Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Mkuu Kwa huyo amber Lulu hizo laki 2 ulizotaja mbn umempendelea Sana,huyo unamnywesha pombe unampakiza kwenye gari na uankula mzigo kisha unamtemaJe! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?
Hivi hujui kuwa ukiwa na laki 2 tu unaweza kutembea na hawa madanga ya insta regrdless sura yako iko kama wapuliza moto?
Haya mambo tuwaachiwe wao wakuu
Huyo ni Malaya wa bei rahisi Tu,juzi anahojiwa na TV Fulani anakwambia wakt ana mimba ilimbidi aedit picha anazopiga na app ya kufanya tumbo liwe flat ili mradi Tu madanga yaendelee kuhudumia..alafu huyo jamaa uliyem quote anamtetea km anamjua sn