The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.
Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Huyo baba Jose hana akili ?akae na mwanafunzi sikuzote hizo na anatafutwa Akae na mtoto wa watu bila hata kumwambia mwenyekiti wa kitongoji?sijui kijiji au mtaaa .Acha upuuzi mtioa maada