Kwa sababu yamepitishwa kwenye process iitwayo "deodorisation".sina hakika lakini nimejaribu kujiuliza mbona haya mafuta hayana hata ile radha ya alizeti kama mengine,yaani mafuta ya alizeti yana kiharufu fulani lakini haya mengine hata harufu ya alizeti hakuna,me nkasema labda wamekuwa more advanced kwenye uandaaji
Okey ni kwa aina hii tuu ya mafuta I mean ni kwa aina hii ya hawa niliowataja tuu? Hyo chemical reaction haitokei kwa madumu ya haya mafuta yaliyozalishwa kwa mashine za mtaani kwetu huku au wao kuna some additives wana add? Maana nina madumu kibao ya mafuta ila ni aina fulani tuu ndo yanapata,hali hyo. Okey kama ndivyo haya ila mm nimeyaogopaHiyo inaitwa rancidity ni matokea ya kuyaanika mafuta juani ambapo kuna chemical reaction inayotokea kati ya hayo mafuta, mwanga wa jua na hewa ya oksijeni!!
Ndo nilichokua akisema haiwezekani madumu mengine yasiwe na hizi gundiHayo ya singida ukibandika ukaange kitu yanatoa povu hilo omo inasubiri,kidumu kikiisha mabaki yake yanakua gundi,naona wameamua watumalize!
Solution ni kutoyanunua tens. Wacha wapewe kitu kidogo lkn hakuna was kuyanunua. Ukinunua baada ya hii habari bas umejitakiaTwafwaaaa CCM wakipewa kitu kidogo hawawagusi kabisa hawa wafanyabiashara haramu, matokeo yake wanatuua
Mi sijui lakini mafuta ya sunola yakiisha dumu lake likikaa muda juani yale mabaki ya mafuta yanakua kama gundi au nta hivi sijui kwakweli ila mm nimeacha siku hizi natumia mafuta ya mashine za mtaani ila nayo kuna muda sijui wanasagiq nini mtumbo yanavuruga hatari. Mungu tuu atusaidie
Ndo nilichokua akisema haiwezekani madumu mengine yasiwe na hz gundi
Kwani unga wa dona nao unatatizo?Mtatuua jamani unakwepa samaki masafa, unakutana na mafuta, unakwepa mafuta unakutana na unga wa dona tukimbilie wapi sasa.
Itakua ni madesa yake ya kemia...Kuna mtu juu anasema sijui chemical rnx inatokea ikianikwa Juani sijui blah blah dumu limeisha mafuta na lipo ndani jikoni hilo jua linafika saa ngapi na bado linagundi hatar sana!
Hapana mimi nimeshuhudia kwa mafuta hayo tuu labda yanatofautiana.Hata mafuta yanayokobolewa mtaani mbona mwishoni ukiacha dumu muda mrefu huwa yananata?
Lazima wamiliki Wana kadi za CCMTwafwaaaa CCM wakipewa kitu kidogo hawawagusi kabisa hawa wafanyabiashara haramu, matokeo yake wanatuua
Na wewe pia acha undezi, unalalumikia bila kuweka maelezo ya kupinga hoja yake?Ukitaka mafuta yatengenezweje? Kutokujua ndiko kunakusumbua. Unachafua biashara ya watu kwa kutokujituma kujua hiyo process.
Acha ujinga.
Shida haya ya mtaani yanakua na harufuMimi ndiyo maana mafuta ya alizeti siku zote nanua kwa jamaa zangu wenye viwanda vya saizi ya kati, ambao unaona kabisa alizeti ikikamuliwa na kuchujwa... Anyway ndiyo uzuri wa kuishi Moro town wakamuaji wa alizeti kibao tuu.
Noo nowadays kuna mashine nzuri za kisasa zinakamua... Mimi huwa napeleka gunia zangu za alizeti wananukamulia na yanatoka safi kabisa na wala sichemshi... Pia mashudu yangu nabeba kwa ajili ya chakula cha kuku...Hayo ya mtaaani sharti uyachemshe/yapate moto sana then yapoe kabisa ndipo uendelee na matumizi ya kawaida.
Hakuna madhara yoyote mkuuKwa sababu gani? Kwamba usipoyachemsha yanakuwa na madhara gani?
Sioni sababu ya wewe kuuita ni tuhuma nzito wakati vyombo vya uchunguzi vipo na vitafuatilia na kama itaonekana wako vizuri si watasafishwa na kuendelea?Hii ni tuhuma Nzito sana na ni hatari sana kwa Biashara ya mtu; nilitamani ifanyiwe utafiti walau kidogo kabla ya kuwekwa huku! Kimsingi naona kama hiyo ni process ya kawaida kwa kutenganisha mafuta japo najaribu kujiridhisha kama hapo kwenye kuyasafisha kuna mapungufu yoyote...