Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Haya mambo yapo mkuu.

Kuna shule ya kulipia karibu na ninapoishi, kuna mwl Jina James alikuwa akitembea na wanafunzi wa darasa la 7, ilipojulikana, shule walimhamishia shule yao nyingine kimya kimya kulinda hadhi ya shule...tusikatae wala kukubali kirahisi, ukweli utafutwe kwanza
Huyo demu asingekimbilia kusikojulikana kama kweli alibakwa kwani huyo mchoma mkaa ni nani yake?
 
Na wewe ukaamua kumtetea Jimmy kwa vigezo gani?
Kwanini iwe Jimmy tangu mwanzo?
Siku zote Mwalimu au Mkufunzi mkalakala yaani yule mnyooshaji huchukiwa sana na Wanafunzi
Kwa sababu ya urekebishaji wake.
Binti yenu anapenda kuolewa kuliko mambo yote.
Sasa anatufta huruma ya jamii Mwalimu aonekane mkosaji Kwa jamii na aharibikiwe.
Mimi nimewahi kudeal vibinti vihuni kama hvo.
Ushauri wangu ataftwe Baba Jose akabidhiwe mke wake Maisha.
Msitake kuharibia watu Maisha kisa matamanio ya Binti yenu mhuni.
 
Siku zote Mwalimu au Mkufunzi mkalakala yaani yule mnyooshaji huchukiwa sana na Wanafunzi
Kwa sababu ya urekebishaji wake.
Binti yenu anapenda kuolewa kuliko mambo yote.
Sasa anatufta huruma ya jamii Mwalimu aonekane mkosaji Kwa jamii na aharibikiwe.
Mimi nimewahi kudeal vibinti vihuni kama hvo.
Ushauri wangu ataftwe Baba Jose akabidhiwe mke wake Maisha.
Msitake kuharibia watu Maisha kisa matamanio ya Binti yenu mhuni.
Aah kumbe wewe ndiye mwalimu Jimmy?

Ubadilike
 
Yaani baada ya kubakwa akaona aondoe chuki na hasira kwa baba Jose?! Very interesting
Komenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.

Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.
 
Mkuu una watoto?
Kwanza inakuwaje mwalimu wa kiume aingie bweni la wasichana?
Ungesimuliwa yote yanayotendeka jkt si ungetoa laana kwa jeshi zima?
kuna law bending
Na law breaking
Ili kufanya mambo yaende.. Inabidi mkubali tu mtoto wenu ni muhuni. Alikutana vipi na baba jose? Si ajabu lilikuwablinatoroka muda mrefu tu sema walimu walilivumilia
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.


Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana.

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Wewe mtoa thread nenda ukajifie tu tukuzike kuliko kumtetea Esther Noah mwanafunzi aliyekubuhu kwa umalaya.
 
Ungesimuliwa yote yanayotendeka jkt si ungetoa laana kwa jeshi zima?
kuna law bending
Na law breaking
Ili kufanya mambo yaende.. Inabidi mkubali tu mtoto wenu ni muhuni. Alikutana vipi na baba jose? Si ajabu lilikuwablinatoroka muda mrefu tu sema walimu walilivumilia
Mr Q
Haijalishi mtoto huyu alikuwa akiliwa na baba Jose au la.
Haihalalishi kubakwa na mwingine.

My concern ni ubakaji wa mwalimu na RC na RPC kuwapa wazazi maelekexo ya kuongea mbele ya midia.

Why waelekezawe?
 
Mwalimu Jimmy tena Mkuu.
Na umeenda mbali eti RC&RPC Mbeya wawajibike
Asee kwa lipi?
Umalaya wa Mtoto wenu.
Jitafakari upya.
Kama umala hata mama yako ni mhusika.

Tujadili ubakaji wa Jimmy na RC kutoa maelekezo namna ya kuongea.

Umalaya wa Rster una ushahidi gani?
Una uhakika kuna baba Jose kweli?
Ikiwa walipewa maelekezo namna ya kuongea huenda hata baba Jose ni scrot tu ili kuihadaa jamii funguka
 
Komenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.

Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.
Unaandika Kama vile wewe unao huo ushahidi wote wa Esther kubakwa. Mimi na wewe tumeyasikia haya kwenye vyombo vya habari. Tusubiri mahakama ili tumsikilize Mwl Jimmy na classmates ndio tu judge. Binafsi Sina chuki na watoto wa kike, lkn Esther ana elements za uchangudoa
 
Back
Top Bottom