda vya saizi ya kati, ambao unaona kabisa alizeti ikikamuliwa na kuchujwa... Anyway ndiyo uzuri wa kuishi Moro town wakamuaji wa alizeti kibao tuu.
Shida haya ya mtaani yanakua na harufu
 
Hayo ya mtaaani sharti uyachemshe/yapate moto sana then yapoe kabisa ndipo uendelee na matumizi ya kawaida.
Noo nowadays kuna mashine nzuri za kisasa zinakamua... Mimi huwa napeleka gunia zangu za alizeti wananukamulia na yanatoka safi kabisa na wala sichemshi... Pia mashudu yangu nabeba kwa ajili ya chakula cha kuku...
 
Hii ni tuhuma Nzito sana na ni hatari sana kwa Biashara ya mtu; nilitamani ifanyiwe utafiti walau kidogo kabla ya kuwekwa huku! Kimsingi naona kama hiyo ni process ya kawaida kwa kutenganisha mafuta japo najaribu kujiridhisha kama hapo kwenye kuyasafisha kuna mapungufu yoyote...
Sioni sababu ya wewe kuuita ni tuhuma nzito wakati vyombo vya uchunguzi vipo na vitafuatilia na kama itaonekana wako vizuri si watasafishwa na kuendelea?

What if baada ya uchaguzi kukaonekana kuna tatizo? Ungependa mpaka uone watu wansdhurika kama kwenye issue ya samaki na dawa za kuhifadhia maiti!?
 
Back
Top Bottom