Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.

Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.

Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane

Huyo baba Jose hana akili ?akae na mwanafunzi sikuzote hizo na anatafutwa Akae na mtoto wa watu bila hata kumwambia mwenyekiti wa kitongoji?sijui kijiji au mtaaa .Acha upuuzi mtioa maada
 
Sikuhizi Tanzania kumejaa watu wa hovyo sana.Mtu anaanzisha mada kumzungumzia malaya aliejivika vazi la uanafunzi.Huyo binti alishawahi kutoroka akiwa o-level akaenda kwa mwanaume.Lakini pia baada ya yote alitoroka akaenda kwa mwanaume(baba Jose)na maelezo ya awali hakusema kuwa kabakwa.Kiufupi huyo mwalimu anaangushiwa jumba bovu na huyo malaya na inapaswa achukuliwe hatua kali ili asije dhalilisha watu wengine.
Huyu ana visa na mwl Jimmy ndo kaamua kumkomesha
 
Sikuhizi Tanzania kumejaa watu wa hovyo sana.Mtu anaanzisha mada kumzungumzia malaya aliejivika vazi la uanafunzi.Huyo binti alishawahi kutoroka akiwa o-level akaenda kwa mwanaume.Lakini pia baada ya yote alitoroka akaenda kwa mwanaume(baba Jose)na maelezo ya awali hakusema kuwa kabakwa.Kiufupi huyo mwalimu anaangushiwa jumba bovu na huyo malaya na inapaswa achukuliwe hatua kali ili asije dhalilisha watu wengine.
Kama Huyo Mwalimu Jimmy angekua Ni Ndugu yangu, Ngoma tungecheza wote
Sijui hata..
Ila Dunia ni Uwanja wa Fujo.... Yote yanawezekana
 
Walimu wengi wanaijidai wanoko na wataalam wa kurekebisha nidhamu shuleni ndio wanaongoza kwa umalaya na tabia chafu kuwafanyia wanafunzi,
Wanaficha tabia zao kupitia njia iyo.
Mwanafunzi anakuwa muoga kutoa taarifa endapo kafanyiwa ubaya kwa kuhofia ukali wa mwalimu, kama hujapitia changamoto za unyanyasaji shuleni huwezi kuelewa!...
Haki itendeke msitoe maoni kwa mihemko
Wewe mwenyewe umehemka kwa kuhukumu walimu kwa hisia zako hasi.
 
Huyo baba Jose hana akili ?akae na mwanafunzi sikuzote hizo na anatafutwa Akae na mtoto wa watu bila hata kumwambia mwenyekiti wa kitongoji?sijui kijiji au mtaaa .Acha upuuzi mtioa maada
Haya tuambie alikuwa wapi, maana yaelekea unajua.
 
Kumbe na wewe kubwa jinga? Mbona katika hayo maswali hujauliza kwa Baba Jose mwezi mzima alikua anafanya nini?
 
Unajua watu wengi hanahemka bila kutumia akili mwisho wamwalibie maisha mtu mwingine na wanaume ndo huwa tunakuwa wahanga na wanawake wenye roho mbaya kama huyu Binti yaani mwalimu ambake mwanafunzi bwenini ambako wanalala wanafunzi zaidi 200 wakati Kuna probability kubwa kukamatwa na wanafunzi wengine ambao wamedoji au wasahau chochote na kurudi bwenini
Huyo Either hana cha kueleza kwa umma, ni bora aombe msamaha ahamishwe shule akaendelee na Elimu yake, amuache jimmy wa watu khaaah
 
Wazazi wa type yako ndio mnadanganywa na watoto kipumbavu … mtu aende kutoa watoto bwenini akuadhibu alafu akubake … hakuna bweni linalobaki tupu hata dakika wanafunzi hawaishi bwenini hata uwatoe na askari
 
Yani wewe ni baba wa Binti unapambana na mtu ambaye inasadika kamla Binti yako mara moja maana hamna ushahidi harafu unafumba macho kwa mtu aliyemla Binti yako mwezi mzima na ushahidi upo yaani kama alikuwa anamwingilia kwa siku mara tatu kwa siku kamla zaidi ya mara 90 kama alikuwa anapiga mabao matatu Kila anavyomwingilia kamwagia manii zaidi ya mara 270
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufaa kwa kucheka wallah.
 
Skia mkuu, Kama unatumia jicho la tatu kufikiria utaunganisha dots kati ya baba Jose, muuza genge na Jimmy mwalimu. Nasema hivi kwasababu Pandahill Sec naifahamu nje ndani na kutoka haiwezekani mpaka uwe na GATE PASS sasa jiulize huyo dogo Ester alitokaje bila Access ya kutoka kwa Jimmy na obviously nje alikuwa amepokelewa na mtu aliyekuwa ameandaliwa kwenda kumficha. Just try to think out the box mkuu
Sasa atafutwee huyo alio mpokea, ambaye ni baba Jose yeye ndo atasema km aliambiwa na jimmy ampokee Esther au laah.

Mbna mnakimbia suala LA baba Jose kutafutwa?? Kwann? Acheni kutaka kuumiza watu wasio na hatia, khaaah
 
Na wee ungekua baba Jose ungempokea binti ukae nae mwezi mzima Bila wazazi au viongozi kujua?

KWA hili uyo anyejiita baba Jose ndo mshtakiwa namba moja
Baba Jose ndo atafutwee ahojiwe, yeye ndo anaujua kila kitu kuhusu hii movie. Wamuache jimmy wa watuu Lol.
 
Balaa shost...boarding mbinu zote za kivita zilko huko...mie nikikumbuka nabaki kucheka...usiku tulkua tunageuka viwete..mradi muibe nyanya mkatengeneze salad domitory[emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu tumetoroka na kutoroka, likizo ndogo, shule unaaga unaenda home, home unasema unabaki shule, walimu wanajua uko home, na wazazi wanajua uko shule.

Kumbe mtu unaelekea unakokujua. Atatuambia nn huyu dogo??
 
duuh..
vile vishule vya masister kwa namna vilivyo vya kikuda eti mwalimu wa kiume aweze kufika na kuingia kwenye bweni la watoto wakike.! tena na kumnyundia mwanafunzi bwenini..!..anyway .ester ni veteran yani kwenye game kitambo huyo..maelezo yake yanautata
 
Yaan ungemuona ester mwenyew sijui kama haya yote ungeyasema apa.

Yaani anafanana kabisa nahayo waliyoyasema ya Kwa baba jose
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo dogo hiyo ni fantasy yake tu kwa tcha Jimmy, hana lolote.. ni kuburuza tu mahakamani mbivu mbichi zikajulikane! Mamaake nae anasemaje hizo tuhuma?
 
Back
Top Bottom