Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Mmmmh!!! Hii ngumu kumezakama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Je hiyo presumption ni rebutable au ni irrebutable; kwa sababu ukishaingiza mambo ya presumption meaning kuna room ya proof, hiyo fact sio conclusive.Mkuu mimi si mwanasheria lakini najua wapo wanasheria humu, hicho kipengele kinasema a man is "presumed to be" a child's biological father without additional supportive evidence, usually as a result of marriage. Sasa iko kwenye sheria gani au kifungu gani sijui, labda wataalamu watusaidie
[QUOTE="MKIKUU, post: 27486687, member: 211752"]Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.
Hebu tufafanulie basi kisheria mkuu, inaonekana una uelewa na haya mambo ya kisheriaJe hiyo presumption ni rebutable au ni irrebutable; kwa sababu ukishaingiza mambo ya presumption meaning kuna room ya proof, hiyo fact sio conclusive.
Nilitaka ufafanuzi toka kwako mkuu.Hebu tufafanulie basi kisheria mkuu, inaonekana una uelewa na haya mambo ya kisheria
anabeba mimba ya mtu mwingine huku yupo ndoani.....umalaya umemuumbua sasaMuna ni kizibo ...na ameokoka kinafiki ....mwanamke ana roho ngumu yuleee ...nimemsikiliza yule baba anatia huruma ....inaonekana muna alimuweka part kama kitega uchumi ....ila sisi wanawake mungu anatuona
Kama umeolewa mtoto utakaezaa ndani ya hio ndoa ni wa mumeoMama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Na ma-celebreties wake hasa wasanii wake!Ukitaka kuona namna taifa lilivyochanganyikiwa anza kuona ndoa za watu wake!
Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.
usiogope mdogo wangu. Ila uwe mwangalifu sana sana. Usichague mke kwa kutumia kigezo kimoja eg uzuri, elimu nk. Fanya uchumba kwa muda umsome. Chunguza historia yake na ya familia yake. Kuna familia nyingine zina tabia na mila za ajabu sana.Hivi ni moja ya vitu vinavyofanya kila nikiwaza kuoa nywele zinasisimka kama vile nimepita sahemu ya kutisha.
Huwezi kujituliza kama zinafanya kazi Kichwani.
Hili la babu yako ni neno zuri sana na jaribu kulishika. Mwanamke anadanganyika na kitu kidogo sana sana kwa sababu anakiona na kuacha vyenye thamani kwa sababu haviko karibu.Inavonekana kuna visasi na chuki kati yao, babu alishawah kunambia mjukuu wangu wanawake ishi nao kwa akili mana ni kama kinyonga hubadilika mda wowote usiodhania
Upo juu kwa kutoa rejea..safi sanaPresumption of paternity Mkuu
Mkuu,utajilazimisha kuwa baba wa mtoto ambaye mama yake amekwambia wewe sio baba wa huyo mtoto?Jiweke kwenye nafasi ya Zacharia mkuu