Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.

Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
Sasa Mwl wa kiume bweni la wasichana anaingia kufanya nini? Akikuta wanabadili nguo? Au Pedi? [emoji848]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ungekua mzazi sidhani ungeongea hivi...nikuache ufurahishe moyo wako
We nae umejifichia kwenye mzazi mzazi hata kuku ni mzazi pia, acha kutetea upuuzi wa changudoa mtoto .

Kwahyo humu JF ww ndo una watoto peke yako?

Nachokwambia tu ni kwamba huyo mtoto wenu au mdogo wako mmeshindwa kumlea ktk maadili ameangukia kwenye ukahaba na mmeshachelewa mpelekeni kwa mme wake baba Jose waendelee na maisha yao na muache kumchafua huyo mwalimu
 
Kazi ya Idara katika kuhamisha mijadala makini inayohusu jamii!!!!!!!!!!! Kila mkoa umepewa kazi maalumu ya kuihadaa jamii juu ya mambo ya msingi!!!!!!!!! Simba, Yanga na walimu hutumika sana kuihadaa jamii na kuitoa kwenye reli!!!!!!!!!!!!!

Huwa wanafurahi mnavyojadili mada za kipuuzi ambazo nyingi huzitengeneza wao, mada za kuamsha na kuchekecha ubongo huwa hazitakiwi kwani ni hatari kwa usalama wa nchi!!!!!!!!!!!

Kumbuka wao ni wachache na sisi ni wengi , huogopa sana huu uwingi ,hutumia mbinu mbalimbali lakini kwa Tanzania hawaumizi kichwa kwani manyumbu ni wengi!!!!!!!!!!!! Tukio llikiletwa hakuna anayefikiri kwa kina!!!!!!!! Ni papara, mhemko,ujuaji wa kishamba, ushabiki n.k!!!!!!!!!!
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Yaan ungemuona ester mwenyew sijui kama haya yote ungeyasema apa.

Yaani anafanana kabisa nahayo waliyoyasema ya Kwa baba jose
 
We nae umejifichia kwenye mzazi mzazi hata kuku ni mzazi pia, acha kutetea upuuzi wa changudoa mtoto .

Kwahyo humu JF ww ndo una watoto peke yako?

Nachokwambia tu ni kwamba huyo mtoto wenu au mdogo wako mmeshindwa kumlea ktk maadili ameangukia kwenye ukahaba na mmeshachelewa mpelekeni kwa mme wake baba Jose waendelee na maisha yao na muache kumchafua huyo mwalimu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yani yeye ndo ana uchungu kuliko woteee esta mwenzake anaenjoi dyudyuu ya yuyuuuuu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.

Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.

Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Umethibitishaje kuwa ni kweli Jimmy alimbaka???

mambo haya ni ngumu kuhukumu upande mmoja.

Sema tu serikal inataka jambo hili liishe kwa haraka na hawataki tena liendeleee lakn KUNA KITU HAKIKO SAWA KWENYE KESI HII, KWA NINI SIONI IKICHIMBULIWA VYEMA.
 
Kuna kitu hakipo sawa
 
Hicho kiduku alimyoa jimmy,yaani mtoto abakwe ghafla,alafu apate nguvu ya kuandika kimemo na kutokomea mwezi mzima?inamaana ye peke yake ndo alichelewa kutoka bwenini,hiyo nayo haiingii akilini
msimwangushie jumba bovu jimmy,
Yule dogo anavyoonekana ni jeuri na anaweza kukuzushia uongo nashangaa hiyo PCB ilikuwaje.
Na kwa nini usiseme uchunguzi ufanyike?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.

Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.

Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
We una uhakika gani kama alimdharirisha,na kama ilikuwa hivo form five kuna matron,kuna viongozi chungu nzima kuna wazazi iweje ukajifiche huko mwezi na kiduku juu,yule mtoto hapana
Tena huyu dogo apuuzwe,mwezi mzima unataka daktari apate ushahidi gani,na kama kuna ambaye yuko nyuma yake basi ajipange vuzuri,haiingii akilini

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Nimewahi kupata kesi kama hiyo ,kwakweli nilishangaa sana na sikujua imekuwaje mpaka Leo sijawahi pata jibu Kwanini mwanafunzi huyo alinizushia hivyo,nilihisi kama Niko ndotoni,binti kakaza sana yaani balaa,kilichoniokoa ni historia yangu juu ya watoto wa kike pamoja na msimamo na mienendo yangu kwa jamii.

Duh sitamsahau huyo binti,walimu tunapitia mambo magumu sana.
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,
Nataka kusikia kwamba alitokaje pale shule wakati pana ulinzi mkali na fence ya umeme na mcctv camera yote mpaka kwa baba Jose.

Niko pale,wakikujibu uje uniambie
 
Nakubaliana na wewe hapa mkoani Iringa wameanzisha mjadala wa simba kuvamia makazi ya watu

Basi mji mzima mjadala ni simba NB: hifadhi ya Ruaha ipo umbali wa zaidi ya km 60 kutoka city center.
Kazi ya Idara katika kuhamisha mijadala makini inayohusu jamii!!!!!!!!!!! Kila mkoa umepewa kazi maalumu ya kuihadaa jamii juu ya mambo ya msingi!!!!!!!!! Simba, Yanga na walimu hutumika sana kuihadaa jamii na kuitoa kwenye reli!!!!!!!!!!!!!

Huwa wanafurahi mnavyojadili mada za kipuuzi ambazo nyingi huzitengeneza wao, mada za kuamsha na kuchekecha ubongo huwa hazitakiwi kwani ni hatari kwa usalama wa nchi!!!!!!!!!!!

Kumbuka wao ni wachache na sisi ni wengi , huogopa sana huu uwingi ,hutumia mbinu mbalimbali lakini kwa Tanzania hawaumizi kichwa kwani manyumbu ni wengi!!!!!!!!!!!! Tukio llikiletwa hakuna anayefikiri kwa kina!!!!!!!! Ni papara, mhemko,ujuaji wa kishamba, ushabiki n.k!!!!!!!!!!
 
Nataka kusikia kwamba alitokaje pale shule wakati pana ulinzi mkali na fence ya umeme na mcctv camera yote mpaka kwa baba Jose.

Niko pale,wakikujibu uje uniambie
Yeye anasema siku anaondoka form six walikua washamaliza mitihani hivo walikua wanaruhusiwa kupita getini bila kuulizwa so na yeye akajipenyeza humo
 
Wanabakwa watu wazima na hawa report police ndio itakua mtoto?! Nyie mnashindwa kuelewa kuna denial, stigma, and feeling no one is going to believe you ndicho kinachowafanya victims wa rape not to come forward
samahani mkuu,
Hivi ukibakwa hata akili nazo zinabakwa?
kwani huko kwa baba jose kwa siku 36 alikuwa anafanya nini au anafanywa nini?
 
Sikuhizi Tanzania kumejaa watu wa hovyo sana.Mtu anaanzisha mada kumzungumzia malaya aliejivika vazi la uanafunzi.Huyo binti alishawahi kutoroka akiwa o-level akaenda kwa mwanaume.Lakini pia baada ya yote alitoroka akaenda kwa mwanaume(baba Jose)na maelezo ya awali hakusema kuwa kabakwa.Kiufupi huyo mwalimu anaangushiwa jumba bovu na huyo malaya na inapaswa achukuliwe hatua kali ili asije dhalilisha watu wengine.
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028

Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028

Swali langu ni moja tu kwako mtoa maada
 
Back
Top Bottom