cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kwenye hotel ya "mkuu". [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kwenye hotel ya "mkuu". [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamorapa si yule aliyetoka nduki sana kwenye tukio na Nape?
Hao wengine mngeweka picha zao tuwaone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee lol1. Mtoto ni wa Harmorapa[emoji38]
Sasa hapo wanamkamata wakati kweli mtoto amefanana?Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa Amber Lulu ni wa kwake kwani wanafanana.
Baada ya kauli hiyo mzazi mwenzake na Amber Lulu aanayejulikana kama Mr. Botion alimbana Harmorapa ambaye alikana na kusema kuwa mtoto huyo si wake.
lakini baada ya kuondoka alijirekodi tena kipande cha video akisema amenyanyaswa na kudharirishwa na Botion na wenzake hivyo akasisitiza kuwa mtoto yule ni wa kwake na atazungumza na wanahabari kuanika ukweli halisi, lakini wakati akiendelea kuzungumza na wanahabari ndipo Botion alitua na polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha polisi Mabatini.
Hatari sanaIla hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan we acha tyuuhHatari sana
Damu ni nzito kuliko majiWapi me DNA inaelekea mama mtoto anapenda baba awe Botion.
Hujui inakera kiasi gani mpaka yakukute,nakumbuka nilikuwa nashangaa mtu unakasirikaje ukitukanwa mpaka siku nilipotukanwa nna kinyongo mpaka keshoBotion nime mvua vyeo vyote ndan ya 26 ni utoto anaofanya anatumia nguvu nyingi kupambana na fala
ungeyasikia maongezi ya harmorapa hakika usingesadiki maneno yake. Ni mpuuzi tu ndiyo anaweza kuelewa akili za huyu kijana. Baada ya kuambiwa wanafanana na mtoto wa amberlulu basi ikawa opportunity kwake ili atrend. Vaa viatu vya amberlulu ukiwa unajua fika hauna uhusiano wowote wala hukuwahi kutembea nae, Kisha usikie mtu huyo anatangaza habari Kama hizi. Lazima uchukue hatua. Anachokifanya Harmorapa ni uzalishaji wa wanawake, hata Kama ni kweli si angemfata muhusika wakayamaliza kimya kimya vyombo vya sheria si vipo. Huyu kijana anapaswa kupewa fundisho kabisa ili uwe mfano kwa wengine wenye tabia za kipumbavu Kama hizi.Siajabu mama alipewa smart phone na Hamorapa leo anatumia nguvu kubwa kumtaka akane kuwa aliwahi kula kitumbua.
Duh ndiyo bongo fleva hizo na Basata wakiingilia kati wasanii wananuna🤔 nyimbo hata huwezi sikiliza na wazazi😬😬Kunasiku nilijisikia aibu sana kwa matatu, kunanyimbo ilikua inapigwa sijui nini nini.... Alafu kibwagizo kinasema eti kojoa ndani kama sio mwagia ndani...😂😂😂😂
Alitoka mudaHivi Botion alitoka jela lini mpaka akaweza mtia mimba Ambar?
Tatizo wote mazoba tu hata hao Amber na Abotionungeyasikia maongezi ya harmorapa hakika usingesadiki maneno yake. Ni mpuuzi tu ndiyo anaweza kuelewa akili za huyu kijana. Baada ya kuambiwa wanafanana na mtoto wa amberlulu basi ikawa opportunity kwake ili atrend. Vaa viatu vya amberlulu ukiwa unajua fika hauna uhusiano wowote wala hukuwahi kutembea nae, Kisha usikie mtu huyo anatangaza habari Kama hizi. Lazima uchukue hatua. Anachokifanya Harmorapa ni uzalishaji wa wanawake, hata Kama ni kweli si angemfata muhusika wakayamaliza kimya kimya vyombo vya sheria si vipo. Huyu kijana anapaswa kupewa fundisho kabisa ili uwe mfano kwa wengine wenye tabia za kipumbavu Kama hizi.
uzoba wao ni nini hasa?Tatizo wote mazoba tu hata hao Amber na Abotion
Approach ya tatizo hili, unaendaje kumteka mtu badala ya kumshitaki?uzoba wao ni nini hasa?
Mr_botionHuyu botion anatumia jina gani insta?