Sasa Mwl wa kiume bweni la wasichana anaingia kufanya nini? Akikuta wanabadili nguo? Au Pedi? [emoji848]Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.
Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
We nae umejifichia kwenye mzazi mzazi hata kuku ni mzazi pia, acha kutetea upuuzi wa changudoa mtoto .Ungekua mzazi sidhani ungeongea hivi...nikuache ufurahishe moyo wako
Yaan ungemuona ester mwenyew sijui kama haya yote ungeyasema apa.Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.
Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.
Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.
Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"
Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.
Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.
Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;
1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI
WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.
MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?
3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?
HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).
1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?
2. Kwanini alimtaja Jimmy?
3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?
4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?
SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.
Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.
Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.
2. Mmewakosea wazazi wote.
3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.
ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani yeye ndo ana uchungu kuliko woteee esta mwenzake anaenjoi dyudyuu ya yuyuuuuu[emoji1][emoji1][emoji1]We nae umejifichia kwenye mzazi mzazi hata kuku ni mzazi pia, acha kutetea upuuzi wa changudoa mtoto .
Kwahyo humu JF ww ndo una watoto peke yako?
Nachokwambia tu ni kwamba huyo mtoto wenu au mdogo wako mmeshindwa kumlea ktk maadili ameangukia kwenye ukahaba na mmeshachelewa mpelekeni kwa mme wake baba Jose waendelee na maisha yao na muache kumchafua huyo mwalimu
Umethibitishaje kuwa ni kweli Jimmy alimbaka???Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.
Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Umethibitishaje kuwa ni kweli Jimmy alimbaka???
mambo haya ni ngumu kuhukumu upande mmoja.
Sema tu serikal inataka jambo hili liishe kwa haraka na hawataki tena liendeleee lakn KUNA KITU HAKIKO SAWA KWENYE KESI HII, KWA NINI SIONI IKICHIMBULIWA VYEMA.
We una uhakika gani kama alimdharirisha,na kama ilikuwa hivo form five kuna matron,kuna viongozi chungu nzima kuna wazazi iweje ukajifiche huko mwezi na kiduku juu,yule mtoto hapanaNi saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.
Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Nataka kusikia kwamba alitokaje pale shule wakati pana ulinzi mkali na fence ya umeme na mcctv camera yote mpaka kwa baba Jose.Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,
Hiyo siyo insta mkuu, ni youtubeKomenti za insta lini zimewahi kuwa bora?
Ni kundi la vilaza tu
Kazi ya Idara katika kuhamisha mijadala makini inayohusu jamii!!!!!!!!!!! Kila mkoa umepewa kazi maalumu ya kuihadaa jamii juu ya mambo ya msingi!!!!!!!!! Simba, Yanga na walimu hutumika sana kuihadaa jamii na kuitoa kwenye reli!!!!!!!!!!!!!
Huwa wanafurahi mnavyojadili mada za kipuuzi ambazo nyingi huzitengeneza wao, mada za kuamsha na kuchekecha ubongo huwa hazitakiwi kwani ni hatari kwa usalama wa nchi!!!!!!!!!!!
Kumbuka wao ni wachache na sisi ni wengi , huogopa sana huu uwingi ,hutumia mbinu mbalimbali lakini kwa Tanzania hawaumizi kichwa kwani manyumbu ni wengi!!!!!!!!!!!! Tukio llikiletwa hakuna anayefikiri kwa kina!!!!!!!! Ni papara, mhemko,ujuaji wa kishamba, ushabiki n.k!!!!!!!!!!
kwa ninavo fahamu. Mtt wa kike hua hataji mtu bila sababu, lazima kuna mazoea mabaya kati ya Mwal Jimmy na Huyo bintiMimi mtoto wa kike siwezi kumuamini hata kwa machozi ya damu, haswa hawa watoto wa siku hizi.
Mimi ni mzazi pia .
Mleta mada unafikia hitimisho gafla sana
Yeye anasema siku anaondoka form six walikua washamaliza mitihani hivo walikua wanaruhusiwa kupita getini bila kuulizwa so na yeye akajipenyeza humoNataka kusikia kwamba alitokaje pale shule wakati pana ulinzi mkali na fence ya umeme na mcctv camera yote mpaka kwa baba Jose.
Niko pale,wakikujibu uje uniambie
samahani mkuu,Wanabakwa watu wazima na hawa report police ndio itakua mtoto?! Nyie mnashindwa kuelewa kuna denial, stigma, and feeling no one is going to believe you ndicho kinachowafanya victims wa rape not to come forward
Wewe Una ushahidi wa kutosha alikua anafanya ngono? Ulimshikia miguu?? Kubakwa na akili kubakwa jijibu mwenyewesamahani mkuu,
Hivi ukibakwa hata akili nazo zinabakwa?
kwani huko kwa baba jose kwa siku 36 alikuwa anafanya nini au anafanywa nini?
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.