DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mtatuua jamani unakwepa samaki masafa, unakutana na mafuta, unakwepa mafuta unakutana na unga wa dona tukimbilie wapi sasa.
We zingatia tu kwamba "Mwili wako, Afya yako ni Chakula unachokula" i.e. kuwa makini mno na vyakula unavyokula. Wataalam wanashauri tusiendekeze mno ulaji wa vyakula vilivyosindikwa viwandani(Processed foods) - Tujitahidi kula vyakula ambavyo ni Asili(Natural or Locally processed) kadri iwezekanavyo.
Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ni vigumu sana kukwepa vyakula vilivyopitia viwandani(Havikwepeki) mpaka hata maji ya kunywa, juisi, juicecola, pombe n.k.n.k...Dah!
 
Mbona juzi nasikia hao TBS wenu walienda Kiwandani wakalamba 1M kila mtu wakaondoka zao.
 
We zingatia tu kwamba "Mwili wako, Afya yako ni Chakula unachokula" i.e. kuwa makini mno na vyakula unavyokula. Wataalam wanashauri tusiendekeze mno ulaji wa vyakula vilivyosindikwa viwandani(Processed foods) - Tujitahidi kula vyakula ambavyo ni Asili(Natural or Locally processed) kadri iwezekanavyo.
Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ni vigumu sana kukwepa vyakula vilivyopitia viwandani(Havikwepeki) mpaka hata maji ya kunywa, juisi, juicecola, pombe n.k.n.k...Dah!
Muhimu ni kujifunza jinsi ya kuondoa sumu mwilini
 
UKIMCHUKUWA SATO WAKO MWENYE FOMALINE YA KUTOSHA UKAMKANGIA NA MAFUTA YAKO YENYE HEXANE UNAPATA KITU JUU YA KITU.😁😁😁😁😁SWAAFI KABISAAAA....!
 
Hilo ni la msingi sana. Na vipo vyakula vinavyosaidia kuondoa sumu mwilini-tujijengee tabia ya kuvila.
Hakuna mfanyabiashara anaejali afya bali pesa yako, mamlaka zimelala.Kama unaweza uziwa dawa iliyo expired, kwann washindwe kukuuzia vingine
 
Dah! Serikali Kupitia idara na mamlaka zake ndiyo imepewa dhamana ya kuhakikisha Usalama wa Afya za WaTz. tena kwa kutumia kodi zetu. Sasa vyombo hivyo havitimizi tena Majukumu yake ipasavyo. Very SAD.
 
Wakienda viwanda ufuata bahasha, hakuna mtu anaewakagua mamalishe Ili waache kumaliza watz kwa kansa.
Inatakiwa ipigwe marufuku uzalishaji wa vyombo vya plastic vya chakula mfano sahani,vikombe, matumizi ya nailoni, magazeti kupakulia vyakula chakula cha moto kinachujua rangi ya plastic, nailoni na gazette Ili visiue figo au kamsa,maana mwili hauna uwezo wa kuresist hizo sumu kwenye vibebeo hivyo vya plastic.
 
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa.

Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo.

ALERT [emoji599] [emoji599] [emoji599]

mount meru millers wana brand ya singida oil na sunola ambayo yote wanasema yanatokana na pure sunflower.

lakini ukweli ni kwamba Brand ya singida oil sio pure sunflower oil ,ni mafuta wanayotengeneza kutokana na mashudu/takataka ya alizeti ambayo inachakatwa pamoja na kemikali aina ya hexane .Baada ya kuchakatwa na hiyo kemikali ya hexane inapatikana mchanganyiko wa kimiminika ambacho ni crude oil pamoja na hexane.

Ambapo baada ya hapo inafanyiwa chemical process ya kutenganisha crude oil na hexane ,ili kuweza kuruhusu crude oil kwenda kusafishwa na kua salama kwenye process kama water demagation , saponification and colour removing... [emoji24][emoji24]

Lakini kwa bahati mbaya kiwandani hapo wanakuwa hawafanikiwi kuondoa kemikali yote ya hexane ambayo ni hatari kwa afya ya mtumiaji na wanapaki mafuta hivo hivo ikiwa na mchanganyiko wa kemikali hiyo [emoji22][emoji22]

Ndo maana ukitumia mafuta ya singida oil lazima ladha yake iwe chungu hapo ndipo unapoionja hexane

Tanzania Police Force na TBS tanzania hii kitu ni hatari kwa afya ya binadamu hatua za haraka zichukuliwe ili kulionoa taifa letu.

View attachment 2357915
Hii taarifa si ungepeleka TFDA, TBS, Kwa mkemia mkuu wa Serikali, wizara ya afya, na Mamlaka zingine husika? Sisi tutajuwaje unachosema ni kweli au hujatumwa na competitors au chuki binafsi?
 
Food scientists wa SUA na UDSM mje kuleta amani(kutoa taharuki) humu kuwaelimisha watu kuhusu oilseeds na Process nzima ya kupata mafuta(oils).

Seed cakes, hexane, oils and fats, solvent extraction???
 
Duh tutakimbilia wap sisi.tena ginery hapo jovena napataga kwa bei rahis.narud zangu namfua
 
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa.

Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo.

ALERT [emoji599] [emoji599] [emoji599]

mount meru millers wana brand ya singida oil na sunola ambayo yote wanasema yanatokana na pure sunflower.

lakini ukweli ni kwamba Brand ya singida oil sio pure sunflower oil ,ni mafuta wanayotengeneza kutokana na mashudu/takataka ya alizeti ambayo inachakatwa pamoja na kemikali aina ya hexane .Baada ya kuchakatwa na hiyo kemikali ya hexane inapatikana mchanganyiko wa kimiminika ambacho ni crude oil pamoja na hexane.

Ambapo baada ya hapo inafanyiwa chemical process ya kutenganisha crude oil na hexane ,ili kuweza kuruhusu crude oil kwenda kusafishwa na kua salama kwenye process kama water demagation , saponification and colour removing... [emoji24][emoji24]

Lakini kwa bahati mbaya kiwandani hapo wanakuwa hawafanikiwi kuondoa kemikali yote ya hexane ambayo ni hatari kwa afya ya mtumiaji na wanapaki mafuta hivo hivo ikiwa na mchanganyiko wa kemikali hiyo [emoji22][emoji22]

Ndo maana ukitumia mafuta ya singida oil lazima ladha yake iwe chungu hapo ndipo unapoionja hexane

Tanzania Police Force na TBS tanzania hii kitu ni hatari kwa afya ya binadamu hatua za haraka zichukuliwe ili kulionoa taifa letu.

View attachment 2357915
Umedandia treni kwa mbele onyoanokho ebe! Unajua kwamba kuna njia mbili zinazotumika kwenye kuchakata mafuta?
 
Back
Top Bottom