DOKEZO Sakata la Mount Meru Millers kuchakata mafuta ya kupikia kwa kutumia sumu/ chemical badala ya alizeti serikali mko wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hayo ya mtaaani sharti uyachemshe/yapate moto sana then yapoe kabisa ndipo uendelee na matumizi ya kawaida.
 
Ndio maana nishaacha kununua mafuta ya singida bora korie na yale ya sunflower yale mengine
 
Uwaneni at the end of the day tunapata the best product.
 
Hiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
 
Hayo maelezo ndio mchakato mzima wa kuchakata mafuta ya mbegumbegu, nyongeza ni kuwa huwa yanachemshwa ku-inactivate enzymes na kufanyiwa deodorization kuondoa harufu mbaya!!
 
Hiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
Nakukubali food scientist,
 
Hii ni tuhuma Nzito sana na ni hatari sana kwa Biashara ya mtu; nilitamani ifanyiwe utafiti walau kidogo kabla ya kuwekwa huku! Kimsingi naona kama hiyo ni process ya kawaida kwa kutenganisha mafuta japo najaribu kujiridhisha kama hapo kwenye kuyasafisha kuna mapungufu yoyote...
1. Kimsingi kutengeneza vitu vingi ni chemical Process, Usione sukari ukavifikiri wamekamia wakapack
2.Mafuta ya kula nayo huhitaji Chemical process ili kuya safisha hadi yawe meupe na kutoa/kupunguza harufu.
3. Sasa kama huna msingi mzuri wa somo la Kemia nafikiri ungeandika kwa namna ya kuuliza bila kutaja kiwanda/Kampuni; ukisha elimishwa ukajua kuna udhaifu ndio upost
 
sina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…