Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niangalie kwenye kilinge changu kama nami nilishakojoa hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa Amber Lulu ni wa kwake kwani wanafanana.

Baada ya kauli hiyo mzazi mwenzake na Amber Lulu aanayejulikana kama Mr. Botion alimbana Harmorapa ambaye alikana na kusema kuwa mtoto huyo si wake.
lakini baada ya kuondoka alijirekodi tena kipande cha video akisema amenyanyaswa na kudharirishwa na Botion na wenzake hivyo akasisitiza kuwa mtoto yule ni wa kwake na atazungumza na wanahabari kuanika ukweli halisi, lakini wakati akiendelea kuzungumza na wanahabari ndipo Botion alitua na polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha polisi Mabatini.

©GP
Ila mwanangu wanaume sisi roho ngumu kinyama,yani unampiga miti mtu kama AmberLulu kavu kavu bila ndomu na life linasonga kama kawa.
 
Kunasiku nilijisikia aibu sana kwa matatu, kunanyimbo ilikua inapigwa sijui nini nini.... Alafu kibwagizo kinasema eti kojoa ndani kama sio mwagia ndani...😂😂😂😂
Siku hizi kuna nyimbo za ajabu sana, sijui kwanini Basata hawazipigi pini.
 
Ukweli anaujua Amberlulu
Sasa hao vijana ndio watulize pumbyu zao ...

Kama kuna mtu anaona mtoto ni wake na ananyimwa haki yake, mahakama zipo na sio kuanza kuweka press conference...

Nawashangaa hata hao wana habari waloitikia mwito/mwaliko wa press conference kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa yupo vizur lakn kwa mashauz ya amber lulu kwel jamii kwel aitangazie huyu mtoto wa harmo rapa hahaha mm napinga hata kama kwel mtoto wake
Kwani Amber ana nini cha ajabu ambacho hawezi kudate na harmorapa? Mbna walikua wanadate hao watu.
 
Kwani nani anawadanganya kwamba mwanamke ndio ana uwezo wa kujua baba wa mtoto? Yaani mwanamke atembee na wanaume watatu ndani ya siku tatu mfululizo, atakuwaje na uwezo wa kumjua aliyempa ujauzito?
Anajua sana, hata alale na wanaume 6 kwa siku 1 , anajua nani kampa mimba.
 
Ngoja niangalie kwenye kilinge changu kama nami nilishakojoa hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuh plz km ulishawahi kukojoa hapo, naomba tudai mtoto, damu yetu isipoteeh bureeh.
 
Back
Top Bottom