Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,667
Reaction score
2,595
Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa Amber Lulu ni wa kwake kwani wanafanana.

Baada ya kauli hiyo mzazi mwenzake na Amber Lulu anayejulikana kama Mr. Botion alimbana Harmorapa ambaye alikana na kusema kuwa mtoto huyo si wake.

Lakini baada ya kuondoka alijirekodi tena kipande cha video akisema amenyanyaswa na kudharirishwa na Botion na wenzake hivyo akasisitiza kuwa mtoto yule ni wa kwake na atazungumza na wanahabari kuanika ukweli halisi, lakini wakati akiendelea kuzungumza na wanahabari ndipo Botion alitua na polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha polisi Mabatini.

Harm.jpg
 
Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.

Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunasiku nilijisikia aibu sana kwa matatu, kunanyimbo ilikua inapigwa sijui nini nini.... Alafu kibwagizo kinasema eti kojoa ndani kama sio mwagia ndani...😂😂😂😂
 
Mavijana ya ki Tz ndio mambo yao hayo, alafu yakitoka hapo utasikia wakenya wasije wanakuja kuchukua ajira zetu mara mama Samia usitoe vibali vya kazi kwa wageni........., sasa hivi ukiwa na kampuni yako ndio unategemewa kuwaajiri vijana kaliba ya Harmorapa na Huyo nani sijui Botion sijui au huyo dada aliyejifugua na team zao
 
Back
Top Bottom