Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

hapa naona nyange Case study ikijirudia
Jamaa mwenyewe alikuwa kafunga na walivokuwa wanamvuta vuta na kanzu yake 😀😀
 
Inawezekana kabisa ameshalala na Huyo mdada mwenye mtoto ndo maana anajiamini kiasi hiki..

Hapa shida ni mwanamke Kwa Mtazamo wangu.
 
Ila hili sakata la huyu mtoto, anayetakiwa kutoa majibu ni Amber, maan mtoto mwenyewe inasemekana wa MAJANI.
Ndo madhara ya kuwa mdangaji, kila aliyekojoa anadai mbegu ni yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaa mtoto ana baba watatu, Haaaaa 😂, huyu amber ndo yule amberutu aliyejirekodi anafanya uchafu au sio huyu
 
Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa Amber Lulu ni wa kwake kwani wanafanana.

Baada ya kauli hiyo mzazi mwenzake na Amber Lulu aanayejulikana kama Mr. Botion alimbana Harmorapa ambaye alikana na kusema kuwa mtoto huyo si wake.

lakini baada ya kuondoka alijirekodi tena kipande cha video akisema amenyanyaswa na kudharirishwa na Botion na wenzake hivyo akasisitiza kuwa mtoto yule ni wa kwake na atazungumza na wanahabari kuanika ukweli halisi, lakini wakati akiendelea kuzungumza na wanahabari ndipo Botion alitua na polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha polisi Mabatini.


Wanademka
 
Back
Top Bottom