hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
bora tu "iwe hivyo""...,maana hawana adabu hawa ubavu wetu ""..Ndoa mzigo saizi tunawazalisha tu halafu tutalea watoto kwa whatsapp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora tu "iwe hivyo""...,maana hawana adabu hawa ubavu wetu ""..Ndoa mzigo saizi tunawazalisha tu halafu tutalea watoto kwa whatsapp
kama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Huyu dada aliokoka kinafki huyo Joel ndio nan tena sababu hawa bongo movie wanafutaga watu wenye majina mjini
walokole wa kisasa hao.....wanahubiri mafanikio tu, habari ya amri na makatazo wamewaachia wakatolikiHahaaaa!!!!! Hivi yupo kanisa gani??? Na huyo mchungaji ataishije na mke wa mtu wa ndoa tena ambaye hajapewa talaka
Hakikawalokole wa kisasa hao.....wanahubiri mafanikio tu, habari ya amri na makatazo wamewaachia wakatoliki
Kumbe wazungu ndo zao hizo sihawahi kujuaHapa ndo nnapowapendeaga wazungu,..fanya usenge ka huu anaua mtoto,mama na yeye anajimaliza,.. God will understand. Yani hela za matibabu anachukua afu mtoto kafa anasema hakua mtoto wake,..*****,.. Afu huyo anaetaka kumuoa huyo malaya nae akili hana.,. Walokole bhana.,..Hahaha!!!
Usifanye ivyo kwa wakurya hata kama anajua kuwa alizaa na mtu mwingine atamchukua tuMwanamke akisema huyu mtoto sio wako,muachie!
kama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
zoefu unaonyesha watoto wa namna hii huwa hawana furaha siku zote na hasa wakiwa hawajui asili yao sahihi. tunajidanganya kwa kuwapa baba wengine lakini nafsi zao huwa zinaelewa wapi walikotoka na zinawaletea maumivu ya ndani makubwa mno kupita kiasi.
matokeo yake huwa na roho ya kisasi na kujikataa na wengine kuishia kuwa malaya na wakati mwingine huwa wanaweza kujiua.
lakini pia wapo ambao hubadilika na kuwa na upendo mkubwa kwa jamii kwa kuwa ndio wanaoiamini.
hivyo wakinamama acheni hii mchezo.
Ana watoto.Hivi lemutuzz ana mtoto?
Si kuna DNA test bwanathat's a cheap excuse. yaani umuachie tu yeye km nani na atakufanya nn uking'ang'ania?? mna waoverrate sana wanawake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa kwani me nna shida we jichanganye kwa wadada waswahili waswahili utaelewa siku moja.....wanawake tukiamua kukufanya ndondo ni dakika sifuri tu kazi imeisha
Hahahahaha.....usiombe uwe na helaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yan akili zenu mnazjua wenyewe
Nakazia..Huu ni umalaya first class.
Ana watoto tena ma-teenager. Kwa taarifa ni kuwa USA alikuwa na mke wa ndoa na watoto. Lakini inaelekea mke naye alianza kumfanyia vituko na visa (unajua wanawake wetu hawa) mpaka ikafikia hatua akawa karibu kuchanganyikiwa na ndipo aliporudi Bongo. Hii ni kwa mujibu wa simulizi na picha zake anazopost kwenye mtandao.Hivi lemutuzz ana mtoto?
Sema hana mke. ww binafsi ukikubali kutombe.wa nyumbani unaposhi na mme wako hicho kitendo kinabatilisha vipi uanaume wa mume wako??Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawili
Ni fala tu,nampa big up aliyemshika mkono dkk za mwisho huku... Watu wamemkalisha chini..!!!wamemuambia akomae!
Ila kwa uanaume hanaa!!!