Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

kama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.

matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Mmmmh!!! Hii ngumu kumeza
 
Mkuu mimi si mwanasheria lakini najua wapo wanasheria humu, hicho kipengele kinasema a man is "presumed to be" a child's biological father without additional supportive evidence, usually as a result of marriage. Sasa iko kwenye sheria gani au kifungu gani sijui, labda wataalamu watusaidie
Je hiyo presumption ni rebutable au ni irrebutable; kwa sababu ukishaingiza mambo ya presumption meaning kuna room ya proof, hiyo fact sio conclusive.
 
[QUOTE="MKIKUU, post: 27486687, member: 211752"]Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.

Huwezi kujituliza kama zinafanya kazi Kichwani.[/QUOTE]
Inavonekana kuna visasi na chuki kati yao, babu alishawah kunambia mjukuu wangu wanawake ishi nao kwa akili mana ni kama kinyonga hubadilika mda wowote usiodhania
 
Kweli nimeamniHawa wanawake wanaojichora Tatooo akili zao huwa wakienda chooni wanaziacha huko huko..... Kingenie nimejifunza kuwa Mwanamke kama huko nyuma alishawahi kuwa Malaya maisha yake yote hawezi kuacha Umalaya hata akiwa Nabii... Hii ndiyo aina ya Wanawake tulio nao mtaani.. Peter ni Mwanaume Jasiri sana na kwa umri wake wa 48 anachokifanya ni busara sana na anapashwa kuheshimika.

Kifupi Mwanamke Malaya ni Malaya tu.. Huyo Muinjirist anayetembea na Huyo Malaya naye imedhihirisha kuwa siku hizi Wakristo hawaheshimu tena Imani ya Kikistro... Iweje ukubali kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye aliolewa na hajawahi kupewa talaka?

Kwa kweli Mheshimiwa Rais endelea kukaza ilia Sura halisi za wanawake tuzione.
 
Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.


 
Hivi ni moja ya vitu vinavyofanya kila nikiwaza kuoa nywele zinasisimka kama vile nimepita sahemu ya kutisha.
usiogope mdogo wangu. Ila uwe mwangalifu sana sana. Usichague mke kwa kutumia kigezo kimoja eg uzuri, elimu nk. Fanya uchumba kwa muda umsome. Chunguza historia yake na ya familia yake. Kuna familia nyingine zina tabia na mila za ajabu sana.
 
Huwezi kujituliza kama zinafanya kazi Kichwani.
Inavonekana kuna visasi na chuki kati yao, babu alishawah kunambia mjukuu wangu wanawake ishi nao kwa akili mana ni kama kinyonga hubadilika mda wowote usiodhania
Hili la babu yako ni neno zuri sana na jaribu kulishika. Mwanamke anadanganyika na kitu kidogo sana sana kwa sababu anakiona na kuacha vyenye thamani kwa sababu haviko karibu.
 
Back
Top Bottom